Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

Mwambie mwanao asome na atapewa mkopo na si kutaka kuyumbisha wadau wa elimu hapa ,mama kaja na idea ya kuchochea masomo ya science haswa kwa watoto wa kike nyie mnaleta siasa hapa.
 
Hizo pesa badala kupelekwa HESLB MNATUMIA kukuza jina la mtu?? Au hiyo ni HESLB nyingine??
 

Corporate Social Investment, makampuni yakumbushwe kuwekeza kwenye jamii, kutia ndani kusomesha watoto wenye vipawa, kutoka familia masikini.
 
Kama ni pesa zake binafsi au ni NGO yake kama ilivyokuwa WAMA sawa iitwe hivyo.Kama pesa inatokana na Kodi na tozo zetu basi iitwe Presidential Scholarship!
 
Unaumwa saana ,yaani huoni hiyo ni motishwa wa dada zetu wa kike ? Nchi hii ina wajinga aisee, na wewe myahudi upo kwenye kundi la wajinga waliopitiliza aisee

Wewe ndio mjinga kwasababu huwajui watanzania vema, tena nakusikitikia sana,

Kwa akili zako unaamini kabisa kuwa hizo pesa wanapewa watoto wa kike, hizo ni kiwa ni mtaji wa kusomesha watoto wa viongozi na mradi wa upigaji tu.

Amka ndotoni, wajue watazania

Polepole alisema anasikitika hawakumaliza wahuni unadhani alikua anatania
 
Kweli kabisa,Mzee Mbowe kawaharibu akili aisee
 
Rais Samia Suluhu anahakikisha anaendelea kuimarisha sekta ya elimu hasa katika masomo ya sayansi hii itachochea wanafunzi kuweka juhudi zaidi katika masomo ya sayansi
 
Hii nchi ina mamuma aisee ,wewe ni mmoja wao
Mtu ni rais wa nchi halafu anaanzisha mfuko wenye jina lake!!? This is absolutely nonsense! And all those who support this nonsensical thing are hypocrites.

Kwann asiziweke hizi fedha kwenye bodi ya mikopo? Kwann jina lake liwe attached kwenye hicho kitu mnachokiita program. I rebuke this move.

Kw
 
Jambo zuri ila mchakato wa kuwapata uwekwe wazi tujue kama wanastahili .Maana hii nchi kuna majizi,mapigaji na kubebana bebana tu.

Mimi sifiki hata huko kwenye transparency ya mchakato. Swali linalohitaji kujibiwa kwanza ni: je, hiyo pesa ni ya Samia au ya Watanzania? Kama ni ya Watanzania, basi huo mpango unapaswa kuitwa jina linaloakisi wenye pesa. Kuuita Presidential Scholarship ni afadhali mara elfu kuliko kuuita Samia Scholarship!
 
Reactions: EEX

Uchawa ndio unaolimaliza taifa hili. Chawa ni wengi mno!
 
Mnatumia pesa za walipa Kodi kuwasomesha halafu wakimaliza masomo hamuwaajiri mnaanza kuwatolea lugha za kipuuz kwamba wajiajiri bila mitaji wawe wabeba zege na mamachinga mara wanakula ugali WA bure nyumbani kwao .

Hii nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…