Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Sasa unamlalamikia SSH? Aliekua anakopa. Kwenye mabenki ya Biashara si huyo uliemuweka DP. NA hilo la retention fee ni huyo mungu wenu jiwe ndo aliweka hayo, mama kaja akaitoa lkn bado mnaendelea kumtukana.Ndio tunakopeshwa pesa zile zile tulizolipa, na riba wanaweka siri, maana ni kubwa na za kishenzy, halafu tunatakiwa tuilipe mikopo pamoja na riba kubwa mno, mwisho wa siku ni kama hatulipi madeni, deni la taifa linabaki pale pale kama si kukua, ila tunacholipa kila mwaka ni “Mariba matupu” , ni kama bodi ya mikopo ilivyotaka kuweka 6% retention fee, yaani mtu unalipa deni lakini badala yake linakua badala ya kupungua. Rais atambue juu ya uhuni huu na achukue hatua.