Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wa hivyo unamrekodi mapemaPana mama mmoja yupo Arusha anakula rushwa huyo ana anaona kama haki yake tena anasimamisha gari zenye namba mpya mpya tu.
Boss wake na boss wa TAKUKURU naye ni mlaji wa rushwa mzuri tu, sasa watamkamataje boss?Kama kweli wanazuia na kupambana na rushwa wakawakamate na wanaokula mabilioni kwenye ripoti ya CAG
Sawa kabisa na hao waliotoa rushwa nao Sheria ifuate mkondo wake maana anayetoa na anayepokea wote Wana makosa kwa hiyo hapo ni Trafiki mbaroni kwa rushwa na mtoa rushwa naye atiwa mbaroni wakamatwe woteAcha akili ziwakae sawa, nashauri trafik sasa wafanye kazi yao, piga cheti weka lockup madereva wazembe na wanaoendesha magari mabovu wote.
Huyo Mama ni hatari hata Makonda ana taarifa zake aliwahi kumsema hadharani kwa mafumbo..Wa hivyo unamrekodi mapema
Dawa yao imepatikana
Kenya polisi ndio wanakamata traffic officers wala rushwa
Kila mbinu wakifanya wanadakwa
Kuna siku walikuwa wwkiongea na dereva wanamwambia kaweke paleee kama ni chini ya mti au chini ya jiwe
Kumbe wanachorwa tu mwisho wa siku wanaenda kuchukua chao ndio wanakamatwa na yote imerekodiwa
Tena kina mama wakizoea rushwa ndio wanakuwa wabaya zaidi wanatamani wafanye kazi usiku na mchana ili waibe zaidi
Wanamuogopa amaHuyo Mama ni hatari hata Makonda ana taarifa zake aliwahi kumsema hadharani kwa mafumbo..
Kupoteza muda tena, ukipelekwa mahakamani sio lazima ufungwe. Ni utaratibu tu wa kisheriaHawa wakipelekwa mahakamani watachomoa mkuu. Nani ana ushahidi kuwa hicho walichopewa ni pesa na kwamba wamepewa kama RUSHWA? Watapoteza muda bure kuwapeleka mahakamani
Kwenye rushwa hiyo nayo ni ya kuvalia njuga kiasi hicho, hiyo ni posho tu kama posho nyingine isitoshe wanafanya favour sana maana wakiamua kusimamia sheria hamna daladala ambayo itafanya kazi.....Wanao kula rushwa za billions of money kila kukicha hawashughulikiwi halafu watu wanakuja na hoja mlenda mlenda kwamba tuanze na hawa wadogo wadogo kwa vipesa visivyo na impact kabisa....nonesense.Kwahiyo unashauri waachwe wake rushwa kwa raha zao?
Kwa hiyo hao wala rushwa ni mbuzi?Mlikwishaambiwa kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
Hahahaaa wakakae pale kwenye màtaa wakamate bàjaji wanaopakia abiria kwenye siti ya dereva.Hakuna kesi hapo, labda wangechukua tu hatua za kinidhamu kama vile kuwahamishia FFU chakechake Pemba.
Mkuu uko sahih. Kabsaa, kwanza askari wengi wanakuwa interfered na ukosefu wa uaminifu wa viongoz wakubwaa. Hasa pale makosa yanalooneka ktk vitu au mirad yao.Kwenye rushwa hiyo nayo ni ya kuvalia njuga kiasi hicho, hiyo ni posho tu kama posho nyingine isitoshe wanafanya favour sana maana wakiamua kusimamia sheria hamna daladala ambayo itafanya kazi.....Wanao kula rushwa za billions of money kila kukicha hawashughulikiwi halafu watu wanakuja na hoja mlenda mlenda kwamba tuanze na hawa wadogo wadogo kwa vipesa visivyo na impact kabisa....nonesense.
Tunajua kwa sasa na ww ni policeNineumizwa na hili nikimkuta mtu anafanya ujinga uho atajuta
Hela ya brush ya viatu hiyo.
Punguza hasira AfandeNineumizwa na hili nikimkuta mtu anafanya ujinga uho atajuta
KumbeTunajua kwa sasa na ww ni police
Mimi sio afande ila embu tuseme ukweli mnaona alichofanya ni sawa?Punguza hasira Afande