Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

kwahicho kinyaa chako utaweza kuish india ?😀😀
Mmh kukoje

Ila mi vyakula vya waswahili🙌 naanagliaga sn mazingira,ila, kiukweli wanapika wale watu nawapa maua yao ....😂
 
Mzee kupatikana akila pipi kijiti au ice cream
 
Sasa sisi tutataja nini?
 
Sasa sisi tutataja nini
Kupost status unaimbaimba na nyimbo zenyewe wala hauzijui vizuri, hapo utakuta ni 30+

Wazee wenzio tunahisi aibu.
Hii kweli
 
Namna wanasiasa wetu walivyondumila kuwili na zile tabia hayati Mwalimu Nyerere alizianisha kwenye hotuba zake,aibu tunaona wananchi tusiofungwa na itikadi za vyama.
Mwanasiasa anaweza kutoa kauli kinzani na aliyoitoa jana tu au masaa machache.
 
Sasa nguo ukikaa hadi ubane miguu kama miguu inaweza kuficha Pichu si ungetembea kavu kavu tu

Wengi maofisini wanatia aibu mama mtu mzima ila usijaribu kukaa nae meza zinazotazamana hata msosi utashindwa kula siku hiyo
Ushindwe kula kwa kuona utupu wa mwanamke? Mi nilifikiri utakosa utulivu sababu ya tamaa?

Unakataza sababu ya kukwepa tamaa au kinyaa?

Wewe ni mwanaume?
 
Ushindwe kula kwa kuona utupu wa mwanamke? Mi nilifikiri utakosa utulivu sababu ya tamaa?

Unakataza sababu ya kukwepa tamaa au kinyaa?

Wewe ni mwanaume?
Sijui mnatamani nini nyie wenzangu mimi natamani hadi kutapika na vile wengi siku hizi mirangi rangi isiyoeleweka ya kujichubua plus mifangasi humo katikati ya mapaja aisee bora wafunikage tu hiyo mitakataka yao sasa usiombe liwe bonge ndio utakimbia
 
Namna wanasiasa wetu walivyondumila kuwili na zile tabia hayati Mwalimu Nyerere alizianisha kwenye hotuba zake,aibu tunaona wananchi tusiofungwa na itikadi za vyama.
Mwanasiasa anaweza kutoa kauli kinzani na aliyoitoa jana tu au masaa machache.
Nikisikiliza zile clips 2 za ester bulaya nakosa jina la kumuita.
Kuona aibu kwa niaba ndo huku kunanipata!!
 
Sijui mnatamani nini nyie wenzangu mimi natamani hadi kutapika na vile wengi siku hizi mirangi rangi isiyoeleweka ya kujichubua plus mifangasi humo katikati ya mapaja aisee bora wafunikage tu hiyo mitakataka yao sasa usiombe liwe bonge ndio utakimbia
Kweli tunatofautiana, mimi ndo kwanza naanza kumpigia mahesabu hata kama m'mama
 
Kweli tunatofautiana, mimi ndo kwanza naanza kumpigia mahesabu hata kama m'mama
Mimi najiuliza sijui hawaonagi aibu

Mkuu kuna watu automatically huwezi kuwatamani hata uwe na tamaa za fisi mfano mkubwa wako wa kazi ambae unamheshimu, Mama zako hata kama sio wa kukuzaa, dada zako hata kama hamjazaliwa tumbo moja na wengine wengi ambao hisia haziwezi kukujia kulingana na status zenu watu hao wakikaa kihasara ndio utajua uhalisia wa ubaya wa hayo madude niliyoyataja
 
Wote uliotaja naweza kuwa na hisia nao wakiweka mazingira vibaya
 
Wote uliotaja naweza kuwa na hisia nao wakiweka mazingira vibaya
Mkuu ni hatari kama ndio hivyo unawezaje kuwa na hisia na mama zako wadogo au wakubwa, wajomba wa tumbo la dada zako, dada zako wa mama zako wadogo, shangazi zako waliozaliwa na baba ako, na mfanano wa hivyo kusema ukweli jamii yetu kwa sasa inatia kinyaa means imeoza
 
Aibu kubwa kwangu ni hii

1. Katika vyoo vya uswahilini vyenye gunia mlangoni . Unaingia chooni unakuta mama mkwe/ mashemeji wa mkeo anakata gogo na kakupa mgongo utfikiri anategua mtego.

2. Unafika ugenini unacheza na mtoto anyekula andazi . Ghafla kitoto kinalia kinasema amenilia andazi langu . Wakija kuona ni kweli limemegwa . Lakini hujalila ni mtoto tu na wenge zake . Hii ilinikuta sehemu

3. Unafika ugenini , umechoka huna hata mia . Aidha ni kwa ndugu na jamaa . Kumbe wao walilala na njaa na hata hiyo siku hawana namna na wewe ndiyo umefika . Wanakuona kama shetani mtoa Roho amezidi kuwatafuta . Aibu!!! . Hata utoe salaam zote za huko ulipotoka ,yaani wao hawakuelewi.

4. Siku ambayo unatongozwa na mtu ambaye ulikuwa humzanii . Mfano kama ni mwanaume unafuatwa na mtu wa kike uliyekuwa unamuheshimu na baada ya mitego mingi unatembea naye .. ni aibuu!!!

5. Unaenda katika pledge za Harusi zilizo setiwa tayari . Wewe unawaza kutoa Laki Moja . Mtu wa kwanza ni ten million Hadi kwako mwisho ni milioni 5 . Yaani ni aibu !!! ,lazima niende chooni Kisha mazima nasepa.

Nk .
 
Huko kwenye status.... unakuta mtu anapost kila anachofanya,,, kila anapokwenda mara anakunywa bia yupo ndani kwake anaimba imba anacheza cheza hadi unajiuliza hivi huyu wazazi wake hawaoni.

Kingine unakuta mtu anaropoka tu wengine wamenyamaza kimya yeye tu ndo anasikika na hajali wala nini
 
Sasa mavazi ya ccm yana shida gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…