Tuchuguzeni kwa makini hizi kelele zinazopigwa kuhusu Ubinafsishaji Bandari, mbona kama kuna Vigogo wawili wanapigania Maslahi yao binafsi?

Upo sahihi mleta mada naungana na wewe kuna watu hawajawahi import hata pencil ikashushwa bandarini ila wapo na the so called "bandari imeuzwa".

Hii propaganda ni ya wahuni wachache wanaotumia ujinga wa baadhi ya wananchi kutetea deal zao zisibume, mbona Southampton port wapo hawa hawa DP does that mean UK ni wajinga na hawajali maslahi yao? Tupunguze ujuaji.

unakatwaaaaa..... hiyo simu yako ilitengenezwaa buza au?? ndo nyie mnasema petrol ikiongezeka bei wasiokuwa na magari wasilalamikeee...
 
Unaliwa kimasikhara wewe na mimi hapa.
 
Wanaopiga kelele wana vinasaba na MADILI na AJIRA za BANDARI...😂😂😂

Ukute mzee keshampeleka mwanaye Kozi ya Chuo kwa ajili ya ajira ya Bandari halafu mara paaaaap DP hao 🤣🤣🤣 unategemea nini???
 
Hivi,

1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa?

2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si ndio hawa waligoma kabisa juzi kati sababu ya loopholes za tra kuanzia hapo bandarini na kwingineko?

Cha mwisho kila siku tunalalamika utendaji kazi wa watumishi wetu una loopholes za kutosha sasa iweje leo tubadilike na kuona kana kwamba watu wetu wanatosha kabisa ili hali tunaelewa kabisa uwezo wao autoshei kuhudumu hapo?

Mimi naona hapa kuna maslahi ya watu yanaguswa na wanatumia nguvu kubwa sana kupotosha umma kwa makusudi kuhusu uwekezaji huu na watz tusivyo na akili tunadaka kama yalivyo na kukimbiza kwenye mitandao bila ku reasoning.
UKITAKA KUISHI TANZANIA FRESH LAZIMA UWE MWIZI, TAPELI, MUONGO MUONGO, MKWEPA KODI, MCHAWI NA MNAFIKI WATANZANIA WENGI WAKO HIVYO
 
Kumbe akina sultani mang'ung'o bado wapo Tz!
Bora hata akina Mangungo walikuwa hawajui kusoma, Je na sisi hatujui kusoma?
Hizi rushwa na maslahi binafsi mnawasahau wa Tz wenzenu ni laana kubwa sana kwenu, watoto na wajukuu zenu milele!
 
Hivi,

1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa?

2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si ndio hawa waligoma kabisa juzi kati sababu ya loopholes za tra kuanzia hapo bandarini na kwingineko?

Cha mwisho kila siku tunalalamika utendaji kazi wa watumishi wetu una loopholes za kutosha sasa iweje leo tubadilike na kuona kana kwamba watu wetu wanatosha kabisa ili hali tunaelewa kabisa uwezo wao autoshei kuhudumu hapo?

Mimi naona hapa kuna maslahi ya watu yanaguswa na wanatumia nguvu kubwa sana kupotosha umma kwa makusudi kuhusu uwekezaji huu na watz tusivyo na akili tunadaka kama yalivyo na kukimbiza kwenye mitandao bila ku reasoning.
Unachoma moto nyumba ili kumuua panya uliyemuona chini ya uvungu wa kitanda. Ili kutatua tatizo la bandari ya Dar es Salaam unawakabidhi bandari zote mpaka za kwenye maziwa kwa muda ambao hautaki kuuweka wazi!

Amandla...
 
Hivi,

1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa?

2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si ndio hawa waligoma kabisa juzi kati sababu ya loopholes za tra kuanzia hapo bandarini na kwingineko?

Cha mwisho kila siku tunalalamika utendaji kazi wa watumishi wetu una loopholes za kutosha sasa iweje leo tubadilike na kuona kana kwamba watu wetu wanatosha kabisa ili hali tunaelewa kabisa uwezo wao autoshei kuhudumu hapo?

Mimi naona hapa kuna maslahi ya watu yanaguswa na wanatumia nguvu kubwa sana kupotosha umma kwa makusudi kuhusu uwekezaji huu na watz tusivyo na akili tunadaka kama yalivyo na kukimbiza kwenye mitandao bila ku reasoning.
Kikwapi wabongo tuache uzushi na unafki si mzuri kabisa..
 
Back
Top Bottom