Tuchuguzeni kwa makini hizi kelele zinazopigwa kuhusu Ubinafsishaji Bandari, mbona kama kuna Vigogo wawili wanapigania Maslahi yao binafsi?

unakatwaaaaa..... hiyo simu yako ilitengenezwaa buza au?? ndo nyie mnasema petrol ikiongezeka bei wasiokuwa na magari wasilalamikeee...
 
unakatwaaaaa..... hiyo simu yako ilitengenezwaa buza au?? ndo nyie mnasema petrol ikiongezeka bei wasiokuwa na magari wasilalamikeee...

Unaliwa kimasikhara wewe na mimi hapa.
 
Wanaopiga kelele wana vinasaba na MADILI na AJIRA za BANDARI...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukute mzee keshampeleka mwanaye Kozi ya Chuo kwa ajili ya ajira ya Bandari halafu mara paaaaap DP hao 🀣🀣🀣 unategemea nini???
 
UKITAKA KUISHI TANZANIA FRESH LAZIMA UWE MWIZI, TAPELI, MUONGO MUONGO, MKWEPA KODI, MCHAWI NA MNAFIKI WATANZANIA WENGI WAKO HIVYO
 
Kumbe akina sultani mang'ung'o bado wapo Tz!
Bora hata akina Mangungo walikuwa hawajui kusoma, Je na sisi hatujui kusoma?
Hizi rushwa na maslahi binafsi mnawasahau wa Tz wenzenu ni laana kubwa sana kwenu, watoto na wajukuu zenu milele!
 
Unachoma moto nyumba ili kumuua panya uliyemuona chini ya uvungu wa kitanda. Ili kutatua tatizo la bandari ya Dar es Salaam unawakabidhi bandari zote mpaka za kwenye maziwa kwa muda ambao hautaki kuuweka wazi!

Amandla...
 
Kikwapi wabongo tuache uzushi na unafki si mzuri kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…