Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tulipie gharama za kuendesha serikali , viongozi na chawa wao na mikataba mibovu
Wewe unaishi kwa wazszi wako haujui jinsi inavyolipwa, kila mwezi mkinunua umeme wanakata shs. 1,000/= sasa watakata shs.1,500/=.Mpatie kodi mzee mwenye nyumba ulopanga kwa wakati alipie kodi ya makazi,anaetakiwa kulalamika na mwny nyumba,apo ukute hata haujapandishiwa kodi na mwny nyumba wako na unalalamika kishenz,me sio shabiki sana wa serikali lakn siwez kusema sioni kinachofanyika kwa kodi zenu na njia zngne za mapato serikalini
Kodi haikwepeki,ni swala la muda kabla wote hatujalipa kodiEe Mola mchukue huyu kiumbe wako akapumzike huko kuliko hii adha anayotuletea hapa duniani na kujilimbikizia dhambi kutokana na dua zetu mbaya.
Kwamba unataka uishi bure bure, lipa kodiMtu amenunua tu kipande Cha ardhi Cha hatua 20 Kwa 20 ,amejeng kibanda Cha chumba kimoja na sebure ,hana hata yakumiliki hiyo ardhi kisheria anatozwa Kodi ya jengo la 1500! CcM tuikatae
Hizi nyumba watu wataamua kupanga maana kodi kuanzia 2026 itachukuliwa thamani ya nyumba kwa wakati huoSiipendi bei ya Kodi za floors za ghorofa kwa sababu ni kodi isiyozingatia utunzaji wa Mazingira na Mipango miji, iko kinyume na juhudi za ulimwengu ku- decelerate "Climate Change...