Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

Anazingua Sana
 
Kwani Kutamka Ndo Kutenda?
 
She has become a loughing stock in the statehouse kila kitu mama mama, why not sister ?

Hivi anadhani raia wote anawazidi umri?

Propaganda za kijinga sana
 
Wewe ndio mjinga,hao NGS hawataki pesa zao ziwe audited naMamlaka na wanaficha vyanzo vyao kiasi kwamba imekuwa ngumu kwa mamlaka ku trace ,wataonyesha vyanzo A wanaficha vyanzo B,kana kwamba haitoshi wanakuwa wagumu kuleta mpango Kazi.

Wewe ndio huna akili na mpumbavu mkuu nikikuita mjinga sio sawa. Niko kwa industry ya NGO for decades katika auditing
 
Kukubali kuonana na Lisu, Mbowe mara 2, Vyama vingine vya siasa ni hatua kubwa hiyo. Nia ameonesha ndugu tukubali UKWELI. Naamini hata KATIBA mpya itaandikwa bila kumwaga Damu. Mungu anaipenda sana Nchi yangu TANZANIA. Amen
Huo Ni Uswahili Amefanya hayo ili awe huru , Kwanini Sasa hivi hamna kelele za wapinzani Ama huyu Raisi Wa sasa ni Malaika Hajakose?
 
Huo Ni Uswahili Amefanya hayo ili awe huru , Kwanini Sasa hivi hamna kelele za wapinzani Ama huyu Raisi Wa sasa ni Malaika Hajakose?
Nakwambia Hilo ni Takwa la system Kwa sasa kuiponya Nchi na mpasuko. Pia ni shinikizo Kutoka mataifa yenye nguvu. Pale Amna maigizo.
 
Unateseka Sana na Urais wa Samia!

Huyo humuwezi, endeleeni Tu na kampeni yenu ya kufanya kisukuma kuwa lugha ya Taifa maana ndo upeo wenu wa kipuuzi ulipoishia. Ukimaliza rudi kwenu Rwanda
Sasa wewe ni mama yako. Pole sana kwa kumvua mama yako umama. Mimi aslani!
 
Sidhani kama Rais anatisha wakosoaji wake. Nchi kwa mara ya kwanza toka mwaka 2015 iko kwenye kipindi cha uhuru kamili wa utoaji maoni. Tofauti na kipindi cha yule mungu wenu DIKTETA wa Chato ambaye aliweka mashushushu hadi mitaani kuwinda wanaomkosoa.

Akatumia gharama nyingi kuwarekodi akina Kinana, Makamba na Nape. Kweli washamba wa Kolomije kamwe wadipate mafasi ya kuongoza tena Tanzania
 
Acha tumuite " Mama wa Taifa" kiongozi, anatuongoza vizuri bila bugudha wala kufokewa na kutishwa, Mama ni mlezi, mambo ya Amiri jeshi ataitwa na majeshi tusijepigwa "kwata" (joke)
 
She has become a loughing stock in the statehouse kila kitu mama mama, why not sister ?

Hivi anadhani raia wote anawazidi umri?

Propaganda za kijinga sana
Shangaa hata li waziri mkuu nalo linamwita mama! Maajabu haya! Kwanini wasiseme tu Mh. Rais? Waache ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…