Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Umeshindwa angalia tarehe mkuu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshindwa angalia tarehe mkuu.....
Umeshindwa angalia tarehe mkuu.....
Ndipo AKILI Yako ilipoishia?😠😠Hujui unachoongea mtoto kama ana akili ana akili tu
Nenda kaangalie matokeo ya shule za Serikali kama Kibaha Tabora boys,Mzumbe no utachuchuma chino watoto wanafanya kweli
Mitoto waweza kulipia ada milioni 20.Provate kwa mwaka na likatoka na division four au zero!!
Toto lako kama bwege bwege tu mbona shule za Serikali wako.kibao wana perform kwenye mazingira hayo hayo.unayoita mabovu?
Uongo huuMimi nilishaapa ,niko tayari hata kuuwa ili mradi tu mama asiguswe
Hauna Jina huo mkoa ?mwongo na mumbeya usie na haya wewe
Kinachoongelewa scholarship ni waliomaliza kidato cha sita wewe unaleta ya shule ya msingi Tuonyeshe picha ya shule yeyote ya sekondari ya Serikali iwe.O. evel au A level wanayokaa chini wanafunzi
Kwa akili yako ndogo huwezi ona hoja yangu.Kinachoongelewa scholarship ni waliomaliza kidato cha sita wewe analeta ya shule ya msingi Tuonyeshe picha ya shule yeyote ya sekondari ya Serikali iwe.O.level au A level wanokaa chini
Kwamba hapa Elimu bongo haifai au ?
Mama anaupiga mwingi sana sekta ya elimuJumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita.
Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship.
Akizungumza hayo leo Jumapili Septemba 25,2022, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Septemba 27,2022 wanafungua rasmi tangazo la ufadhili huo ambao utawahusisha wanafunzi waliofaulu kwa kiwango cha juu na kudahiliwa kusoma masomo ya sayansi katika vyuo mbalimbali.
“Baada ya hapo majina yao yatatanangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari kwa wamefanya vizuri sana katika masomo ambao wanastahili kupewa Mama Samia Scholarship,”amesema.
Amesema kuwa wanafunzi 640 ndio waliofaulu kwa kiwango cha juu katika masomo ya sayansi, kwa hiyo watafahamu na endapo watadahiliwa katika masomo ya sayansi watakuwa wanufaika wa ufadhili huu.
Aidha, Profesa Mkenda amesema kesho kutakuwa na mkutano wa wadau wa elimu nchini ambapo lengo likiwa ni kupitia sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mtaala wa elimu.
“Majadiliano yatatokana na hatua iliyofikiwa kutokana na mapitio ya sera na mitaala baada ya kukusanya maoni mengi ya wadau ambayo tuliyakusanya kupitia mikutano mbalimbali na wengine wamekuwa wakituletea kimaandishi,”amesema.
Amewataja wadau watakaokutana ni wahadhiri, waajiri na wadau wa maendeleo, taasisi zinazohusihanisha na lugha, wabunge, wajumbe wa kutoka Zanzibar, jumuiya za kielimu, taasisi za tafiti za kisayansi, taasisi za umma, binafsi na dini.
Pia Profesa Mkenda amewataka Watanzania kuwasilisha rasimu za maandiko yao za riwaya na mashahiri katika kuwania tuzo za waandishi bunifu ambazo zinajulikana kama tuzo za Mwalimu Nyerere.
Ametowa mfukoni mwake?Nauliza hivi ili nijuwe pakupeleka pongezi zangu.Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita.
Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship.
Akizungumza hayo leo Jumapili Septemba 25,2022, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Septemba 27,2022 wanafungua rasmi tangazo la ufadhili huo ambao utawahusisha wanafunzi waliofaulu kwa kiwango cha juu na kudahiliwa kusoma masomo ya sayansi katika vyuo mbalimbali.
“Baada ya hapo majina yao yatatanangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari kwa wamefanya vizuri sana katika masomo ambao wanastahili kupewa Mama Samia Scholarship,”amesema.
Amesema kuwa wanafunzi 640 ndio waliofaulu kwa kiwango cha juu katika masomo ya sayansi, kwa hiyo watafahamu na endapo watadahiliwa katika masomo ya sayansi watakuwa wanufaika wa ufadhili huu.
Aidha, Profesa Mkenda amesema kesho kutakuwa na mkutano wa wadau wa elimu nchini ambapo lengo likiwa ni kupitia sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mtaala wa elimu.
“Majadiliano yatatokana na hatua iliyofikiwa kutokana na mapitio ya sera na mitaala baada ya kukusanya maoni mengi ya wadau ambayo tuliyakusanya kupitia mikutano mbalimbali na wengine wamekuwa wakituletea kimaandishi,”amesema.
Amewataja wadau watakaokutana ni wahadhiri, waajiri na wadau wa maendeleo, taasisi zinazohusihanisha na lugha, wabunge, wajumbe wa kutoka Zanzibar, jumuiya za kielimu, taasisi za tafiti za kisayansi, taasisi za umma, binafsi na dini.
Pia Profesa Mkenda amewataka Watanzania kuwasilisha rasimu za maandiko yao za riwaya na mashahiri katika kuwania tuzo za waandishi bunifu ambazo zinajulikana kama tuzo za Mwalimu Nyerere.
Ukute yeye ndo kawaagizaNi kweli kabisa.yaani wanaita samia scholarship ili kumfurahisha kama vile ni pesa yake wakati ni kodi za wananchi
Kodi zetu ziheshimiwe!
HESLB ni kwa ambao hawajafanya vizuri?
Wasitengeneze classes kwa vijana wetu,after all wanaofanya vizuri ni watoto wa viongozi waliosoma shule nzuri, hivyo wanajitengenezea mazingira ya upigaji.
Hatutaki!👊