TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

Siipendi bei ya Kodi za floors za ghorofa kwa sababu ni kodi isiyozingatia utunzaji wa Mazingira na Mipango miji, iko kinyume na juhudi za ulimwengu ku- decelerate "Climate Change".

Inahamasisha watu wajenge nyumba nyingi za kawaida, na matokeo yake wanakata miti, wanaharibu mambo mengi ya kimazingira kuliko aliyenga ghorofa zenye floor kadhaa zenye ku accomode family kadhaa. Yaani a large population at a small area, kuliko hali ilivyo sasa.

Nawaelewa sana TRA wao ni chombo tu, yafaa hata kisiongee.
 
Kodi ipande hata mara mia.

Sisi watanzania hatuna shida tutalipa.

Bora tu simba na yanga yetu watuletee vitu vya kueleweka
 
Mpatie kodi mzee mwenye nyumba ulopanga kwa wakati alipie kodi ya makazi,anaetakiwa kulalamika na mwny nyumba,apo ukute hata haujapandishiwa kodi na mwny nyumba wako na unalalamika kishenz,me sio shabiki sana wa serikali lakn siwez kusema sioni kinachofanyika kwa kodi zenu na njia zngne za mapato serikalini
Wewe unaishi kwa wazszi wako haujui jinsi inavyolipwa, kila mwezi mkinunua umeme wanakata shs. 1,000/= sasa watakata shs.1,500/=.
 
Huyu mama anachoweza ni kutoza tozo kwa wanainchi wake, pamoja na kuteua (TEUZI) TU.
 
Tuna waziri wa fedha mbobezi ana PhD na pia tuna tume ya mipango yenye wachumi wabobezi, suluhisho la uchumi kwao ni kufikiria tozo kila sehemu,ni kama kodi ya kichwa imesharudi, nakumbuka zamani hata radio na baiskeli pia zilikuwa zinakatiwa kodi aka kipande halafu ukishakata hiyo kodi hicho kipande cha bati unakifunga juu ya pembe ya baiskeli.
 
Ee Mola mchukue huyu kiumbe wako akapumzike huko kuliko hii adha anayotuletea hapa duniani na kujilimbikizia dhambi kutokana na dua zetu mbaya.
Kodi haikwepeki,ni swala la muda kabla wote hatujalipa kodi

Ngoja waweke vizuri taarifa za sensa, nida, rita

Kumbuka nyumba kuanzia 2026 zitaanza tozwa kutokana na thamani ya nyumba na sio kama ilivyo sasa
 
Mtu amenunua tu kipande Cha ardhi Cha hatua 20 Kwa 20 ,amejeng kibanda Cha chumba kimoja na sebure ,hana hata yakumiliki hiyo ardhi kisheria anatozwa Kodi ya jengo la 1500! CcM tuikatae
Kwamba unataka uishi bure bure, lipa kodi
 
Siipendi bei ya Kodi za floors za ghorofa kwa sababu ni kodi isiyozingatia utunzaji wa Mazingira na Mipango miji, iko kinyume na juhudi za ulimwengu ku- decelerate "Climate Change...
Hizi nyumba watu wataamua kupanga maana kodi kuanzia 2026 itachukuliwa thamani ya nyumba kwa wakati huo
 
Hatimae YAMETIMIA
TRA na TANESCO wametangaza RASMI kupanda kwa Makato ya KODI ya MAJENGO kutoka Tsh.1000/= kwa Mwezi na kuwa Tsh.1500/= sawa na Tsh 18000/= kwa Mwaka badala ya Tshs 12000/= na kwa Maghorofa ktk Manispaa na Majiji kuwa Tshs 90000/= badala ya Tshs 60000/= kwa Floor.
SIFA pekee zikiendee CHAMA cha MAPINDUZI CCM kwa Kuendelea kuwatwisha MZIGO wa KODI Wananchi huku IKISHINDWA KUDHIBITI WIZI wa FEDHA za WALIPA KODI (Report ya CAG yahusika)
jamiiforums_1690401094536324.jpg
 
Sawa ila swala la kulipa kodi kupitia luku mara nyingi halilipwi na mhusika anatakiwa kulipa kodi(land lord) jii inalipwa na wapangaji mzigo unaenda kwa mpangaji badala ya mwenye jengo hili inatakiwa kuangaliwa upya

Lakini jengo ambalo halina umeme huyu atakuwa hayuko liable kulipa kodi ya jengo au hapa pakoje wakuu

TRA Tanzania
 
Back
Top Bottom