israel alishakusanya tarifa muda mrefu na akajua apige wapi na wapi, na pia akapanga strategy za kufifisha nguvu ya adui kwa kushambulia mifumo yake ya ulinzi. iran alijizatiti kwa vitu viwili tuu..mifumo ya ulinzi na makombora, mifumo ya ulinzi israel ameidhibiti angalau..ila kwenye makombora badoMmmh ili Jambo siyo jepesi Kama watu walivyokuwa wanaleta ushabiki wa kijinga. Kilikuwa na maswali mengi wenye akili kujiukiza. Iweje Israel wajiamini mpaka waanze kushambulia nchi Kama Iran ambayo Ina nguvu kijeshi. Israel imejiamini nini?.
Aliondoa nuclear materials zote lakini nuclear facilities zimeharibiwa zote. Kwa hiyo kwa sasa Iran Wana enriched uranium ndani ya makontena.Iran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear
Migogoro yote aliyopigana israel niya mmarekani kwa kivuli cha israeli.Israel inakua chambo tu ila yeye kama yeye hanaga uwezo zakuanzisha mgogoro wowote bila kusakiziwa na marekani,tatizo nikwamba alikubali kua kibaraka wa Amerika kwasababu ya maslahi yake.Watu wameanishwa miaka zaidi ya 77 kwamba Israel ni super power wala haihitaji msaada.
Kwa miaka niliyokuwepo JF siku zote nimeeleza, Israel haiwezi kusimama na Taifa lolote Middle east
Mashambulizi yamefanywa na US, Israel, UK kwa pamoja. Iran haina kosa lolote! uonevu tu
Irani wachokozi sana kama wamarekani yaani Hamas yuko vitani na Israel ajabu Irani akamshambulia Israel.! Wamerakanj wako sahihi.Uchokozi tu!
kapige ramli .Huu mgogoro sijui mwisho wake utakuwaje
Kama hakuufanya kwa Urusi haimzuii kuufanya pengine popote, it's their choice na hakuna mtu wa kuwapangia whatever their reasons might be.Mbona huu uhuni hakuufanya kwa Urusi? Umeandika maneno mengi ila hayana msingi.
Ni kwamba hawezi, I know hakuna wa kumpangia ila hata yeye anajua consequences zake ndio maana hawezi kuzipanga na China au Russia kizembe.Kama hakuufanya kwa Urusi haimzuii kuufanya pengine popote, it's their choice na hakuna mtu wa kuwapangia whatever their reasons might be.
Watu walistoa kitambo na hakuna bomu limefika chini ,hata shule kichwani chenga ,unajua kama ingekuwepo hapo athari zake kwenye mazingira.
Unapiga machimbo ,watu mzigo walishautoa mapema ,baadhi ya kambi ni marudio 🤣🤣
View attachment 3378448
Kafiri ulikuwa wapi? mungu wenu kashindwa kutetea wale mashoga wenzio.HII TULIAMBIWA TUSEME HIVI MSIKITINI NAWE KUMBE ULIKUWEPO.
Duniani anayeweka balance of power ni China kiuchumi na kijeshi akifuatiwa na Urusi.Nazungumzia duniani sio Asian pekee
Awamu hii mgogoro huu ni wa Israel sio wa Marekani.Migogoro yote aliyopigana israel niya mmarekani kwa kivuli cha israeli.Israel inakua chambo tu ila yeye kama yeye hanaga uwezo zakuanzisha mgogoro wowote bila kusakiziwa na marekani,tatizo nikwamba alikubali kua kibaraka wa Amerika kwasababu ya maslahi yake.