sampuli nyingi
Senior Member
- May 4, 2022
- 187
- 298
Itakua nzuri Sana maana huduma nyingi zinategemea Internet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umelala usingizi wa pono. Nilipo natumia 1000 mbps ninavyotaka. Hakuna cha kupimiana. Fiber ya kisasa kabisa.Nchi gani hapa duniani wana hiyo huduma ya unlimited internet bundle? Zitaje 3 nione
Ni satelliteHawa voda ili upate hii huduma Ni lazima uwe na karibu na hizo fibre zao au utaratibu ukoje chief?
Kwa hio popote pale hata mikoani huduma hii mtu anaweza kuipata mkuu?Ni satellite
Ningekuwa wakwanza kuisubilia...Kwa bei hizo watasubiri sana!! WAtafanana na DSTV ambao wameng'ang'ania bei ya zaidi ya laki moja kwa kifurushi cha compact plus ili kuona EPL. Matokeo yake watu wamekomaa na vibanda umiza!! Wangeshusha angalau ikawa 50,000/= watu wengi sana wangenunua na wangepata faida sana.
sasa hawa TTCL wanataka sh 55,000 kwa intanenti spidi ya chini kwa mwezi, itabidi wasubiri sana! wangefanya sh 20,000/= wangepata watu wengi.
Hii huduma mbona ipo, au ndio unaisikia leo?Safi sana
Huduma ikuje, ikuje haraka, tujenge Taifa
Na makampuni binafsi yasitie pua, TTCL yatosha!
Huku uswahilini kwetu Mbagala kizuiani haipoHii huduma mbona ipo, au ndio unaisikia leo?
Mimi huwa nacheza na MB 22 kwa 30,000TShs kwa mwezi mzima sijui nitakwenda vp TTCL kulipa 55,000 kwa kitu ambacho ni fixed ukutani.Wamefelije mbona bei elekezi kabisa😅 unataka ushinde instagram kwa bei gani mzee?
Kwangu mi ni nafuu kuliko utapeli wa kuuziana MB gizani
Kwasababu hujatumia smile na other isp providers.Internet Tanzania wanayo vodacom tu. Wengine wote waliobaki ni maigizo tu
10mbps kwa 55,000 mbona nitaachana na haya mapakaKumekuwa ni kilio cha muda mrefu kuhusu upatikanaji wa unlimited internet kwa gharama nafuu. Ilikuwa inashangaza ni kwa nini shirika kubwa kama TTCL Customer Care haliichukui hii fursa (hata kwa kushirikiana na TANESCO ili kutumia nguzo zao). Sasa wapo kwenye right track na watasambaza internet kila kona kuanzia mwaka ujao wa fedha; unajichagulia speed yako kulingana na uwezo wa kulipia kwa mwezi. Asante Jiwe Magufuli kwa kulipa shirika uwezo wa kufanya makubwa, historia itakukumbuka daima.
Bei za vifurushi kwa mwezi:
10mbps > 55,000
20mbps > 100,000
30mbps > 150,000
50mbps > 200,000
cc C.T.U
#KaziIendelee
mtandao gani unatumia mkuuMimi huwa nacheza na MB 22 kwa 30,000TShs kwa mwezi mzima sijui nitakwenda vp TTCL kulipa 55,000 kwa kitu ambacho ni fixed ukutani.
Airtelmtandao gani unatumia mkuu
NdioKwa hio popote pale hata mikoani huduma hii mtu anaweza kuipata mkuu?
Upo sehemu gani mkuu?Airtel
Shukrani mkuu.Ndio
atatanza net akiwa wapi kwani?Asante Jiwe Magufuli kwa kulipa shirika uwezo wa kufanya makubwa
Ni 10Mbps yaani Megabytes per second na sio 10mbHata hawajuwi wanaongea nini
250k halafu mb 10 Eti hii ni unlimited