Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

Hapo unlimited speed ipo wapi wakati limit ni 10mbps?

Kwahiyo ukilipia bill ya maji kwa mwezi ndiyo umeruhusiwa kufungulia bomba utakavyo?
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
 
Raia ni wabishi mkuu sisi tunatumia hadi gb 300 kwa siku tuna download movie na ku upload bado watu wanashinda YouTube kutwa nzima
Hawa voda ili upate hii huduma Ni lazima uwe na karibu na hizo fibre zao au utaratibu ukoje chief?
 
Hapo unlimited speed ipo wapi wakati limit ni 10mbps?

Kwahiyo ukilipia bill ya maji kwa mwezi ndiyo umeruhusiwa kufungulia bomba utakavyo?
Mkuu kwema hii kitu ipo nazani ujaeleza vizuri na mtoa mada 10mbps ni kiwango unachopokea kutoka kwa mtoa huduma(ISP) unapolipia huduma iyo T-fiber toka TTCL basi utaweza tumia ndani ya mwezi mzima na kudownload chochote kwa GB utakazoweza ndani ya mwezi ndo mana tunasema unlimited wengine usema home internet service or small office internet ,lakini unaweza ongeza package na ghalama itapanda kiasi ila kwa makampuni mengi sasa bei zao uwanzia Tsh 55,000/= kwa TTCL ,Zuku fiber wao Tsh 69,000/= wanatoa 10mbps kwa minimum package yao installation fees ni free ,gofiber wao utoa 20mbps minimum package installation cost yao ni Tsh 200,000/=,vodacom super kasi wao 10mbps minimum package yao ni Tsh 115,000/= installation coast ni free,Raha wana liquid home wao 10mbps utoa kwa 50,000/= installation ni free ,konnect wao wana 10mbps kwa 60,000/= ila itakulazimu lipia Tsh 345,000/= kwa ajili ya installation materials. Hizo ni kampuni chache kati ya nyingi zinazotoa home internet yaweza kua fiber ama antenna device hapa atuzungumzii hizi internet za GSM sim card.

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Atakujibu tena "hapo unlimited speed iko wapi"?
 
Natamani waanze hata leo hawa makampuni ya simu ni wezi kupita maelezo asante sana magu kwa kutuletea ttcl
 
Nitafuatilia mkuu kama ni kweli naweza kufanya biashara
 
Kwa huduma za fibres Zuku hana mpinzani unalipia elf40 unapata unlimited data mwezi mzima na speed ni ya farasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…