Rais kaongea vizuri kabisa kwamba Nchi ijengwe kwa pamoja sasa swala la kushindana na Serikali linatoka wapi? Na lengo lake ni lipi?
Pili amewataka hao wanaojiita jukwaa la haki za binadamu kuacha dabo standards na wawe wanaweka wasi vyanzo vyao vya pesa na shughuli wanazofanya Ili serikali iweze kutambua mchango wao na kuwa account for..
Eti vyako unaficha na hutaki monitoring ila wewe unataka ufanye monitoring ya serikali 😄😄😄😄,hii haipo kawachana live bila chenga..
Huyu hapa Samia anaunguruma 👇
View attachment 2223972
View attachment 2223973