Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Uchumi wa TZ kwa sasa ni kama tuko kwenye horror movie
 
Nimesoma michango ya wadau ni tafakarishi, kama wangekua wanapitia huku kiasi tungeweza move ata hatua tatu.

Niliwai sikia kwenye ujenzi wa bwawa la umeme meneja tanesco kwanza anatanguliza shukrani kwa mtu mmoja kutoa trillion 1 kulipa mkandarasi kwa Wakati, ikiwa mradi bado unatudai trillion zaidi ya 6, nikajua hapa teyari
 
Mada kama haikuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.
MaCCM hayo yanaota wapinzani wanayadharau mpaka hayalali pamoja na kushinda Uchafuzi kwa wizi wa kura na yanajua Upinzani ndo walishinda.
 
Sasa kama afisa mlipaji mkuu hajalipa wala hajaenda kuangalia unataka hao watendaj wengine wakafanye ni zaidi ya uchonganishi mwishowe watumbuliwe. Kila mtu afanye kazi yake. Wewe hata kama waziri wa miuondo mbinu...kama hujapewa dokezo la SGR....utalitafutia nini awamu hii.
 
Hajali hayo,kazi yake moja aliyopewa ni kuvuruga mijadala ya aina hii kwa kufanya spinning na kazi hiyo anaifanya kwa weledi sana.
Mada kama haikuhusu, kaa kimya, soma halafu pita zako. Sio lazima ukocomment. Unaharibu taswira ya JF ambayo imejengwa kwa muda mrefu na gharama kubwa.
 
Kunywa maji mwanangu
Kwa hiyo unasikia raha au huzuni?
Na huo utafiti ulikuwa unaufanya ili kama imekwama usaidie kipi ili iongeze kasi?
Au ilifanya ili ushangili kwa kukwama?
 
Hakuna Helaaaa

Finances never lie.....Bank account never lies....

Salio la akaunti ya benki lazima likuumbue

No money na TRA makusanyo ni zero hakuna biashara inayotoa kodi
zote ni hoi bin taabani

Tanzania kama URAYAAAAAAAA
Baada ya kujua kwamba kaharibu na utalii na madini hayafanyi vizuri kama ilivyotarajiwa kabadili Hadi toni ya kuongea na mi 5 tena inakwenda kwa Kasi Sana ,,hapa Meko ujanja mfukoni lazima akakope mzigo kwa bwana zao wachina
 
Excuse zimeanza,wakati mnaambiwa fanya kwa tahadhari bila pupa maana ya kesho hamuyajui mlikuwa mnasema nini?
Leo mindege imepaki ni hasara tupu.Pesa alizoingiza kwenye miradi hii isiyo na faida angeingiza kuwezesha miundombinu ya barabara,afya ,elimu na biashara tungekuwa tunazungumza Tzn yenye nafuu kubwa Sana licha ya changamoto za Corona
Imagine trioni 1 tu unazungumzia zaidi ya km 1000 za lami kitu ambacho kingeleta tija Sana .Kuhusu umeme pesa iliyotumika stiglaz ingetosha kukamilisha bwawa la umeme wa maji alilokuwa anamuomba Rais wa Uchina nk nk
Bila kulamba miguu ya Mchina hakuna mradi atatoboa hasa sgr na stiglaz
 
Agreed but the sufferings from his mediocre performance is for the whole population of 60 millions Tanzanians and for so many years to come.
Sawa sie tunaingizwa kwenye tabu kwa kiburi na jeuri ya mtu,,kwanza hata haya mamiradi ya kutumia msbilioni ya pesa kujenga mastendi ya show off ni upuuzi yaani saizi Halmashauri zinashindana kujenga stend kali,mantiki yake huwa siioni maana hizo pesa zingeweza kufanya mambo ya nsingi na yenye tija kuliko huo upuuzi wa stend.
TARURA Kila siku kuanzia bungeni Hadi mikoani ,watu wa maji nk wanaomba pesa za kutatua shida za watu lakini hakuna kinachofanyika
 
Fedha ndiyo tatizo.
Ukisomesha watu namba,ukiwakimbiza matajiri,ukiuwa sekta binafsi,ukizuia mzunguko wa pesa mtaani hizo pesa utapata wapi sasa.
Uongozi ni pesa na fani pekee ziwezazo toa viongozi visionary ni Sheria, uchumi, biashara hizi Ili ufaulu zinahitaji reasoning capacity na sio claiming capacity.
 
Bila kutegemea kukopa au au kukamua watu kodi still vyanzo vingi tunavyo. Mfano raslimali zetu hazitumiki kabisa Ili kumaliza shida ya ajira na kuongeza mapato. Wakoloni walitegemea zaidi uzalishaji wa ndani kuliko Kodi na mambo yalienda Kodi ilitumika tu Kama tools ya kuwabana watu wafanye Kazi.
Ardhi yetu haitumiki kabisa, mito maziwa hayatumiki kabisa kuchochea uchumi
 
Na kama maccm Wana akili,kwenye mazingira kama haya ambapo uchumi umeyumba pesa chache watakazopata ni afadhari wazielekeze kwenye masuala muhimu tu ya jamii ambayo yatafanya smooth running ya maisha ya kawaida badala kupelekwa kwenye hayo ma project yanayo drain uchumi,hii itasaidia kupunguza ukali wa maisha ,,bora hayo ya stop kabisa au watafute mkopo wa kulipa mda mrefu ndio wafanye sio kwa pesa ya madafu tena
Maccm uchwara wa sasa bila shaka wamejifunza uzuri wa Jk na idea yake ya ppp
 
Nyege tena???hahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…