Hapo sasa nimeelewa.Ongezea ni mabinti waliofanya vizuri kutoka familia maskini
Mana nlidhani watachukuliwa wale wa Feza boys/girls, St. Marian....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa nimeelewa.Ongezea ni mabinti waliofanya vizuri kutoka familia maskini
Walengwa ni Hawa 👇Hapo sasa nimeelewa.
Mana nlidhani watachukuliwa wale wa Feza boys/girls, St. Marian....
Majina yametoka na wavulana wamoWalengwa ni Hawa 👇
Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita.
Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship.
Akizungumza hayo leo Jumapili Septemba 25,2022, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Septemba 27,2022 wanafungua rasmi tangazo la ufadhili huo ambao utawahusisha wanafunzi waliofaulu kwa kiwango cha juu na kudahiliwa kusoma masomo ya sayansi katika vyuo mbalimbali.
“Baada ya hapo majina yao yatatanangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari kwa wamefanya vizuri sana katika masomo ambao wanastahili kupewa Mama Samia Scholarship,”amesema.
Amesema kuwa wanafunzi 640 ndio waliofaulu kwa kiwango cha juu katika masomo ya sayansi, kwa hiyo watafahamu na endapo watadahiliwa katika masomo ya sayansi watakuwa wanufaika wa ufadhili huu.
Aidha, Profesa Mkenda amesema kesho kutakuwa na mkutano wa wadau wa elimu nchini ambapo lengo likiwa ni kupitia sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mtaala wa elimu.
“Majadiliano yatatokana na hatua iliyofikiwa kutokana na mapitio ya sera na mitaala baada ya kukusanya maoni mengi ya wadau ambayo tuliyakusanya kupitia mikutano mbalimbali na wengine wamekuwa wakituletea kimaandishi,”amesema.
Amewataja wadau watakaokutana ni wahadhiri, waajiri na wadau wa maendeleo, taasisi zinazohusihanisha na lugha, wabunge, wajumbe wa kutoka Zanzibar, jumuiya za kielimu, taasisi za tafiti za kisayansi, taasisi za umma, binafsi na dini.
Pia Profesa Mkenda amewataka Watanzania kuwasilisha rasimu za maandiko yao za riwaya na mashahiri katika kuwania tuzo za waandishi bunifu ambazo zinajulikana kama tuzo za Mwalimu Nyerere.
Huyu mama yuko.vizuri mnoMimi nikisikia unampinga huyu Mama bora nikupigie na kitu kizito kichwani, itajulikana mbele ya safari,
TZS 3B sio mchezo jamani
sio watoto maskini sema wa vigogo.watoto wa maskini husoma ktk mazingira magumu ambayo hata mazingira wanayosomea si wezeshi hivyo kuwafanya watoto kutofanya vzr ktk mitihani yao.watoto wa vigogo ndio wanaowasomesha watoto ktk mashule mazuri yenye kila aina ya miundo mbinu hivyo kuwafanya wafaulu vzr hivyo hiyo bursary ya mh rais inawanufaisha watoto wanaotoka kundi hilo.
Bilioni tatu kutumika Samia Scholarship
View attachment 2369557
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili Septemba 25, 2022 jijini Dodoma.
Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita.
Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship.
Akizungumza hayo leo Jumapili Septemba 25,2022, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Septemba 27,2022 wanafungua rasmi tangazo la ufadhili huo ambao utawahusisha wanafunzi waliofaulu kwa kiwango cha juu na kudahiliwa kusoma masomo ya sayansi katika vyuo mbalimbali.
“Baada ya hapo majina yao yatatanangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari kwa wamefanya vizuri sana katika masomo ambao wanastahili kupewa Mama Samia Scholarship,”amesema.
Amesema kuwa wanafunzi 640 ndio waliofaulu kwa kiwango cha juu katika masomo ya sayansi, kwa hiyo watafahamu na endapo watadahiliwa katika masomo ya sayansi watakuwa wanufaika wa ufadhili huu.
Aidha, Profesa Mkenda amesema kesho kutakuwa na mkutano wa wadau wa elimu nchini ambapo lengo likiwa ni kupitia sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mtaala wa elimu.
“Majadiliano yatatokana na hatua iliyofikiwa kutokana na mapitio ya sera na mitaala baada ya kukusanya maoni mengi ya wadau ambayo tuliyakusanya kupitia mikutano mbalimbali na wengine wamekuwa wakituletea kimaandishi,”amesema.
Amewataja wadau watakaokutana ni wahadhiri, waajiri na wadau wa maendeleo, taasisi zinazohusihanisha na lugha, wabunge, wajumbe wa kutoka Zanzibar, jumuiya za kielimu, taasisi za tafiti za kisayansi, taasisi za umma, binafsi na dini.
Pia Profesa Mkenda amewataka Watanzania kuwasilisha rasimu za maandiko yao za riwaya na mashahiri katika kuwania tuzo za waandishi bunifu ambazo zinajulikana kama tuzo za Mwalimu Nyerere.
Mimi nilishaapa ,niko tayari hata kuuwa ili mradi tu mama asigusweMimi nikisikia unampinga huyu Mama bora nikupigie na kitu kizito kichwani, itajulikana mbele ya safari,
TZS 3B sio mchezo jamani
Hauna Jina huo mkoa ?mwongo na mumbeya usie na haya weweKuna mikoa huko hakuna hata madawati.
Amezotoa wapi pesa hizo??
Bilioni tatu kutumika Samia Scholarship
View attachment 2369557
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili Septemba 25, 2022 jijini Dodoma.
Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita.
Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship.
Akizungumza hayo leo Jumapili Septemba 25,2022, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Septemba 27,2022 wanafungua rasmi tangazo la ufadhili huo ambao utawahusisha wanafunzi waliofaulu kwa kiwango cha juu na kudahiliwa kusoma masomo ya sayansi katika vyuo mbalimbali.
“Baada ya hapo majina yao yatatanangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari kwa wamefanya vizuri sana katika masomo ambao wanastahili kupewa Mama Samia Scholarship,”amesema.
Amesema kuwa wanafunzi 640 ndio waliofaulu kwa kiwango cha juu katika masomo ya sayansi, kwa hiyo watafahamu na endapo watadahiliwa katika masomo ya sayansi watakuwa wanufaika wa ufadhili huu.
Aidha, Profesa Mkenda amesema kesho kutakuwa na mkutano wa wadau wa elimu nchini ambapo lengo likiwa ni kupitia sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mtaala wa elimu.
“Majadiliano yatatokana na hatua iliyofikiwa kutokana na mapitio ya sera na mitaala baada ya kukusanya maoni mengi ya wadau ambayo tuliyakusanya kupitia mikutano mbalimbali na wengine wamekuwa wakituletea kimaandishi,”amesema.
Amewataja wadau watakaokutana ni wahadhiri, waajiri na wadau wa maendeleo, taasisi zinazohusihanisha na lugha, wabunge, wajumbe wa kutoka Zanzibar, jumuiya za kielimu, taasisi za tafiti za kisayansi, taasisi za umma, binafsi na dini.
Pia Profesa Mkenda amewataka Watanzania kuwasilisha rasimu za maandiko yao za riwaya na mashahiri katika kuwania tuzo za waandishi bunifu ambazo zinajulikana kama tuzo za Mwalimu Nyerere.
Mpuuzi mmoja tu.Hauna Jina huo mkoa ?mwongo na mumbeya usie na haya wewe
Hujui unachoongea mtoto kama ana akili ana akili tusio watoto maskini sema wa vigogo.watoto wa maskini husoma ktk mazingira magumu ambayo hata mazingira wanayosomea si wezeshi hivyo kuwafanya watoto kutofanya vzr ktk mitihani yao.watoto wa vigogo ndio wanaowasomesha watoto ktk mashule mazuri yenye kila aina ya miundo mbinu hivyo kuwafanya wafaulu vzr hivyo hiyo bursary ya mh rais inawanufaisha watoto wanaotoka kundi hilo.
Hauna Jina huo mkoa ?mwongo na mumbeya usie na haya wewe