Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

Siwapendi polisi mbaya mbaya lakini daah Nchi hii wanaokula mabilioni to matrion kisha wanatufokea huwezi kuwakuta hao majamaa maslahi madogo sana hizo buku buku ndio ziwaponze hivyo?

Siku nikisikia kuna fisadi limepigwa mawe mpaka kufa ndio nitajua ukombozi uko karibu hiko kilichotokea ni roho ya umasikini na ufukara imefanya kazi yake
 
Kuna kipindi kinana aliliongelea la trafiki kutotakiwa kusimama barabarani,mbona maisha yalienda tu,halafu mdogo mdogo wakaanza kurudi road
 
Rushwa inaanzia juu huko kwa vigogo

Ova
 
Your browser is not able to display this video.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za kisheria zitafuata dhidi yao.

Pia soma ~ Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani
 
ukitaka hivi gari nyingi zitapakiwa maana nyingi zina makosa kibao
 
Wapambanaji kazini...kwani zakubrashi ziliisha na Magu au ?
 
Trafiki wote wanakula rushwa. Kama watafukkuzwa hawa wawili tu, nitashangaa ssna.
 
Hili ninjeshi la aibu ya kitaifa . Huwezi kupanda daladala ukakaliza trip bila kukutana na hizo episode . Hili jeshi silipendi kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu
Yaani hata likifumuliwa hakuna kitu maana ndio mfumo waliojiwekea huo wa kukusanya hela kila siku kwa tamaa zao
Wote ni wamoja kuanzia wakubwa mpaka wadogo kwa sababu wanajua kila leo wanakula rushwa na ajali haziishi
Mchawi kwenye ajali ni hawa wasioangalia ubora wa magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…