Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Ayatollah yuko wapi? Ishu hapa ni kuuondoa utawala wa maayatollah na kuweka utawala mpya usio na vitisho vya nyuklia
 
Asante mkuu.
 
Iran haikuwa na Nuclear ni basi Tu wameionea.
Ni kweli Irani Hana nyuklia bomb, but ana miradi kabambe ya uzajishaji wa nyukilia japo anasema kwa matumizi mengine. Na wakati huo huo ana mpango wa kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia.

Amid yote hayo, unadhani anaaminika?
 
Kama Iran ilikuwa haina plan A,B,C, na D kuhusu hivyo vinu, basi watakuwa mabwege sana.

Mtu yeyote mwenye akili alitakiwa awe Amish India vitu vyote vilivyo nyeti.
Walijua kuwa hawatakiwi kuwa na nyuklia lakini walikuwa navyo kibishi kwahiyo uwezekano wa kuwa na plan zingine walikuwa nao. Hata hivyo mashambulizi ya marekani huenda hayajaharibu kabisa na huenda Iran ina site zingine ambazo wanazijua wao wenyewe.
 
Upi ?!!huu ndio tayari umemalizika mbona!!
Kwahiyo Marekani tayari ameuondoa uongozi wa Ayatollah ambao wanasema ndiyo kikwazo?

Statement ya Trump inaonesha dhahiri ni uoga uliomjaa hakuna chochote cha maana alichofanikiwa.
 
Kwahyo kobaz mmefanya Israel kuomba poooo ahh kobaz huyu ndyo mwenye akili 😀😀😀😀😀
 
Halafu kuna watu watakwambia Israel ni taifa lenye nguvu wakati ugomvi wa wiki moja tu kaomba msaada kwa mume wake amsaidie.

Iran amesimama peke yake dhidi ya Israel, Marekani na mataifa kibao yanayomsaidia Israel lakini hakuna wanachofanikisha.

Pro mashog,a huu sio wakati wa kuendelea kudanganywa na Marekani ni wakati wa kutumia akili ulizojaaliwa kuchanganua mambo.
 
Tafsiri halisi hapo ni kwamba Israel ameomba poo ndiyo maana vita vya wiki moja tu ameomba msaada kutoka kwa hawara wake.😂😆

Tulisema humu hii vita ikienda mwezi mmoja tu Israel lazima ulimi umtoke tukashambuliwa .

Haya sasa mmejionea wenyewe kumbe hawana hata makombora ya kushambulia vinu vya nyuklia mpaka waombe msaada.
 
Kamdomo, ukimsikia Ayatollah wakati anawahutubia wenye kaswende ya Ubongo basi utaamini Iran ndio Super power Nation number one duniani.
Israel na mumewe USA hadi sasa wamefanikiwa kumuondoa Ayatollah kama sehemu ya mkakati wao ?

Hadi hapo hujaona nguvu ya Iran hadi mataifa kadhaa kumchangia?

Ni sawa na wewe unapigana na mwenzako halafu ulivyoona unazidiwa ukamuimba mume wako akusaidie kuingilia ugomvi lakini bado licha ya mume kuingilia ugomvi hamjafanikiwa kumdhibiti mbabe wenu.

Hapo utatoka unashangilia wewe ni mshindi ama ni dhaifu?
 
Hii ni calculated mission kuharibu vinu vya iran sio vita mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…