Huu in ujuha tu, fikiria rated speed ya mabus in km 80 kwa SAA, Same na dar ni km 425, chukua 425 / 80 = Massa 5 na dk 20, hivyo kama umeyoka dar SAA 12 unatakiwa upite Same SAA angalau SAA 6, baada ya kujumlisha vizuizi na muda wa mapumziko, iweje hawa polisi hawana mahesabu hayo!?
80km/hr ni maximum speed kumbuka.
Kumbuka kila gari liingiapo kijiji au mji maximum speed ni 50km/hr jee kuna vijiji vingapi na miji njia yote?
Hesabia pia baadh sehem gari huweza kuwa na 20km/hr kama mto wami na makutano kama chalinze , msata, segera, korogwe, n.k
Hesabia stend za kuingia na kusimama kama Kibaha na chalinze
Hesabia vituo vidogo vyakusimama kama mkata msata chalinze, segera, kabuku, makanya hedaru, n.k
Hesabia Mizani ya kibaha na msata.
Hesabia pakuchimba dawa sehem mbili hasa mizani na sehem ya kula korogwe, Hesabia kona kali kama za korogwe.
Alafu utaelewa ni muda gan unafaa kufika Same .
kubeba sijui ni 80km/hr hyo ni limit ya mwisho yatakiwa gar lisivuke kisheria, sio gari mwanzo mwisho ndo speed yake.
Mwendo kasi unauwa huo ndo ukweli.
Tangu udhibiti mwendo kasi uanze umesaidia sana kupunguza ajali na hata zikitokea inakuwa ni majeruhi tu.
zama zile gari sijui linafika Arusha sa 8 ilikuwa ikitokdaga ajali hesabu yake ni wamefariki watu 30+had 50.
Sa hivi ajali tunasikia kwa haya magari ya serikali na waandisha habari ndo zinazouwa sana mana hawafatiliwi kuhusu speed