TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Daaah!

Am speechless,

Hii rekodi ya kodi ya mwezi haijawahi kufikiwa tangu Uhuru hata mwendazake na kunyang'anya watu pesa hakuwahi kuifikia rekodi hii,

Hongera sana Mama Samia, Kaziiendelee

Ningeshangaa kama usingetokea kwenye hii data ya kupika ili kuhadaa umma. Magu alipandikiza sana hii tabia ya kupika data, na itachukua muda sana kuondoka.
 
Sasa kama nikupika siwangepika miezi yote Why miezi mingine ukusanyaji uko Chini?

HAKUNA KAMA RAIS SAMIA,

KAZIINDELEE

#HAPPY NEW YEAR 2022
 
msipotangaziwa mnataka mtangaziwe...mkitangaziwa mnasema uongo...Jema lipi sasa?
 
Sasa kama nikupika siwangepika miezi yote Why miezi mingine ukusanyaji uko Chini?

HAKUNA KAMA RAIS SAMIA,

KAZIINDELEE

#HAPPY NEW YEAR 2022
Ni aibu Sana kwa mtu mzima mwenye familia kugeuka kuwa CHAWA.
 
Sasa kama nikupika siwangepika miezi yote Why miezi mingine ukusanyaji uko Chini?

HAKUNA KAMA RAIS SAMIA,

KAZIINDELEE

#HAPPY NEW YEAR 2022

Hiyo miezi mingine spika alishaanza chokochoko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…