Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Kwa hiyo ubalozi wa ufaransa alikoenda kushamblia walinzi wa huo ubalozi ndio wafaransa waliomdhulumu? kwa nini ali tarhet pale pale opposite na uliposhambuliwa ubalozi wa marekani?

ubalozi wa ufaransa walimkosea nini hadi aue walinzi wa ubalozi wao kwenye ofisi yao?

Eneo la ubalozi ni nchi nyingine alichofanya ni kushambulia nchi ya ufaransa
Alipokuja polisi kuanza kumshabulia , akatafuta sehemu ya kujificha nayo ilikuwa karibu ndio hicho kibanda cha walinzi cha ubalozi wa Ufaransa
 
Upo sawa inatakiwa tudiscuss na tozo kwanza.
 
There is something went wrong ! Hamza is not a criminal but is a victim.


Hicho kichwa cha habari sio kiingereza.. Grammar fake, unaaibisha wahaya. Uwe unaandika kiswahili tu.
 
Since 2015 , October there is series of injustices case.

So yesterday Mr Hamza , he stand on behalf of the Tortured peoples.

Finally, I would like to send my Condolences to all families police and Hamza Family.

Nothing last.
Justices is peace.[emoji120][emoji120][emoji120].
Which injustices?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
As the story evolves its looks like the gunman actions were provoked by some police officers; before deciding to resolve the matters through his ways.

Jamaa alichofanya sio sahihi, but people tolerance level differ kuna wasaa binadamu wajinga wajinga wanaweza kukusukuma ukajikuta unafanya mambo ya ajabu.

Hao wapelelezi wa polisi lazima wachunguze na huko ndani kwao kwa uwazi ni nini hasa wahusika walichomtendea huyo kijana maana hilo ndio tatizo.

Inaonekana culture ya afande Zomba bado ipo ndani ya jeshi la polisi, ni aibu kwa taasisi inayotakiwa kuaminika na umma baadhi ya askari wake kujihusisha na maswala ya rushwa na uporaji.

Angelikuwa gaidi daladala lilikuwa mbele yake, madhara yake yasingekuwa madogo; kuna mahala polisi wamemtenda.
 
Wewe ni Gaidi nawaomba Polisi wakutafute wakupige ya kichwa na ya matako umfuate Gaidi mwenzako Jehanamu.

IMG_20210721_112817_344.jpg
 
Kama ni kweli kadhulumiwa,kafa kishujaa akipigania Haki,haki!loo inauma sana.
Swali ni vipi polisi wanaweza kumdhulumu kada mkubwa wa ccm mjumbe wa kamati ya chama [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] maana kama mnavyo jua wale vyeti feki wote waliokuwa makada wa chama wamerudishwa kazini licha ya kufoji vyeti
 
Hicho kisasi unamlipiza nani hata asiyehusika au mhusika mwenyewe

kwa mfano mtoto wa imamu kakudhulumu unaenda kuua imamu baba yake ? au mama yake?
Kisasi hakina kiasi wala muda...usiombe uwe Kwenye familia au koo za visasi...
 
Kama alipata kibali cha kusafirishia kuja kuuza Dar, polisi na kudhulumiana kunaingiaje....kama dhahabu yako iko kisheria na una makaratasi yote mnaanzaje kudhulumiana ( niko kwenye hii biashara najua kuna kitu hakiko sawa hapo)...
Kwani awajui kibali ni ganda la ccm huyo ni ccm tena inadaiwa ni mjumbe wa kamati ya kuu ya ccm sasa hapo polisi wanawezaje kumdhurumu ?
Maana walio fukuzwa serikalini kwa kufoji vyeti feki wote wamerudishwa kazini kama ulikuwa kada wa ccm
 
Back
Top Bottom