Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Nimeshaweka sawa Kwa kusema nimekosea,coz nilizoea safari za Dar-kahama,so route ya Dar-Mwanza sikuiwaza!Wewe ulifikiri gari ikitoka DSM to Mwanza haishushi abiria Shinyanga stand? Pole mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaweka sawa Kwa kusema nimekosea,coz nilizoea safari za Dar-kahama,so route ya Dar-Mwanza sikuiwaza!Wewe ulifikiri gari ikitoka DSM to Mwanza haishushi abiria Shinyanga stand? Pole mkuu.
Ulikuwa mdogo au hujaja mjini ilikuwa inafika dom saa tano kila siku saa sita inageuza kurudi dar
Masaa 7 gari ilitakiwa iwe ishapaki Arusha.Tatizo sio speed,tatizo ni barabara ni mbovu,Dar to Arusha no kama 650kms huu ni mwendo wa saa 8tu kwa bus!watanzania tusiwe tunaangalia tulipoangukia!barabara zetu bado sana!!
Moro ni pafupi sana kuliko Dar.BM za Moro Arusha zinatembea Sauli akasome,yaani saa nne asubuhi eti unakuta wanaitafuta Hedaru kuelekea chuga, sasa unajiuliza Moro imetoka saa ngapi.
Wakati mwingine tuache Mamlaka zifanye kazi zake,kuna mabasi yana miendo hatarishi sana.
Tofauti ni ndogo sana,sidhani kama inazidi hata km40,Moro ni pafupi sana kuliko Dar.
Wakiondoka muda sawa, gari ya Moro inafika kabla ya Dar.
Sasa VTS vya nini? Waondoe bazi hivyo maana kuna VTS zinazochunga speed za Bus sasa wanataka nini kingineSpidi inaua wewe endelea kumshangilia drreva mwenye mbio.
Same Ni upareni Kaka.Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini.
Wakati huyu trafic anafanya haya naamini viongozi wa Wilaya na Mkoa wapo wamekaa kimya, tujiulize kutoka Dar Hadi Same Kuna vituo vingapi vya ukaguzi inavyosimamiwa na trafic?
Kama huko kote wameruhusiwa kupita means speed Yao inakubalika, unajiuliza hawa trafic wa Same Wana utaalamu Gani wa ziada? Unajiuliza Same ipo Tanzania au ipo nchi nyingine? Wana Sheria yao ya usalama barabarani?
Ningekuwa Mhe. RAIS watu kama hawa ningewarudisha nyumbani wakajifunze kutumia akili kutenda kazi. Kumsimamisha abiria Same akumwepushi na ajali kwa sababu wapo watu wanatoka Same Wanapata ajali mita chache. Lakini lazima Polisi iwe na unifomity iache generalization, mtu Mmoja awezi kujitungia sheria zake Ndani ya nchi.
Wafuatilie wanaovunja sheria then wawachukulie hatua wawache madreva wafanye kazi Yao Kwa mujibu wa sheria na taratibu.
Tatizo kalileta Polepole, kusingekuwa na polepole udhibiti mwendo usingekuwepo, CCM muondoeni Polepole tubaki na kasi.Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini.
Wakati huyu trafic anafanya haya naamini viongozi wa Wilaya na Mkoa wapo wamekaa kimya, tujiulize kutoka Dar Hadi Same Kuna vituo vingapi vya ukaguzi inavyosimamiwa na trafic?
Kama huko kote wameruhusiwa kupita means speed Yao inakubalika, unajiuliza hawa trafic wa Same Wana utaalamu Gani wa ziada? Unajiuliza Same ipo Tanzania au ipo nchi nyingine? Wana Sheria yao ya usalama barabarani?
Ningekuwa Mhe. RAIS watu kama hawa ningewarudisha nyumbani wakajifunze kutumia akili kutenda kazi. Kumsimamisha abiria Same akumwepushi na ajali kwa sababu wapo watu wanatoka Same Wanapata ajali mita chache. Lakini lazima Polisi iwe na unifomity iache generalization, mtu Mmoja awezi kujitungia sheria zake Ndani ya nchi.
Wafuatilie wanaovunja sheria then wawachukulie hatua wawache madreva wafanye kazi Yao Kwa mujibu wa sheria na taratibu.
..'Tengeneza tatizo halafu litatue kwa gharama!"....Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini.
Wakati huyu trafic anafanya haya naamini viongozi wa Wilaya na Mkoa wapo wamekaa kimya, tujiulize kutoka Dar Hadi Same Kuna vituo vingapi vya ukaguzi inavyosimamiwa na trafic?
Kama huko kote wameruhusiwa kupita means speed Yao inakubalika, unajiuliza hawa trafic wa Same Wana utaalamu Gani wa ziada? Unajiuliza Same ipo Tanzania au ipo nchi nyingine? Wana Sheria yao ya usalama barabarani?
Ningekuwa Mhe. RAIS watu kama hawa ningewarudisha nyumbani wakajifunze kutumia akili kutenda kazi. Kumsimamisha abiria Same akumwepushi na ajali kwa sababu wapo watu wanatoka Same Wanapata ajali mita chache. Lakini lazima Polisi iwe na unifomity iache generalization, mtu Mmoja awezi kujitungia sheria zake Ndani ya nchi.
Wafuatilie wanaovunja sheria then wawachukulie hatua wawache madreva wafanye kazi Yao Kwa mujibu wa sheria na taratibu.
hawa jamaa walikuwa nyoko nishawahi toka Dar to Mwanza 12 jioni nipo nyegezi..vilikuwa vile vifuso flani wanamodify vinakuwa bus ila wakafungiwaga,kwenye bus walisema kama una roho nyepesi shukaAlly's wana balaa kuna siku nilipanda toka Mwanza, nikafika Dar saa 2 usiku.. hiyo saa 2 yenyewe ndo naingia home, kila mtu akawa ananishangaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkokoteni huo acha tumia uongo pitilizaKuna basi championi iliingia dodoma saa nne na nusu ikitokea dar 2008
nashauri huyo trafiki apandishwe cheo.nchi hii ina wajinga sana hujui mwendo kasi huua.huyu anajitambua .Sijui kama nimeelewa tofauti hii mada.... kinachotakiwa ni vituo vingine vyote visimamie kuhakikisha kuwa mabasi yanafika kila kituo kwa muda sahihi uliopangwa.....hao wa Same ni wa kupongezwa.
Ila tatizo kubwa ninaloona ni jamii zetu kuridhika na vitu duni mno! Barabara zetu ni za hovyo mno.....Dar-Same katika karne hii kuchukulia watu masaa saba na zaidi ni uzembe uliopindukia, na hii inasababishwa na barabara feki tunazojenga.
BM za Moro Arusha zinatembea Sauli akasome,yaani saa nne asubuhi eti unakuta wanaitafuta Hedaru kuelekea chuga, sasa unajiuliza Moro imetoka saa ngapi.