Mkuu hii inahusiana nini na alichoandika mtoa utumbo?mada ni upotevu wa ruzuku ambao hauna hata taarifa inayojitosheleza, baada ya kuongelea ruzuku anaongelea kulipwa kwa wabunge na uchaguzi wa 2018 hivi vyote vinahusiana na ruzuku?Ndio maana nikasema CHADEMA isijifanye inao usafi wa kipekee, na wao ni wale wale tu, wachumia tumbo, wavizia fursa. Mabadiliko waliyoahidi kiasi cha kuwafanya watu wazungushe mikono hewani, hayafanani na kutiliwa shaka kwa maadili yao halisi.
Jikite kwenye hoja.Tabia za kidada sio umbea tu ata unafiki na majungu ya vibarazani nayo ni ishara ya udada.
Unaandika uzi hata kurgue haujui, kila ukiambiwa eti jikite kwenye hoja, umetoa hoja gani ya msingi watu wajikite kwenye?au umeweka kichwa cha habariJikite kwenye hoja.
Huoni kwa sababu umezibwa macho.Ukweli upi uliondika?Kwa mujibu wa mwandishi wa JF?
Mradi wa watu gani mkuu?Mradi wa watu ndio mnahangaika nao hivi?Miradi ya watu mbona inajulikana na hata kuikemia mnaishindwaHuu ni mradi na kitega uchumi cha watu na siyo chama cha siasa
Wa viongozi wachache na utaperi wa kuwadanganya wananchi mtawaletea mabadiliko kumbe watu wanapiga helaMradi wa watu gani mkuu?Mradi wa watu ndio mnahangaika nao hivi?Miradi ya watu mbona inajulikana na hata kuikemia mnaishindwa
Hapo ndipo ulipoharibu mtiririko wa "riwaya" yako. Tumeshazijua rangi zako, hii thread itazamwe kwa umakini....Na Chotipembe Ntuguja.
,kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr.Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo,taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’.
Sio Utaperi mkuu ni utapeli, halafu umejuaje kama ni utapeli?kwa chanzo kipi?Wa viongozi wachache na utaperi wa kuwadanganya wananchi mtawaletea mabadiliko kumbe watu wanapiga hela
Yaani kabla hii habari yake haijakaa alikuja na uzi mwingine ya kuwa Mwenyekiti wa CDM Iringa ajiuzulu na sababu alizozitoa ungecheka mkuu, yaani jamaa ni mweupe balaaaHapo ndipo ulipoharibu mtiririko wa "riwaya" yako. Tumeshazijua rangi zako, hii thread itazamwe kwa umakini....
Chama kina miaka 24 tangu kimeanzishwa bado kimepanga bado unadhani hiki chama kina future??Sio Utaperi mkuu ni utapeli, halafu umejuaje kama ni utapeli?kwa chanzo kipi?
Imekuumiza?Hapo ndipo ulipoharibu mtiririko wa "riwaya" yako. Tumeshazijua rangi zako, hii thread itazamwe kwa umakini....
Hata unachoongea hakieleweki!Ndio maana nikasema CHADEMA isijifanye inao usafi wa kipekee, na wao ni wale wale tu, wachumia tumbo, wavizia fursa. Mabadiliko waliyoahidi kiasi cha kuwafanya watu wazungushe mikono hewani, hayafanani na kutiliwa shaka kwa maadili yao halisi.
Kwani LUGUMi kashfa ya CCM au Serikali yako? Wameliofanya hayo madudu ni maofisa wa serikalini tunaomini hawana chama na wamepanda ngazi kutokana na perfomance au elimu zao.Kwani hawa CCM hawana intelligensia? Mbona hawajawahi hata kuwakamatia CHADEMA kashfa yoyote ya nguvu na ya kutikisa kama Lugumu?
Hivi hiyo barua ya iringa hujui ni maelezo ya Mwenyekiti.Yaani kabla hii habari yake haijakaa alikuja na uzi mwingine ya kuwa Mwenyekiti wa CDM Iringa ajiuzulu na sababu alizozitoa ungecheka mkuu, yaani jamaa ni mweupe balaaa
Uaminifu ambao nyinyi mnadai haupo ndani ya chama tawala na kwenu pia haupo.Mkuu hii inahusiana nini na alichoandika mtoa utumbo?mada ni upotevu wa ruzuku ambao hauna hata taarifa inayojitosheleza, baada ya kuongelea ruzuku anaongelea kulipwa kwa wabunge na uchaguzi wa 2018 hivi vyote vinahusiana na ruzuku?
Kama unaamua kujitoa akili lazima utasema hakieleweki. Uchafu mnaouona ndani ya CCM na kwenu upo pia.Hata unachoongea hakieleweki!
Kwetu wapi?Kama unaamua kujitoa akili lazima utasema hakieleweki. Uchafu mnaouona ndani ya CCM na kwenu upo pia.