Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hayo matatizo mawili ya njaa na unafiki nayajua, unaweza kinifafanulia hilo tatizo la mwisho la "nyege"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
kabla hujafikiria upigaji kwenye miradi (utafikiria baadae) waza haya maswali kwanza;

1. kwa nini waliamua (aliamua hii ni sahihi zaidi) kufanya miradi mikubwa kwa mara moja??
2. Hela alizotegemea wakati wa kutekeleza hii miradi zilikua za kutosha kumaliza miradi yote??
3. Vipaumbele vyetu ni vipi kwenye hio miradi?? nikiwa na maana kua miradi ipi ilitakiwa ianze kulingana na umuhimu wake na kulinga na fedha zilizokuepo??
4. Tunafanya kwa ajili ya sifa kuvimbishana vichwa au kulingana na uwezo na vipaumbele vyetu kama nchi?
 
Kama barabara za kuingilia bado, haayo majaribio yaliyofanyika walitumia barabara za angani😂😂
 
Jiwe na Uchumi wapi na wapi na alivyomjuaji sasa kaumbuka,Mchina tu ndio kabakia kuokoa Jahazi,Xi Ping hakupiga simu kujifurajisha alishapata intelijensia kwa hiyo huo ni upenyo wa lobbying ambao utamfaidisha mara dufu..mda utaongea
 
Actually hata kiwango cha ujenzi wa mtu mmoja mmoja kwenye jamii kimeshuka sana!

Kuthibitisha hilo kafanye simple survey kwa wauza vifaa vya ujenzi utapata takwimu watakwambia jinsi mauzo yao yakivyoshuka ukilinganisha na kipindi cha nyuma!
Wako hoi watu wa maduka ya ujenzi.Sehemu niliko vijana walikuwa wanategemea kufyatua matofari wauze Hadi naandika sms hii bei ya tofari za kuchoma imeshuka na mitanuri ipo hakuna wateja ,,watu wanaojenga ni wa kutafutiza
 
Yaani ukate tawi la mti ukiwa upande wa majani na ukianguka vibaya usingizie "sababu zilizo nje ya "uelewa?"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nadhani usingoje wala usitegemee habari za kusikia! Kwani wewe huoni kinachofanyika? Kama kuna mahala kuna kasoro basi waeleze wahusika warekebishe vinginevyo toa suluhisho kama unaona au unadhani kuna kauzembe mahali fulani.
 
Mipango si matumizi tambua unapanga then vinatokea vipaumbele vingine, bora yeye kathubutu hata kujaribu nyie je mna mradi gani hata mnaofikiria?
Wana miradi ya kufikishana kwa PILATO kwa usaidizi wa BOB AMSTERDAM!
 
Maneno kama ya Tobo! Yasiyo na maana ila kutaka kuonyesha kuwa hii serikali haina chochote, hasa hasa baada ya wezi wa mali za umma na mafisadi kubanwa mbavu; kilichobaki ni matusi na maneno ya nyodo tu humu JF!
 
Tilioni moja ya kwenye ndege ingefuta kabisa tatizo la ajira nchini tungepata kiongozi mchumi zingetosha toa ajira milioni 12 tena endelevu kwa vijana
Unaonekana wewe ni Mchumi Msomi, hebu TUDADAVULIE HILI tuone namna ya kupata hizo ajira 12 milioni kutokana na hiyo 1 TRILILION. Kwani likiwa wazo jema na linalotekelezeka yaani VIABLE, basi linaweza kuigwa na kulifaidia Taifa letu. Nasubiri!
 
Hakuna haja ya kutaja majina humu JF kwani kila mwenye akili timamu anajua orodha ya wezi na mafisadi iliyoko huko kwa Pilato Kisutu na Mahakama nyinginenchini ikiwa ni pamoja na ile ya Wahujumu Uchumi. Orodha ipo na kama yumo mwana CCM basi naye atakwenda na maji! Awamu hii siyo ya kubebana!

Maelezo na maneno mengine ni HEARSAY tu ambazo hazina msingi na ushahidi wowote, kiasi ambacho naweza kusema ni rhetorics za kawaida kama alizokuwa akisema Tobbo!
 

Mafisadi wangekuwa ni wapinzani ile mahakama Ingekuwa Veri Veri active
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…