Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

Aibu akisi zipo lakin hakuna inayofedhehesha kama mama mkwe kukaa vibaya utupu wazi
Mtihan ni namna ya kumshtua.
Wakwe mkuwe makin tripple jaman.
 
Kulala wenzio kwenye usafiri wa umma
 
Kumtambulisha mtu ulieko nae Kwa wengine na undani wake mbaya sana acha ajitambulsh Mwenyew, na hiyo ya kutoa sauti kwenye kutafuna unakera AFU mtu unamheshim vzr tu lakn mwee chai ni fruuuh,😌 mbaya sana
 
Kula huku unatoa sauti mbaya sana
 
Kwenye uchi wa mwanamke dini inakujaje kiufupi tupu zenu zinatia kinyaa kuanzia matiti, kiupi na wuesi kwenye mapaja na makwapa funikeni
Kwammba wanajichanua Hadi unaona kyupi na weusi kwenye mapaja 🤣🤣🤣🤣🤣
Pole Hilo Ni li shangingi uliliona
 
Kwammba wanajichanua Hadi unaona kyupi na weusi kwenye mapaja 🤣🤣🤣🤣🤣
Pole Hilo Ni li shangingi uliliona
Sasa nguo ukikaa hadi ubane miguu kama miguu inaweza kuficha Pichu si ungetembea kavu kavu tu

Wengi maofisini wanatia aibu mama mtu mzima ila usijaribu kukaa nae meza zinazotazamana hata msosi utashindwa kula siku hiyo
 
Hapo namba 3 na 10 huwa pananikwaza pakubwa sana.
Watu wengine hata mkiwa kwenye public wanataka muongee kinyumbani wakati hamuongea hata mambo binafsi. Sijui kwann hili? Sasa mm kidogo kinyumbani hakijakaa sawasawa basi dah. Nayatafita maneno kweli kwann tusiongee tu kiswahili tukiwa na wasiojia cha kwetu??
 
Naangalia mpaka mwisho kwani alivyovaa si alitaka tumuone??
Wanaangalika sasa mkuu watu wenyewe siku hizi wanajikoboa miguu mieupe mipaja mieusi tii katikati na mifangasi juu sijui hawaonagi aibu duuh
 
Wanaangalika sasa mkuu watu wenyewe siku hizi wanajikoboa miguu mieupe mipaja mieusi tii katikati na mifangasi juu sijui hawaonagi aibu duuh
Biashara ni matangazo mkuu. Ukiona anavaa hivyo jua anatangaza biashara yake huyo. Hivyo kuangalia ni sawa na window shopping tu.
Na wale wa ile michirizi ya kyupi? Imejichora raaa! Mwanzo mwisho unaiona akiinama hadi kale kakitambaa ka pale katikati unapaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…