Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

Huyu Raisi ni dhsifu sana kama alivyokuwa Kikwete,akibanwa na issues,Anakimbilia kujificha nyuma ya jinsia na uanamke wake,
Yaani ataki apingwe kwa sababu tu ni mwanamke!! So sad!!!badala ya kujibu hoja kuhusu wizi,ubadhirifu wa pesa ya umma,hazina,msd,tamisemi,yeye anauliza kwanini tunataka mapambano!!
Anazingua Sana
 
Ni Kweli Rais Si mama Yangu, Pia CCM Si mama yangu. Bt ukisikiza Kwa umakini kauli za Aliekalia kiti Kwa sasa ana DHAMIRA kuhusu kuondoa misuguano kisiasa ndo maana amediriki kulitamka neno HAKI Zaid ya mara moja.


Ni Rahisi SANA kutamka neno AMANI kuliko kutamka neno HAKI. Awamu nyingi zilizopita viongozi hawakuweza kulitamka neno hilo.CCM pia hawamwelewi Kwa DHAMIRA hiyo anayoonesha. Penye UKWELI tuseme na kwenye UOVU tukemee. Amen.
Kwani Kutamka Ndo Kutenda?
 
She has become a loughing stock in the statehouse kila kitu mama mama, why not sister ?

Hivi anadhani raia wote anawazidi umri?

Propaganda za kijinga sana
 
Wewe ndio mjinga,hao NGS hawataki pesa zao ziwe audited naMamlaka na wanaficha vyanzo vyao kiasi kwamba imekuwa ngumu kwa mamlaka ku trace ,wataonyesha vyanzo A wanaficha vyanzo B,kana kwamba haitoshi wanakuwa wagumu kuleta mpango Kazi.

Wewe ndio huna akili na mpumbavu mkuu nikikuita mjinga sio sawa. Niko kwa industry ya NGO for decades katika auditing
 
Kukubali kuonana na Lisu, Mbowe mara 2, Vyama vingine vya siasa ni hatua kubwa hiyo. Nia ameonesha ndugu tukubali UKWELI. Naamini hata KATIBA mpya itaandikwa bila kumwaga Damu. Mungu anaipenda sana Nchi yangu TANZANIA. Amen
Huo Ni Uswahili Amefanya hayo ili awe huru , Kwanini Sasa hivi hamna kelele za wapinzani Ama huyu Raisi Wa sasa ni Malaika Hajakose?
 
Huo Ni Uswahili Amefanya hayo ili awe huru , Kwanini Sasa hivi hamna kelele za wapinzani Ama huyu Raisi Wa sasa ni Malaika Hajakose?
Nakwambia Hilo ni Takwa la system Kwa sasa kuiponya Nchi na mpasuko. Pia ni shinikizo Kutoka mataifa yenye nguvu. Pale Amna maigizo.
 
Unateseka Sana na Urais wa Samia!

Huyo humuwezi, endeleeni Tu na kampeni yenu ya kufanya kisukuma kuwa lugha ya Taifa maana ndo upeo wenu wa kipuuzi ulipoishia. Ukimaliza rudi kwenu Rwanda
Sasa wewe ni mama yako. Pole sana kwa kumvua mama yako umama. Mimi aslani!
 
Samia ni Rais wa nchi ya Tanzania na lazima awajibike kulingana na nafasi yake ki katiba.

Suala la kuwatisha wakosoaji wake huku akiwatabiria laana ya kupambana na mwanamke si jambo la kuvumilika hata kidogo!

Urais haufungamani na u-mama wake ni kwa watoto wake pekee; ndiyo na hii ni kwa sababu si kila awaye hapa Tanzania ni mwanaye kama anavyotaka kutuaminisha.

Rais Samia asilete u-mama kwenye wajibu.
Sidhani kama Rais anatisha wakosoaji wake. Nchi kwa mara ya kwanza toka mwaka 2015 iko kwenye kipindi cha uhuru kamili wa utoaji maoni. Tofauti na kipindi cha yule mungu wenu DIKTETA wa Chato ambaye aliweka mashushushu hadi mitaani kuwinda wanaomkosoa.

Akatumia gharama nyingi kuwarekodi akina Kinana, Makamba na Nape. Kweli washamba wa Kolomije kamwe wadipate mafasi ya kuongoza tena Tanzania
 
Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk.

Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri Jeshi na kulazimisha ujinsia usiokuwepo. Ni kumwondolea heshima stahiki maana hata yeye amesema mara kadhaa, "Umakamu wangu ni hapa ofisini nikirudi nyumbani ni mama kama Mama wengine". Kwa mantiki hiyo tumuone Rais SSH akiwa ofisini si nyumbani.

#FreedomIsBack!
Acha tumuite " Mama wa Taifa" kiongozi, anatuongoza vizuri bila bugudha wala kufokewa na kutishwa, Mama ni mlezi, mambo ya Amiri jeshi ataitwa na majeshi tusijepigwa "kwata" (joke)
 
She has become a loughing stock in the statehouse kila kitu mama mama, why not sister ?

Hivi anadhani raia wote anawazidi umri?

Propaganda za kijinga sana
Shangaa hata li waziri mkuu nalo linamwita mama! Maajabu haya! Kwanini wasiseme tu Mh. Rais? Waache ujinga!
 
Back
Top Bottom