DingiMbishi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2021
- 449
- 647
Ally's wana balaa kuna siku nilipanda toka Mwanza, nikafika Dar saa 2 usiku.. hiyo saa 2 yenyewe ndo naingia home, kila mtu akawa ananishangaa.Hao Ally's bus kipindi hicho ilikuwa hatari tupu, nshawahi ingia Shinya ga stand saa 11.00 jioni from DSM.
Duh chai hiiKuna basi championi iliingia dodoma saa nne na nusu ikitokea dar 2008
Sio chai,morogoro hapo ilikuwa tunaingia saa mbili au mbili na nusu tukitoka dar kumi na mbiliDuh chai hii
Akipandishwa cheo atakaa ofisini, labda apewe motisha aendelee kukomaa hapo standNashauri huyu Traffic wa Same apandishwe cheo.
Bora turudi enzi za Giriki, dar -mbeya saa saba na nusu.Kwasasa gar za kutoka dar zinaingia igunga saa moja yaan ni ungese na kjpotezeana muda,, hii nchi ndiomana maskin yaan hatujali muda kabisa
DAR to Kahama haupiti Shinyanga, ukifika Tinde u turn left via Osaka to Kahama. Ukinyoosha from Tinde unaelekea Shinyanga and Mwz mkuu.Ilikuwa balaa sana,ila bus za kutoka Dar-Kahama hazipiti shinyanga mjini!
Ni kweli lilitoka dar saa 9 alfajiri.Kuna basi championi iliingia dodoma saa nne na nusu ikitokea dar 2008
Ndio nilikuwa narekebisha aliyesema walifika Shinyanga!DAR to Kahama haupiti Shinyanga, ukifika Tinde u turn left via Osaka to Kahama. Ukinyoosha from Tinde unaelekea Shinyanga and Mwz mkuu.
Ulikuwa mdogo au hujaja mjini ilikuwa inafika dom saa tano kila siku saa sita inageuza kurudi darNi kweli lilitoka dar saa 9 alfajiri.
Sasa si ujinga kwanini dareva asiendeshe kwa speed inayotakiwaEbwana eeh niko na kondakta wa tilisho hapa nyumbani kwangu amedhitisha hili kuwa siyo trafic anyefanya hvyo Ni latra ndio wanafanya hvyo na kupelekea kuficha mabasi vichakani wakisubiria ifike saa Saba dkk 35 HV
Umri wangu sawa na baba yako we mtoto kuwa na adabu.Ulikuwa mdogo au hujaja mjini ilikuwa inafika dom saa tano kila siku saa sita inageuza kurudi dar
Hao Ally's bus kipindi hicho ilikuwa hatari tupu, nshawahi ingia Shinya ga stand saa 11.00 jioni from DSM. Ni wapi Kahama imetajwa hapo mkuu?Ndio nilikuwa narekebisha aliyesema walifika Shinyanga!
Ok,my bad!Itakuwa route ya Dar-Mwanza,maana hakukuwa na Ally's ya Dar-Shinyanga!Hao Ally's bus kipindi hicho ilikuwa hatari tupu, nshawahi ingia Shinya ga stand saa 11.00 jioni from DSM. Ni wapi Kahama imetajwa hapo mkuu?
Inawezekana ila enzi hizo ulikuwa bado uko unaishi kaliuaUmri wangu sawa na baba yako we mtoto kuwa na adabu.
Wewe ulifikiri gari ikitoka DSM to Mwanza haishushi abiria Shinyanga stand? Pole mkuu.Ok,my bad!Itakuwa route ya Dar-Mwanza,maana hakukuwa na Ally's ya Dar-Shinyanga!