Trafiki aliyekataza mabasi ya Dar kuingia Same kabla ya saa bado yupo ofisini? Kwanini kizuizi kiwe Same na sehemu nyingine?

Sasa si ujinga kwanini dareva asiendeshe kwa speed inayotakiwa
Anaweza kwenda kwa speed inayotakiwa na bado akawai kufika.
Tambua kuna engine zinaweza kuimili speed flan kwa umbali mrefu na zingne haziwezi(wataalam wa magari wana lugha yao wanayoitumia hapa) mfano: kuna engine zinaweza himili speed ya 80km/h kwa kipande kirefu na kuna engine haziwezi kufanya hvyo je hawa watu watafika pamoja?
 
Tanzania ndio nchi pekee hutakiwi kuwahi unakoenda..
 
Kutoka dsm hadi same ni KM 349.. kama unatakiwa ufika Same saa 7 that means unatakiwa utembee speed ya 43 km per hr

Sheria ya wapi ya kipuuz hivyo? S mwendo wa Baiskel huu??
 
Huu in ujuha tu, fikiria rated speed ya mabus in km 80 kwa SAA, Same na dar ni km 425, chukua 425 / 80 = Massa 5 na dk 20, hivyo kama umeyoka dar SAA 12 unatakiwa upite Same SAA angalau SAA 6, baada ya kujumlisha vizuizi na muda wa mapumziko, iweje hawa polisi hawana mahesabu hayo!?
 
Wengine tunasafirisha wagonjwa muwe na maamuzi ya nidhamu dhidi ya watumiaji barabara. Trafic wanajiona Miungu watu wakiwa kazin hawa.
 
Masaa 7 gari ilitakiwa iwe ishapaki Arusha.

Huwezi tumia masaa 11 umbali mdogo huo.

Kwanza wanachosha abiria.
Umenena facts hapa,tatizo sio speed bali ni barabara mbovu tulizokua nazo,Livingstone to Lusaka (Zambia)ni sawa na Dar to Arusha ,wenzetu wanasafiri umbali huu kwa saa 7 tu na ukitaka uharaka unachukua zile sprinters (4-5 hrs),uchawi hapa ni barabara safi iliyopo !!
 
Kumbe Pemba na unguja unaweza kwenda na bus!
 
Kutoka dsm hadi same ni KM 349.. kama unatakiwa ufika Same saa 7 that means unatakiwa utembee speed ya 43 km per hr

Sheria ya wapi ya kipuuz hivyo? S mwendo wa Baiskel huu??
Umechulia hesabu siyo.

Kumbuka hilo ni gari , lina sehem za kusimama mama Mizani tena ziko mbili , Stendi kama Kibaha na Korogwe, Folen ya sehem huruhusiwi kulivuka gari kama mto wami hapa ukikutana na magar ya mizigo speed yaeza fika hata 10 na ni sehem zaidi ya mita miatano.
Kuna vituo vidogo kupandisha abiria na kupandisha kama chalinze au bagamoyo kama njia ni tofauti, kuna Msata, mkata, segera, n.k
Bado sehemu ya kula muda wake

Haya turudi kwenye speed ya kila gari liingiapo kijiji au mji ambayo maximum ni 50km/hr.
Jee kuna vijiji vingapi na miji mingapi njia nzima .
Bado kuna tuta ambazo gari linashusha speed hadi 15km/hr.

Ukweli barabara zetu hazikidhi vigezo magari hasa yenye roho nyingi za watu kuzidisha mwendo..

We chukulia mfano mwendo kasi kwa wakazi wa dar ambazl ziko Express japo zinasimama vituo vichache zinachukua 30min kutoka Kimara to Kariakoo ila dadalada za kawaida za moja kwa moja zknachukua 50min+ kwa vile njia zinafolen na matuta ya hapa na pale.
 
Kipindi yanaondoka dsm saa 12 Asubuh yanafika moshi saa sita/saba hivyo vituo na mizan hazikuwepo?
 
80km/hr ni maximum speed kumbuka.

Kumbuka kila gari liingiapo kijiji au mji maximum speed ni 50km/hr jee kuna vijiji vingapi na miji njia yote?

Hesabia pia baadh sehem gari huweza kuwa na 20km/hr kama mto wami na makutano kama chalinze , msata, segera, korogwe, n.k

Hesabia stend za kuingia na kusimama kama Kibaha na chalinze
Hesabia vituo vidogo vyakusimama kama mkata msata chalinze, segera, kabuku, makanya hedaru, n.k

Hesabia Mizani ya kibaha na msata.

Hesabia pakuchimba dawa sehem mbili hasa mizani na sehem ya kula korogwe, Hesabia kona kali kama za korogwe.

Alafu utaelewa ni muda gan unafaa kufika Same .

kubeba sijui ni 80km/hr hyo ni limit ya mwisho yatakiwa gar lisivuke kisheria, sio gari mwanzo mwisho ndo speed yake.
Mwendo kasi unauwa huo ndo ukweli.
Tangu udhibiti mwendo kasi uanze umesaidia sana kupunguza ajali na hata zikitokea inakuwa ni majeruhi tu.

zama zile gari sijui linafika Arusha sa 8 ilikuwa ikitokdaga ajali hesabu yake ni wamefariki watu 30+had 50.

Sa hivi ajali tunasikia kwa haya magari ya serikali na waandisha habari ndo zinazouwa sana mana hawafatiliwi kuhusu speed
 
Zinatuokoa sana sisi wafanyabiashara tofauti na malayman wanajali muda na hawakimbii hivyo unavyosema
Familia ikiikosa huduma ya uwepo wako ndipo utakapopunguza haraka zisizo na tija,kukimbia tunapenda,issue ni unakimbiaje?

Sehemu sio ya kuovertake unalazimisha,ndio driving tusizozitaka
 
Daah watu mna upuuzi flani. Mwendo kasi unaua
 
jamani basi zamani zulikua zinakimbia sio poa
 

Attachments

  • VID-20211205-WA0010.mp4
    2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…