Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

Huyohuyo Trump anasema katika hiyo interview kuwa aliibiwa uchaguzi mwaka 2020, na kwamba kama angekuwa bado yuko madarakani, Putin asingethubutu kuivamia Ukraine. Ametumia maneno ya kumsifia Putin kama silaha dhidi ya mpinzani wake wa kisiasa, Joe Biden.

Jitahidi kuzifahamu siasa za Marekani jinsi zilivyo!
 
Text yako haina majibu ya ulichoulizwa/kuombwa. Uliombwa hili:

"Sasa wewe mjuvi weka link ya sifa alizotoa Putin kumsifu rais yeyote wa Marekani kwamba katumia akili kubwa ktk kudili na changamoto fulani nzito na tete. Sio ulete stori za marais wanatembeleana nchini mwao kisha wapiga stori za mtu na mgeni wake huku wakisifiana kinafiki".
 
Lugha ya ukakasi iko wapi hapo? Kwamba neno "ushamba" lina ukakasi?

Ushamba ni hali ya kushangazwa na jambo fulani ambalo kwa wengine jambo hilo ni la kawaida sana! Hakuna ukakasi wowote hapo.
 
Soma kwanza kile nilichosema kabla haujanijibu!

Kwani kusifiana kinafiki ni mpaka marais watembeleane katika nchi zao? Kwani wakati Putin anamsifia Biden, Putin alikuwa ziarani nchini Marekani? Biden alikuwa Moscow?

Nimesema, Trump amemsifia Putin kisiasa dhidi ya Biden ambaye ni mpinzani wake wa kisiasa nchini Marekani. Na ameendelea kwa kusisitiza kuwa, kama yeye angekuwa bado yupo madarakani, Putin asingethubutu kufanya hilo alilolifanya.
 
Hivi hiyo akili kubwa ni ipi hasa? Yaani itokee Somalia kaanzisha zogo na Somaliland afu Ethiopia akaingia Somaliland akidai anaenda kulinda Amani,hapo kuna u genius upi? Nisaidieni.
 
Hivi vikwazo alivyoekewa Cuba vilimuathiri kwa kiwango gani?
Libya kwenye ile issue ya kuangusha ndege kule scotland baada ya sheikh Ghadaffi kukataa kuwatoa kina Abelbezat Allmagray Libya wakalimwa vikwazo vilivyodumu kwa miaka minane. Waliathirika kwa kiwango gani.?

Iran inatwangwa vikwazo miaka nenda rudi, bado wanaonekana stable na miradi mikubwa kama ya nyuklia inaendea. Nani ali/ana nunua mafuta na gesi ya iran?

Nani alikuwa akinunua mafuta ya walibya?
Korea ya kaskazini tangu naanza kupata akili hawa jamaa wapo kwenye vikwazo. Hawauzi nje? Hawanunui nje? Cha ajabu wanaolalamika kuwa wananchi wa korea ya kaskazini wanalia njaa ni CNN, BBC, BLOOMBERGER, na vyombo vingine mumiani vya hawa makaburu. Full propaganda.

Mwisho. Kwenye hili looser ni ukraine. Mpaka sasa kashapigwa 2-0. Asipokuwa makini atapoteza yote kama palestina.
 
Lugha ya ukakasi iko wapi hapo? Kwamba neno "ushamba" lina ukakasi?

Ushamba ni hali ya kushangazwa na jambo fulani ambalo kwa wengine jambo hilo ni la kawaida sana! Hakuna ukakasi wowote hapo.
Sio kila kitu lazima ujibu, vingine wajipa muda wa kutafakari
Sikukujibu kwa kuwa niliona ulichokoti (ulichoulizwa) na maelezo uliyoleta havina uhusiano.

Btw: hapa huyu rais G.W. Bush wa US ktk mahojiano amsifia Putin, naye alikuwa akifanya siasa gani?
 

Ukiona unasifiwa sana lakini jitafakari
 
Chini ya dakika tano? Sema marekani bajeti yao ya ulinzi daaa, Ni Uk,France, Russia,China na German combined
 
Chini ya dakika tano? Sema marekani bajeti yao ya ulinzi daaa, Ni Uk,France, Russia,China na German combined
Mkuu ingekuwa kutumia bajeti kubwa tu kwenye maswala ya silaha na ulinzi ndio kigezo cha kushinda vita basi kitambo sana Saudi ingekuwa imeshawaangamiza na kuwashinda waasi wa kihudhi nchini Yemen.
 

Trump alikuwa hana hatari kwa Russia
 
Wewe uwelewa wako ulivyo mdogo katu hawezi kujua athari za vikwazo, hujiulizi ni kwa nini hayo mataifa kila siku yanalia na hivyo vikwazo kwamba viondolewe.

Unafikiri bila ya hivyo vikwazo hizo nchi zingekuwa wapi kimaendeleo. Haya ni mambo ambayo yako nje ya uwezo wenu kuelewa.
 
[emoji16][emoji16]jamaa anahasira mpaka sasa, hawezi kuelewa kilichoandikwa analeta mambo mengine kabisa[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…