Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Kwani DAR hakuna wasukuma ?
 
Mkioa mitatu ? Mwanza, Geita, Simiyi, Shinyanga, Tabora, Katavi na Wilaya ya Bunda karibu yote. Wewe unasema mikoa mitatu ?
Tatizo hata history hamfatilii..wasukuma wako mikoa 3...nieleze kuna kabila gan limetawanyika mikoa mi3? Ofcourse idadi kubwa iko huko..ila kjsema majority ni ccm sidhani
 
Potelea mbali wasukuma wameingia Ikulu kwa hiyo miaka mitano. Je, wachagga, wahaya na wanyakyusa wataigusa Ikulu ?
Sijui kama itakuja itokee mwenzenu apendekezwe kwenye u supreme leader na kupitishwa!

Mmeshastukiwa! [emoji4][emoji4]

Ujinga wakati wa kwenda [emoji108] kurudi werevu! [emoji108]
 
Mkioa mitatu ? Mwanza, Geita, Simiyi, Shinyanga, Tabora, Katavi na Wilaya ya Bunda karibu yote. Wewe unasema mikoa mitatu ?
Katavi sio asili yetu huko tumelowea tu..bas kama ni hivyo weka na Ifakara..maana had mjini unaongeleshwa kisukuma
 
wasukuma siyo zaidi ya milioni 3, wtanzania kwa ujumla wetu ni zaidi ya milioni 60
 
Ndo maana huwezi elewa kuna mikoa mingapi wasukuma wamezaliwa huko...basi nikusaidie tu kiufupi..
Kuna Mwanza,Shinyanga,tabora!yaan hiyo ni general..huwez fananisha waluguru wa mkoa wa Moro na wasukuma...mbingu naardhi..sisi tunajua kuzaliana balaa
aliyependa sana ukabila yupo wapi? endeleeni kusubiria mkoa wa chatu
 
Katavi ndugu yangu toka ukoloni ilikuwa mkoa wa Tabora ni hapo tu ilipelekwa Rukwa mwaka 1974 kuanzisha mkoa mpya wa Rukwa. Ukifika Katavi hutaamini wasukuma ni wengi mno kuliko mikoa mingine waliyohamia. Katavi kwa sasa ni Sukumaland.
Katavi sio asili yetu huko tumelowea tu..bas kama ni hivyo weka na Ifakara..maana had mjini unaongeleshwa kisukuma
 
Katavi ndugu yangu toka ukoloni ilikuwa mkoa wa Tabora ni hapo tu ilipelekwa Rukwa mwaka 1974 kuanzisha mkoa mpya wa Rukwa. Ukifika Katavi hutaamini wasukuma ni wengi mno kuliko mikoa mingine waliyohamia. Katavi kwa sasa ni Sukumaland.
Ohh asante kunielewesha
 
Wakiongelea ukabila,jibu ni rahis...say no to it!
Hamna mtu bora zaidi ya mwingine!
 

Pamoja ndg yangu, lets hope for the best.
 
Kubishana na humanoid specie kama wewe inahitaji nguvu ya ziada ... Anywa ni ta think twice nawe u think triple
 
Kubishana na humanoid specie kama wewe inahitaji nguvu ya ziada ... Anywa ni ta think twice nawe u think triple
Accepting the truth is a remedy to your health but denying it can damage your health particularly mental health.
 
Nyie makabila 118 mliobaki ndo Mana roho mbaya mlianza na wachaga sasaa wasukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…