Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Alipokuja polisi kuanza kumshabulia , akatafuta sehemu ya kujificha nayo ilikuwa karibu ndio hicho kibanda cha walinzi cha ubalozi wa Ufaransa
 
Post ya kipumbavu Sana hii

USSR
 
Upo sawa inatakiwa tudiscuss na tozo kwanza.
 
There is something went wrong ! Hamza is not a criminal but is a victim.


Hicho kichwa cha habari sio kiingereza.. Grammar fake, unaaibisha wahaya. Uwe unaandika kiswahili tu.
 
Which injustices?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
As the story evolves its looks like the gunman actions were provoked by some police officers; before deciding to resolve the matters through his ways.

Jamaa alichofanya sio sahihi, but people tolerance level differ kuna wasaa binadamu wajinga wajinga wanaweza kukusukuma ukajikuta unafanya mambo ya ajabu.

Hao wapelelezi wa polisi lazima wachunguze na huko ndani kwao kwa uwazi ni nini hasa wahusika walichomtendea huyo kijana maana hilo ndio tatizo.

Inaonekana culture ya afande Zomba bado ipo ndani ya jeshi la polisi, ni aibu kwa taasisi inayotakiwa kuaminika na umma baadhi ya askari wake kujihusisha na maswala ya rushwa na uporaji.

Angelikuwa gaidi daladala lilikuwa mbele yake, madhara yake yasingekuwa madogo; kuna mahala polisi wamemtenda.
 
Kama ni kweli kadhulumiwa,kafa kishujaa akipigania Haki,haki!loo inauma sana.
Swali ni vipi polisi wanaweza kumdhulumu kada mkubwa wa ccm mjumbe wa kamati ya chama [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] maana kama mnavyo jua wale vyeti feki wote waliokuwa makada wa chama wamerudishwa kazini licha ya kufoji vyeti
 
Hicho kisasi unamlipiza nani hata asiyehusika au mhusika mwenyewe

kwa mfano mtoto wa imamu kakudhulumu unaenda kuua imamu baba yake ? au mama yake?
Kisasi hakina kiasi wala muda...usiombe uwe Kwenye familia au koo za visasi...
 
Kama alipata kibali cha kusafirishia kuja kuuza Dar, polisi na kudhulumiana kunaingiaje....kama dhahabu yako iko kisheria na una makaratasi yote mnaanzaje kudhulumiana ( niko kwenye hii biashara najua kuna kitu hakiko sawa hapo)...
Kwani awajui kibali ni ganda la ccm huyo ni ccm tena inadaiwa ni mjumbe wa kamati ya kuu ya ccm sasa hapo polisi wanawezaje kumdhurumu ?
Maana walio fukuzwa serikalini kwa kufoji vyeti feki wote wamerudishwa kazini kama ulikuwa kada wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…