TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

KUNA VIJANA WATATU MMOJA NI WEWE MNAONGOZA KWA UONGO MNAIDHALILISHA SANA JF.
Wewe upo kwenye kwenye kundi gani mbona unatetea ufisadi na rushwa ndani ya chadema au na wewe ni mnufaika.
 
Jikite kwenye hoja.
Hoja iko wapi sasa hapo? Uandishi wa kipuuzi huwa unapuuzwa tu! Habari yako wala haina vigezo vya kihabari bali majungu tu. Tuonyeshe hiyo akaunti inayotumika kuhamisha hizo milioni 200 kila zinapoingia fedha za ruzuku. Tuonyeshe transaction inavyofanyika kumlipa huyo kiongozi aliyetoka CCM. Kwa kuwa habari yako ni ya kipuuzi ndio maana hata mlipomuuliza mwenyekiti na katibu hawakuwajibu!
 
Mkubwa swala si uzushi unataka kuniambia kuwa ruzuku wanayopewa haitoshi hata kujenga office yao ndogo au utasema sio malengo yao kuwa na ofice
Unashangaa Chadema kutokuwa na ofisi (jengo lake), lakini hushangai idara za serikali kupanga kwenye nyumba za watu binafsi!
 
Kutokujibiwa haihalalishi ufisadi.
 

Comrade, wewe umeaminishwa kuhusu hilo na ukaamini, hii ni mbaya sana...unaweza ukaaminishwa kuwa RONALDO au MESSI anasajiliwa YANGA na ukaamini...
 
Wewe upo kwenye kwenye kundi gani mbona unatetea ufisadi na rushwa ndani ya chadema au na wewe ni mnufaika.


bado mmoja wawili tayar mnakuja wenyewe.


ktk ripot za CAG hii kitu ipo??
 
Unashangaa Chadema kutokuwa na ofisi (jengo lake), lakini hushangai idara za serikali kupanga kwenye nyumba za watu binafsi!
NA HAKUNA TABIA MBAYA KAMA MWENZAKO HANA NYUMBA NA WEWE HUSIWE NA NYUMBA KAMA TUNASEMA chadema ni mbadala wa ccm ni vizuri wakaonyesha mambo tofauti mkuu
 
NA HAKUNA TABIA MBAYA KAMA MWENZAKO HANA NYUMBA NA WEWE HUSIWE NA NYUMBA KAMA TUNASEMA chadema ni mbadala wa ccm ni vizuri wakaonyesha mambo tofauti mkuu
Kwani hizo ofisi mnazoziita ni za CCM zilijengwa na CCM?
 
Kwani hizo ofisi mnazoziita ni za CCM zilijengwa na CCM?
Mkubwa unaposema chama mbdala wa CCM nii nzuri kujifuza alipokosea mwenzako na ww ufanye vizuri ok Office sio za CCM zilijengwa kwa kodi za wananchi basi na CHADEMA wanapata ruzuku kutokana na kodi za wananchi wajenge
Kwani hizo ofisi mnazoziita ni za CCM zilijengwa na CCM?
Ni kweli kabisa sio za CCM na CHADEMA wananpata ruzuku kutokana na kodi za wananchi basi nao wajenge office hata moja makao makuu maana tulilelewa kuwa kijana napokuwa ni muhimu kuwa na mji wake na hasa wa kujenga mwenyewe hay ndio mlezi ya waenga
 
Ushauri mzuri kabisa.
 
Umetueleza mambo mengi kiasi cha kutushawishi kuwa unajua unachokisema. Lakini mwishowe ukaharibu kwa kutuuliza maswali ambayo ulitakiwa uwe na majibu yake kabla ya kuweka thread hapa jamvini. Inadhihirisha kuwa ulichoandika ni majungu au kwa msemo mwingine ni hadithi tu isiyo na mashiko.
 
ni kweli kabisa chadema kinamlipa lowasa milioni mia mbili kila mwezi mbowe anafuja sana ruzuku ya chama
 
ch
Lumumba timu mko vizuri haswa duh
Poleni kama mnataka kuzima nguvu ya CHADEMA kwa mfumo huo mmefeli sana tumeziba masikio
chadema ugonjwa wa ruzuku ni wa kudumu ushawadesha wengi kama wangwe na kwa zitoo mlikwaa kisiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…