Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hakuna kitu kama hicho kwa watanzaniaLugha za kufurahisha...tunaweza kuipita Bandari ya Mombasa, tena sana..Ila baada ya miaka 20 au zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho kwa watanzaniaLugha za kufurahisha...tunaweza kuipita Bandari ya Mombasa, tena sana..Ila baada ya miaka 20 au zaidi
Mkuu, unapuuza Vya home vipi mkuuNi ndoto ya mchana kweupe kuilinganisha bandari ya Tanga na Bandari ya Mombasa.
Mombasa wapo mbali sana na Bandari ya Tanga na hautatokea Tanga kuipata Mombasa port.
Huyo mkurugenzi ni boya, mombasa uwezo wake ni 2.65million TEUs kwa sasa karibu mara moja na nusu ya hiyo watakayojenga Tanga.Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.
Chanzo: ITV habari.
Kazi Iendelee!
Umesema ukweli kabisa. niishie hapo nisiseme sana.Ni ndoto ya mchana kweupe kuilinganisha bandari ya Tanga na Bandari ya Mombasa.
Mombasa wapo mbali sana na Bandari ya Tanga na hautatokea Tanga kuipata Mombasa port.
Wewe pumbaf sihitaji mawasiliano na wewe kamwe.Mkuu, unapuuza Vya home vipi mkuu
Umefanya vema, nahisi sasa baada ya tukano lako hili, hasira zako zitakuwa zimekuisha, na kama utakuwa unahasira na Mimi, basi utakuwa demuWewe pumbaf sihitaji mawasiliano na wewe kamwe.
Hujui na huna subira , unasahau ulivyo nitukana kisa kukupinga kwenye baadhi ya comments zako.
Mkuu MOMBASA NI KISIWA?AISEE TEMBEA UONE,NDIO NIMEJUA LEO,AHSANTE KWA TAARIFAKumbuka Mombasa ni kisiwa,Tanga sio kisiwa.Usilinganishe Kisiwa na nchi kavu,iliyozungukwa na bahari.
Huyo ni raia wa Msumbiji!Mkuu, unapuuza Vya home vipi mkuu
Mh Simbachawene, aje atufafanulie hili nadhani alilisema yeye.Yale yale ya kuambiwa gesi yetu ya Mtwara ikikamilika umeme utakuwa bwerere huku tukiwa matajiri maana mwengine tutauza nje.
Use common sense bandari ya Mombasa ni bora kuliko ya Dar es salaam utaifananishaje Na ya TangaMkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.
Chanzo: ITV habari.
Kazi Iendelee!
Mbowe chali tena
Mmeshafungiwa kwenye chupa sasa akili zenu zishapigwa ban kufikiri.Mbowe chali tena
Ukijumlisha tonnage ya bandari zetu zote kubwa tatu za bara Na ya NNE ya Zanzibar sidhani kama tunaifikia bandari ya Mombasa inauma ila ndohivo we have a lot to do tuache propaganda haziboreshi maisha.Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.
Chanzo: ITV habari.
Kazi Iendelee!
Mombasa ISLAND is a 5 by 3 Km (3.1 by 1.9mi),coral outcrop located on Kenya's coast on Indian Ocean ,which is connected to the mainland by a causeway.Part of the city of Mombasa is located on ISLAND including of Old TownMkuu MOMBASA NI KISIWA?AISEE TEMBEA UONE,NDIO NIMEJUA LEO,AHSANTE KWA TAARIFA
mombasa sio kisiwa weweKumbuka Mombasa ni kisiwa,Tanga sio kisiwa.Usilinganishe Kisiwa na nchi kavu,iliyozungukwa na bahari.
Mombasa ISLAND is a 5 by 3 Km(3.1 by 1.9 mi)coral outcrop located on Kenya' coast on the Indian Ocean,which is connected to the mainland by a causeway.Part of the City of Mombasa is located on the ISLAND ,including the Old Town.mombasa sio kisiwa wewe
Wameambiwa agenda zao wapeleke kwa ShibudaMombasa wao wanasemaje?
Huo mzigo wa Tanga utakua unaenda wapi? Koogwe? Au Handeni?Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.
Chanzo: ITV habari.
Kazi Iendelee!
hujafika Mombasa wewe ukapanda hata basi tu toka mwembetayari kwenda Nairobi au kuja Tanzania.Ni sawa na useme Kigamboni dar ni kisiwa achana na uzushi wa wikipedia sio sehemu reliable za taarifaMombasa ISLAND is a 5 by 3 Km(3.1 by 1.9 mi)coral outcrop located on Kenya' coast on the Indian Ocean,which is connected to the mainland by a causeway.Part of the City of Mombasa is located on the ISLAND ,including the Old Town.