TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Ndio tunakopeshwa pesa zile zile tulizolipa, na riba wanaweka siri, maana ni kubwa na za kishenzy, halafu tunatakiwa tuilipe mikopo pamoja na riba kubwa mno, mwisho wa siku ni kama hatulipi madeni, deni la taifa linabaki pale pale kama si kukua, ila tunacholipa kila mwaka ni “Mariba matupu” , ni kama bodi ya mikopo ilivyotaka kuweka 6% retention fee, yaani mtu unalipa deni lakini badala yake linakua badala ya kupungua. Rais atambue juu ya uhuni huu na achukue hatua.
Sasa unamlalamikia SSH? Aliekua anakopa. Kwenye mabenki ya Biashara si huyo uliemuweka DP. NA hilo la retention fee ni huyo mungu wenu jiwe ndo aliweka hayo, mama kaja akaitoa lkn bado mnaendelea kumtukana.
 
HUNA AKILI KICHWANI. MFUMO WA TRA UKO WAZI NA UNAONESHA JINSI MAPATO YANAVYOKUSANYWA KWA KILA MKOA NA KILA AINA YA KODI ILIYOLIPWA. Mfano Withholding taxes, stamp duty, bed night, CIT, PIT nk. Ukimuuliza ndugu au Rafiki aliyeko TRA mkoa wowote atakuambia hiko kiwango maana kinaonekana wazi na kila mkoa inaonekana wamekusanya kiasi gani.
Walishazoea uongo wa jiwe. Watz hawapendi kuambiwa ukweli. Ndo maana kipindi kile anakopa alaf anakuja anasema tunajenga kwa hela zetu za ndani tutembee vifua vikiwa mbele kumbe kakopa kwenye mabenki ya mabeberu anaowatukana.

Mama anawaambia kakopa mikopo ya masharti nafuu kila mbwa inamsakama.
 
Hakuna kitu hapa....majedwali uliyoweka hapa hayasaidii kitu....weka katika lugha nyepesi watu waelewe...hayo matakwimu yako yanaweza kuwa cooked...labda yamechukuliwa kwenye dissertation ambayo nayo pengine ilikuwa cooked....
Fafanua hoja zako kwa lugha nyepesi..
Kwa mfano...Deni la sasa la taifa ni shilingi ngapi...na lilikopwa lini....

Halafu huyo unayemwita mwendazake kwamba alikopa kwenye benki za kibiashara utueleze alikopa kiasi gani na lini..halafu ututajie hizo benki na kiasi kilichokopwa...na masharti yake..
 
Sio kweli mkuu deni linapungua sema shida kubwa ni mikopo yenye masharti ya kibiashara ambayo ni 40% ya deni lote.

Nadhani hapo serikali itapunguza au kuacha Kukopa kabisa mikopo ya kibiashara na hiyo ilikopwa zaidi na Mwendazake ndio imeiva mapema na kukuza deni kwa zaidi ya til.10 ..

Deni la serikali kwa sasa ni til 82 but wakilipa litarudi kwenye til.70 hivi..Kiujumla mama kakopa til.10 kama walivyopanga kweybajeti sasa plus riba ndio ikafika til.82 but watalipa hiyo 10 litabaki kwenye 70..

Swala kubwa hapa ni Serikali haikusanyi mapato kwa kiwango kinachotakiwa,watu hawalipi Kodi.Tunaweza kukusanya til.30 kutoka TRA tuu na sio til 22 wanayo project
kama kila mtu akilipa Kodi na tukalipa hata til.15 au zaidi
Haaaaaaa, sasa mtu unakopa Trilllion 10 halafu katika kipindi hicho hicho unalipa madeni Trillion 10, na katika hiyo unayolipa kuna mariba lukuki, sasa hii maana yake ni kwamba hatukuwa na haja ya kukopa in the 1st place, hii ni sawa na unakopa pesa ili ukalipe deni, yaani unahamisha deni toka kwa huyu unalipeleka kwa huyu na bado riba juu, huu ni utaahira ?!!!
 
Kila source ina mpangilio fulani wa matumizi ,vyote vinaonekana kwenye mchanganuo wa matumizi wakati wa bajeti na Kuna wakusanyaji tofauti wakiongizwa na TRA, taasisi mbalimbali, Halmashauri,nk kama inavyoonekana hapa 👇

View attachment 2065735
Ndio, ila mapato yanayokusanywa na TRA yanaishia TRA? Si yanaenda hazina na kuoangiwa matumizi, ikiwemo madarasa na madawati
 
Ukweli ni kwamba mwamko wa watu kulipa kodi umepungua, kwa sasa mambo ya EFD wafanyabiashara hawaogopi tena tofauti na miezi michache imepita. Hayo makusanyo ya kuvunja rekodi yanatoka wapi?
Uko sahihi mkuu, hata wao TRA wenyewe wamepunguza ufuatiliaji kama walivyokuwa wanafanya kipindi cha jiwe... Sasa hilo ongezeko limetoka wapi?
 
Sasa unamlalamikia SSH? Aliekua anakopa. Kwenye mabenki ya Biashara si huyo uliemuweka DP. NA hilo la retention fee ni huyo mungu wenu jiwe ndo aliweka hayo, mama kaja akaitoa lkn bado mnaendelea kumtukana.
Hoja ni kusitisha mikopo ya aina hiyo, kama ilikopwa awamu ya 1,2,3,4,5 au 6 haijalishi, tuachane na mikopo ya aina hiyo, maana inatuoeleka shimoni, tutakuja kupigwa mnada tukauzwe utumwani!
 
Ndio, ila mapato yanayokusanywa na TRA yanaishia TRA? Si yanaenda hazina na kuoangiwa matumizi, ikiwemo madarasa na madawati
Hilo la ujenzi wa madarasa na madawati Lina ukakasi Sana..zile tozo tuliambiwa ni za ujenzi wa madarasa, zahanati na madawati...mkopo wa covid 19 nao tukaambiwa ni wa 'ujenzi' wa madawati, madarasa na kadhalika...it is very confusing...ipo siku nchi hii italipuka na it appears not too long from now...Mimi naogopa Sana kwa kweli...hivi kulikuwa na haja ya kukopa hizo fedha za covid kutoka IMF? Tukaambiwa masharti yake ni nafuu kwa vipi? Hizo fedha za tozo za miamala mpaka sasa zimekusanywa ngapi na zimefanya Nini so far na Kila mwezi...hao TRA wanakusanya fedha kutoka wapi kwa maana vyanzo vikuu ni vipi? Je makampuni yametozwa kissing gani na fedha hizo zinatumikaje...je, madarasa yaliyojengwa yametumia kiasi gani na yamejengwa mangapi kwa Kila mkoa....Kuna Mambo mengi yanayohitaji ufafanuzi na ndio maana nasema ipo siku nchi hii inaweza kulipuka na kushangaza dunia...
Nilipita mahali Fulani juzi ijumaa na nikawaona akina mama wawili na mbaba mmoja wanazungumzia masuala ya kijamii na hasa kuhusu maisha ya sasa..inaelekea watu hao walikuwa au ni wafanyabiashara ndogo ndogo na waathirika wa zoezi la kuwaondoa wamachinga.....they were talking about nasty things about the present government...I was shocked...nilikuwa nanunua gazeti na niliondoka haraka..
 
Uko sahihi mkuu, hata wao TRA wenyewe wamepunguza ufuatiliaji kama walivyokuwa wanafanya kipindi cha jiwe... Sasa hilo ongezeko limetoka wapi?
Ongezeko linaweza linatokana na watu kulipa Kodi kwa hiari,kumbuka wenye efd wamewekewa lengo so lazima wafikishe .

Pili ongezeko la biashara mpya na uwekezaji na miradi ya serikali,ajira mpya nk.

Wakikaza kuna pesa nyingi sana

Screenshot_20211209-214614.png

Screenshot_20211207-105903.png
 
Kichwa chako kipo sawa kweli wewe? Makusanyo hadi tarehe 31 December, taarifa yake ulitaka itoke lini??Mbona unakuwa mpuuzi extreme!
Ili kipimo kiwe sawa, inabidi anaylsis ya makusanyo iwe kati ya July hadi Dec 2021 na isichanganye kipindi cha Dec 2020 hadi Juni 2021 kwani measures na policy (finacial bill) za makusanyo ya kodi kwa mwaka uliopita ni tofauti. Kwa ujumla yabidi kuongeza mbinu za kukusanya mapato kutoka kwenye maeneo yenye mianya inayovujisha.
 
Hilo la ujenzi wa madarasa na madawati Lina ukakasi Sana..zile tozo tuliambiwa ni za ujenzi wa madarasa, zahanati na madawati...mkopo wa covid 19 nao tukaambiwa ni wa 'ujenzi' wa madawati, madarasa na kadhalika...it is very confusing...ipo siku nchi hii italipuka na it appears not too long from now...Mimi naogopa Sana kwa kweli...hivi kulikuwa na haja ya kukopa hizo fedha za covid kutoka IMF? Tukaambiwa masharti yake ni nafuu kwa vipi? Hizo fedha za tozo za miamala mpaka sasa zimekusanywa ngapi na zimefanya Nini so far na Kila mwezi...hao TRA wanakusanya fedha kutoka wapi kwa maana vyanzo vikuu ni vipi? Je makampuni yametozwa kissing gani na fedha hizo zinatumikaje...je, madarasa yaliyojengwa yametumia kiasi gani na yamejengwa mangapi kwa Kila mkoa....Kuna Mambo mengi yanayohitaji ufafanuzi na ndio maana nasema ipo siku nchi hii inaweza kulipuka na kushangaza dunia...
Nilipita mahali Fulani juzi ijumaa na nikawaona akina mama wawili na mbaba mmoja wanazungumzia masuala ya kijamii na hasa kuhusu maisha ya sasa..inaelekea watu hao walikuwa au ni wafanyabiashara ndogo ndogo na waathirika wa zoezi la kuwaondoa wamachinga.....they were talking about nasty things about the present government...I was shocked...nilikuwa nanunua gazeti na niliondoka haraka..
Hivi serikali inapoleta taarifa zake huwa mnakuwa wapi? Mbona mnauliza majibu badala ya maswali? Yote unayoongea yamejibiwa na Serikali.

Na mwisho hii dhana mliyobebeshwa vichwani kwamba mkopo wa 1.3 T umejenga madarasa tuu mumepotoka.

Kuna maji,Vifaa tiba,utalii na machinga ila mumekomaa na madarasa tuu.
 
Ili kipimo kiwe sawa, inabidi anaylsis ya makusanyo iwe kati ya July hadi Dec 2021 na isichanganye kipindi cha Dec 2020 hadi Juni 2021 kwani measures na policy (finacial bill) za makusanyo ya kodi kwa mwaka uliopita ni tofauti. Kwa ujumla yabidi kuongeza mbinu za kukusanya mapato kutoka kwenye maeneo yenye mianya inayovujisha.
Wewe wa wapi? Makusanyo ni Kati ya July hadi Dec 2021..theni itakuka January hadi June 2022.
 
Hoja ni kusitisha mikopo ya aina hiyo, kama ilikopwa awamu ya 1,2,3,4,5 au 6 haijalishi, tuachane na mikopo ya aina hiyo, maana inatuoeleka shimoni, tutakuja kupigwa mnada tukauzwe utumwani!
Kamwe Nchi haiwezi na haitakaa iache Kukopa kwa hoja za kijinga..

Kukopa mikopo ya riba nafuu ni bora kuliko kudunduliza vinginevyo mahitaji ya urgent na ya haraka yatakwama..

Pia mikopo ni kwa ajili ya ku sevu dharura in case zinatokea huwezi subiria vimakusanyo vya TRA ,utafeli vibaya.

Nyie layman wa uchumi fanyeni ku stick kwenye fani mnazozielewa,economics achaneni nayo kabisa mnajiaibisha.
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.

Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
View attachment 2065326View attachment 2065327
Jiulize ni KIASI GANI KIMEPIGWA?? KIASI GANI KIMEKWEPA NA WAFANYABIASHARA.

IT WAS TO BE MORE THAN THA AMOUNT....TAFAKARI USISHANGILIE TU....😁😁🤣🤣😃😃
 
Hivi serikali inapoleta taarifa zake huwa mnakuwa wapi? Mbona mnauliza majibu badala ya maswali? Yote unayoongea yamejibiwa na Serikali.

Na mwisho hii dhana mliyobebeshwa vichwani kwamba mkopo wa 1.3 T umejenga madarasa tuu mumepotoka.

Kuna maji,Vifaa tiba,utalii na machinga ila mumekomaa na madarasa tuu.
Zanzibar imekula asilimia ngapi katika ile 3bn dollar loan?
 
Back
Top Bottom