BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Utachukuwa hatua gani, Watanzania walishaambiwa waingie barabarani wapate kipigo Cha mbwa koko ha ha ha ha ha Tanzania bana raha sn.Walishawaona watanzania ni mazoba.wanapandisha kodi watakavyo na wtz hawachukui hatua yeyoye.
hakuna kama mama, hakika nchi imefungukanani kama mama, mama yupo kazini
Unataka kusema hiyo property tax ina kazi tofauti na tozo?Hii sio tozo,ni Kodi ya jengo property tax
Hilo ni swali la kijinga ilikuwepo miaka yote, modality ya ulipwaji ndio imebadilika.Unataka kusema hiyo property tax ina kazi tofauti na tozo?
Unafiki ni mbaya sana unataka nani aandamane? Wewe kazi Yako unahamasisha kwenye mitandao tu!Tunaangamia hamna wa kutuokoa bali sisi wenyewe. Wenzetu Kenya wamegomea kodi sisi tumebaki kugugumia.
Ndio tiari na waziri wake huwazi kupandisha kodi iliyo na sio kutafuta vyanzo vipya kwa kuwa akili hiyo hawana kabisa na kuumiz kichwa kwao ni mtihani mkubwaTaarifa mpya kutoka TRA na TANESCO zinaeleza kwamba ile kodi ya Majengo kwa nyumba za kawaida (nyumba za wanyonge) , iliyokuwa elfu 12 kwa mwaka sasa wanyonge hao watalazimika kukamuliwa zaidi , ambapo sasa itakuwa elfu 18 kwa mwaka , ambako badala ya kukatwa elfu 1 kwa mwezi kama ilivyokuwa awali , sasa wanyonge tutalimwa sh elfu 1500 kila mwezi .
Maendeleo hayana Chama .
Kwani hii nchi inahitaji Bunge kupitisha maamuzi ya ovyooo kama haya??? Si linaunga mkono kila hojaaa..
Na kuja V8Kodi zinaenda kulipa posho mpya wabunge
Sasa DP yenyewe si tumeikataa? Au mm ndio sielewiSi tumekubaliana dipi wedi ikitake over tozo zinafutwa?au mi ndo sielewi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daa hakika hii Nchi haina Bunge [emoji24]Kwani hii nchi inahitaji Bunge kupitisha maamuzi ya ovyooo kama haya??? Si linaunga mkono kila hojaaa..
Acha tupigwe tu sisi tunaogopa sana risasiWalishawaona watanzania ni mazoba.wanapandisha kodi watakavyo na wtz hawachukui hatua yeyoye.
Na kiukweli ni KODI YA LUKU , maana nyumba moja ikiwa na luku 4 zote zinakatwa tozoWaweke iwe Afu 3 kwa mweziii tujengee nchi jamanii...[emoji1][emoji1]
Nadhani hii ndo Kodi pekee ambayoo Inamfanya mwigulu aonekane kichwa mbele ya mama... Na watazidi kupandisha daily sababu haipigiwi kelele ila ni hela nyingi sana maana kila mwenye Luku analipa 1500 kwa mwezi sasa.
Yaah Hakuna kitu kinachotofautisha Luku 2 zilizopo kwenye Nyumba mojaaa...!! Na siku hizi kila nyumba ina lukuu so ni helaa nyingii sanaaaa...Na kiukweli ni KODI YA LUKU , maana nyumba moja ikiwa na luku 4 zote zinakatwa tozo
Kwamba 18000 kwa mwaka anaumia?Utaratibu wa kufatilia wazee wasilipe hiyo kodi ni rafiki? Wazee wanaumia na hii kodi huku wana sifa za kutoilipa.
Wekeni Utaratibu rafiki kwa wazee na muutangaze.