Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipi bora kumuita mama au mungu na yesu ,mbeba maono, jiwe , chuma , tingatinga waliyomuita mtangulizi wake?
Neno mama ni heshima kubwa sana!!Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk...
Rais Mama Samia Suluhu Hassan,
Madam President,
Kama una nyongo itapike.
Sawa kabisa ni heshima kumuita mama na inawafanya kina mama wote kuona wameheshimiwa.Mwinyi tu na miaka yake 95 anamuita mama tena mbele ya hadhara Mimi na miaka yangu 20s naachaje kumuita mama...
Acheni kucomplicate mambo....kiutamaduni kumuita Rais mama Samia it's honourable kuliko hata Rais Samia
Mama ni special for her just as it was Mwalimu for Nyerere. Connotatively haya maneno yana uzito mkubwa. Ni heshimaTumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk...
Hatuwezi kumuita rais wetu kwa lugha za mabeberu. Ni "MAMA"Huyo atakuwa timu chato!! Tuachane naye sisi tuendelee kumwita "Madam Predidaaa..." hataki akafukue kaburi.
Uzi uishie hapahakuna heshima kubwa kwa mwanamke kupita neno 'mama'.
Uzi uishie hapohakuna heshima kubwa kwa mwanamke kupita neno 'mama'.
Hehehehe kabisaaaaHuyo atakuwa timu chato!! Tuachane naye sisi tuendelee kumwita "Madam Predidaaa..." hataki akafukue kaburi.
Nyerere alikuwa ni Mwalimu kitaaluma si sifa.Mama ni special for her just as it was Mwalimu for Nyerere. Connotatively haya maneno yana uzito mkubwa. Ni heshima
Samia ni mama kijamii.Nyerere alikuwa ni Mwalimu kitaaluma si sifa.