Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Von...Unazeeka vibaya Sana Dini inakuumiza kichwa sana
Tupatie mambo mazuri yasio nachembe za udini..
Dunia ya leo watu hawahadaiki na mambo ya dini.
Upo sahii lakini sio kwa kila mtu.
Wambie watanzania historia yetu inabebwa na upendo wa udugu kusaidiana na kushirikiana katika maswala mtambuka na sio kwa sababu ya dini.
Hiyo aloandika jamaa inaitwa "SARCASM".We niwa kupuuzwa. Waislam walikuwa taasisi ipi iliyotaifishwa na serikali? Taasis zilitaifishwa ni za kanisa. Mkapa aliwapa waislamu chuo cha TANESCO Morogoro bure kabisa ndio chuo kikuu pekee cha waislamu. Waislamu hawana uwezo hata wa kujenga chuo chao. Niambie zaidi ya kile chuo kikuu chenu qameongeza nini. Hata kufungua tawi Dsm wameshindwa. Ni watu wavivu, walalamishi, wa kupenda kupendelewa.
Magnifico,Hiyo aloandika jamaa inaitwa "SARCASM".
Unaangalia kila kitu kwa miwani ya dini inakua ngumu kuKuchukulia seriously.
Kiarabu ni official language TZ? Kama ni official language Znz, kwanini hujalalamika huyo mtu kusema ni official language hadi TZ mainland?
Yoda,Watu wote wenye akili na mapenzi mema na nchi watahakikisha inaendelea kubaki secular, na historia yake yote inaendelea kubaki secular.
hivyo sasa vitabu ulivyoshika ndivyo vinafundishwa kuanzia primary mpaka chuo kikuu,na ndiyo historia rasmi ya Tanganyika.Fundi...
Hakika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika ni historia ya Waislam na kitabu changu kimesema hivyo: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika."
Mimi sitaabishwi na vipi utatafsiri maneno yangu.
Naweza nikipenda nikakunyamazia kama baadhi ya watu wanavyonishauri.
Hii ni historia ya wazee wangu na nimeiandika kwa msaada wao wengine wameushi na kukiona kitabu na wengine wametangulia mbele ya haki kabla ya kazi kukamilika.
Ninachoshukuru ni kuwa Mwalimu Nyerere kakidiriki kitabu na kakisoma.
Kutokana na kitabu hiki ndipo alipomkubalia Prof. Haroub Othman atengeneze jopo waandike maisha yake.
Mazungumzo ya Mwalimu Nyerere na Prof. Haroub Othman ninayo nimeyahifadhi kama nilivyoyapokea kutoka kwake.
Nilikuwa mmoja wa watu waliochangia kitabu hicho katika kueleza historia ya Mwalimu Nyerere alivyopokelewa na wazee wangu alipofika Dar es Salaam mwaka wa 1952.
Nalishukuru jopo hili kwa kueleza kuwa Maktaba yangu ni katika maktaba tatu bora zilizohifadhi kumbukumbu nyingi za Babu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Maktaba nyingine ni ya Salim Ahmed Salim na ya Brig.General Hashim Mbita.
Picha hiyo hapo chini TBC 1 wakinihoji kuhusu Nyerere Biography
View attachment 2532175
Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa (mke wa Shariff Abdallah Attas), Bi. Titi MOhamed na kushoto ni Bi. Tatu bint Mzee, Julius Nyerere ni huyo hapo wakimuaga safari ya kwanza UNO 1955.
Lukubuzo...hivyo sasa vitabu ulivyoshika ndivyo vinafundishwa kuanzia primary mpaka chuo kikuu,na ndiyo historia rasmi ya Tanganyika.
huwezi kumdogosha Nyerere hata utumie nguvu gani mpaka unaenda mwanandani.
Kila dalili ya homa ya mgunda inaonekana kwako sheikhSawa. Imani kubwa hapa nchini ni Uislamu. Waislamu ndio waliongoza mapambano yote ya kudai uhuru. Ukoo wa Sykes ulikuwa na nafasi ya kipekee katika mapambano hayo. Kinachosikitisha ni kuwa Nyerere aliwasahau kabisa baada ya uhuru na maisha yao kama ilivyokuwa kwa waislamu wengi yalikuwa duni.
Kabla ya uhuru waislamu walikuwa na shule na hospitali nyingi ambazo Nyerere alizitaifisha ili kuwapa nafasi wakristu wenzake wafikie kiwango cha elimu na ustaarabu wa waislamu. Hakuishia hapo, alihakikisha kuwa maksi zote za vijana wa kiislamu katika mitihani zilikuwa zinabadilishwa na kupewa wakristu. Nyerere huyo huyo alitaifisha mali za waislamu na kuwapa wakristu.
Hali hiyo iliendelezwa na Mkapa ambae aliondoa mazuri yote yaliyofanywa na Mwinyi. Mkapa alifikia hatua ya kuchukua chuo kikuu cha taasisi ya serikali na kukikabidhi kwa wakristu wenzake. Hali ilikuwa nzuri kidogo wakati wa Jakaya lakini John alipoingia aliharibu tena. Sasa hivi kidogo inaenda vizuri baada ya Mheshimiwa Samia kuwa Rais. Hawa wakristu hasa wakatoliki sio watu wa kuwafanyia masihara kabisa.
Amandla...
Dudu...Kila dalili ya homa ya mgunda inaonekana kwako sheikh
Huyu mzee Mohamed Said ana maradhi mabaya sana dhidi ya wakristu. Ni full mujahidina huyuSawa. Imani kubwa hapa nchini ni Uislamu. Waislamu ndio waliongoza mapambano yote ya kudai uhuru. Ukoo wa Sykes ulikuwa na nafasi ya kipekee katika mapambano hayo. Kinachosikitisha ni kuwa Nyerere aliwasahau kabisa baada ya uhuru na maisha yao kama ilivyokuwa kwa waislamu wengi yalikuwa duni.
Kabla ya uhuru waislamu walikuwa na shule na hospitali nyingi ambazo Nyerere alizitaifisha ili kuwapa nafasi wakristu wenzake wafikie kiwango cha elimu na ustaarabu wa waislamu. Hakuishia hapo, alihakikisha kuwa maksi zote za vijana wa kiislamu katika mitihani zilikuwa zinabadilishwa na kupewa wakristu. Nyerere huyo huyo alitaifisha mali za waislamu na kuwapa wakristu.
Hali hiyo iliendelezwa na Mkapa ambae aliondoa mazuri yote yaliyofanywa na Mwinyi. Mkapa alifikia hatua ya kuchukua chuo kikuu cha taasisi ya serikali na kukikabidhi kwa wakristu wenzake. Hali ilikuwa nzuri kidogo wakati wa Jakaya lakini John alipoingia aliharibu tena. Sasa hivi kidogo inaenda vizuri baada ya Mheshimiwa Samia kuwa Rais. Hawa wakristu hasa wakatoliki sio watu wa kuwafanyia masihara kabisa.
Amandla...
Stux...Huyu mzee Mohamed Said ana maradhi mabaya sana dhidi ya wakristu. Ni full mujahidina huyu
Juan...Hv huwa hakuna kitu kingine significant Cha kuitambulisha TZ zaidi ya dini?,kwanini hatushabikii vitu kama sayansi,tekinolojia,
Yaani akili yetu yote imejaa upuuzi wa kidini,utafikiri ni kitu Cha kuweka ugari mezani.
Badala ya kusumbuliwa na vitu vya maana,kama,ukweli kwamba Ukraine ndio Taifa linalouza ngano nyingi duniani,Afrika na ardhi yake yote wanategemea ngano kutoka Ukraine,yaani nchi ipo vitani,lakini Bado tunaitegemea itupe ngano!,sie ambao tupo kwenye amani,hakuna kitu
We mzee kalale sasa, unajua nyie wavaa kobazi ni majuha kupindukia,Mujahid hii kwangu ni sifa nzuri ninayoitamani niwe nayo.
Stux...
Hakika yanaweza kuwa ni maradhi.
Hakuna jamii inayoweza kukubali kufutiwa historia yake khasa inapokuwa walioifuta wamefanya hivyo kwa kutaka kufifilisha dini ya wanajamii hiyo.
Kama sijaumwa na kitendo hicho nini kitaniuma?
Maradhi yaliyoikumba historia yetu yameponyeshwa na dawa hizo.
Ikiwa utapenda kuniita Mujahid hii kwangu ni sifa nzuri ninayoitamani niwe nayo.
Nimeandika vitabu kadhaa kuhakikisha kuwa historia hii haipotezwi tena kamwe.
Na wasomi wa historia ya Afrika wakaniunga mkono.
Historia hii imo katika Cambridge Journal of African History na Dictionary of African Biography (DAB) history ambayo Tanzania ilifutika kabisa.
Maradhi yaliyoathiri historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika yameponyeshwa na dawa hizo hapo juu.
We mzee kalale sasa, unajua nyie wavaa kobazi ni majuha kupindukia,Mujahid hii kwangu ni sifa nzuri ninayoitamani niwe nayo.