Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Ndipo akili zitakukaa sawa kuwa ilipo Israel pia USA yupo na kinyume chake ni sawa.Sasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? π€£π€£
ππ Eti MILANGO YA KUZIMU dunia ina mambo na vijambo hii!!??ππMajemedari wa Iran wakatia mkwala kua WAMEFUNGULIA MILANGO YA KUZIMUπ
Yaan , ukichaguliwa tu YOUR NEXT kama bolo young alikuaga na msemo wake akitaka kukupiga anakwambia YOU'RE NEXTMaana Kuna mkuu alichaguliwa baada ya aliyekuwepo kuuliwa. Kakaa siku nne tu naye akauliwa
Iran ili SEMA Israel wamechezea KOKI YA KUZIMU π€£ππ Eti MILANGO YA KUZIMU dunia ina mambo na vijambo hii!!??ππ
Nini ilikuwa siri?Wa alikuwa wanaongea sana, alafu mission ilikuwa siri sana
Yale yale ya Iraq.Mimi ni mkristo lkn naona Iran inaonewa sana.
Mission ya kulipua hivyo vinu watu tulikuwa tunasubiri suprise ya IranNini ilikuwa siri?
Alisema "with in a two weeks" kumaanisha ndani ya wiki mbili, ingeweza kuwa siku ya kwanza pia ndani ya hizo siku 14Zile wiki mbili ilikuwa danganya toto. Vita sio nzuri Kabisa.
Umenikumbusha mbali snYaan , ukichaguliwa tu YOUR NEXT kama bolo young alikuaga na msemo wake akitaka kukupiga anakwambia YOU'RE NEXT
ππ Jamaa kwa kuchimba MKWARA utasema nitubu maana mwisho wa dunia umefika sasa ππIran ili SEMA Israel wamechezea KOKI YA KUZIMU π€£
Duh lakini angewapa hata week maana Russia alianza kumshawishi Iran ku negotiateAlisema "with in a two weeks" kumaanisha ndani ya wiki mbili, ingeweza kuwa siku ya kwanza pia ndani ya hizo siku 14
Hakusema after two weeks ππ
Kama Iran ilikuwa haina plan A,B,C, na D kuhusu hivyo vinu, basi watakuwa mabwege sana.Mission ya kulipua hivyo vinu watu tulikuwa tunasubiri suprise ya Iran
Kitambo sanaa enzi izoooUmenikumbusha mbali sn
Watu wameanishwa miaka zaidi ya 77 kwamba Israel ni super power wala haihitaji msaada.Sasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? π€£π€£
Sema mkuu ndugu zetu hao c ndo magaidi wengi al shabab,msumbiji huko..kifupi sio wazuri Sana Acha miundombinu Yao ifutwe tu waanze upya..nilichopenda mission imetargert maeneo ya nuclear zaidi.na sio raiaMimi ni mkristo lkn naona Iran inaonewa sana.
Mkuu na ulisema. Iran inajipa matumaini hewa Kama Iraq kipindi Cha sadam mwisho kila mtu alionaYale yale ya Iraq.
Ili ogopesha Sana Sanaa unajua waislamu wa Iran Wana misimamo mikali Sanaaππ Jamaa kwa kuchimba MKWARA utasema nitubu maana mwisho wa dunia umefika sasa ππ
Hata awe na Plan gani, Iran udhaifu wake mkubwa ni kupigwa na Israel ndani ya siku 8, means now walichobaki nacho ni UraniumKama Iran ilikuwa haina plan A,B,C, na D kuhusu hivyo vinu, basi watakuwa mabwege sana.
Mtu yeyote mwenye akili alitakiwa awe Amish India vitu vyote vilivyo nyeti.
Sasa kama majenerali waliuliwa chumbani unadhani wataficha wapi hizo UraniumIran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear