Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Alishasema tangu juzi 🤣🤣🤣hawasemi uongo 🤣🤣 yaani hata shule tatizo ,nyuklia facilities zipigwe unajua hata athari zake?
Endelea kusapot hao Gooner
Gunners achana nao hapa tunajadili mambo ya middle east mkuu.
 

Bwege huyo, kama kaingia mzima mzima hakuwa na role kwenye kuelekeza shabaha zilipo au kueleza shambulio la Iran linakoelekezwa?

Bure kabisa!
 
Kuamini kinachosemwa na Iran lazima uwe na upungufu wa akili hali kadhalika kuamini asemacho Trump au asemacho Netanyahu ni ukichaa vilevile.
Zote ni propaganda, matokeo ya vita ndiyo kitakachotujulisha what exactly happened on the ground.
 
Wameondoa kila kitu si ajabu sasa ndio wamempaa kama green light ya kutengeneza Nuclear Boom na wao walikuwa hawana plan hio.
Umesahau ndani ya Iran specialy ndan ya jeshi na usalama wa Iran kuna spy wa kutosha wa Israel na ndio wanawaongoza pa kupiga kila movement ya Iran wanaume wanayo. Iran imekuwa na nguvu TikTok mzee sio field
 
Umesahau ndani ya Iran specialy ndan ya jeshi na usalama wa Iran kuna spy wa kutosha wa Israel na ndio wanawaongoza pa kupiga kila movement ya Iran wanaume wanayo. Iran imekuwa na nguvu TikTok mzee sio field
Wanakufa huku wana tweet na kupost ubishi tu
 
Huu mgogoro sijui mwisho wake utakuwaje

Mgogoro huo utaisha siku Iran itakapotamka kuwa kuanzia sasa itaitambua Israel kama Taifa lenye watu wenye haki zote kama wanadamu wengine. Iachane kabisa na yale mafundisho ya Ayatollah ya kusema kuwa mtume aliagiza kuwa Wazayuni/wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani, wanatakiwa kuangamizwa, na kwamba Iran inatamiwa kuwaangamiza wayahudi. Na pia Iran iamke kuwa itayaheshimu mataifa jirani yote, na kamwe haitapandikiza makundi ya kigaidi dhidi ya tawala za mataifa mengine. Iran ikifanya hivyo, hatutasikia habari ya makundi ya kigaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…