TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Kuna watu wanaamini kuwa kweli hiyo hela imekusanywa???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuongoza mafala raha jamani duu
 
Kwamba kwa sasa Azina imejaa.. . Anyway nchi hii drama haiwezi kuisha hata kidgo. .
Yaani unazalisha trillion 2.5 per month then unaenda kukopa 1.3tril,
 
Zittoo Kabwee siku hizi hatii neno kwenye hayo maswala!

Awamu ile alikuwa anasema kana kwamba was cooked but he is keeping silent .

[emoji3][emoji3]
 
Kwa nn tukupe sasa na pesa nyingi inapelekwa Zanzibar ambao hata hawawezi kulipa denj
 
kipimo chako kwenye buku buku za barabarani? Ile sio rushwa Ni mfano wa rushwa
 
===
Tangu Uhuru wa Taifa hili la Tanzania na tangu uasisi wa TRA mwaka 1996 hakuna kipindi chochote katika historia ya ukusanyaji kodi|mapato tulikusanya TZS 2.51Trilioni kwa mwezi mmoja,

Pamoja na kwamba ukusanyaji kodi wa awamu hii ya Sita ni rafiki na hakuna kukimbiza wafanyabiashara wala zile "Presumptive Tax Accessment" hazipo tena, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Kama kuna mtu wa kuombewa kwa nguvu zote na Watanzania wote bila kujali tofauti zetu basi ni huyu Mama,



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…