johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe haufungamani na upande wowote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipokuja polisi kuanza kumshabulia , akatafuta sehemu ya kujificha nayo ilikuwa karibu ndio hicho kibanda cha walinzi cha ubalozi wa UfaransaKwa hiyo ubalozi wa ufaransa alikoenda kushamblia walinzi wa huo ubalozi ndio wafaransa waliomdhulumu? kwa nini ali tarhet pale pale opposite na uliposhambuliwa ubalozi wa marekani?
ubalozi wa ufaransa walimkosea nini hadi aue walinzi wa ubalozi wao kwenye ofisi yao?
Eneo la ubalozi ni nchi nyingine alichofanya ni kushambulia nchi ya ufaransa
Jikite kwenye hoja ..aliyekufa ni binadamu kama wewe.Unapost kutoka walipo maharamia wakisomali bilashaka
Which injustices?Since 2015 , October there is series of injustices case.
So yesterday Mr Hamza , he stand on behalf of the Tortured peoples.
Finally, I would like to send my Condolences to all families police and Hamza Family.
Nothing last.
Justices is peace.[emoji120][emoji120][emoji120].
A lot
There is something went wrong ! Hamza is not a criminal but is a victim.
Hicho kichwa cha habari sio kiingereza.. Grammar fake, unaaibisha wahaya. Uwe unaandika kiswahiliR
Message sent!Post ya kipumbavu Sana hii
USSR
Wewe ni Gaidi nawaomba Polisi wakutafute wakupige ya kichwa na ya matako umfuate Gaidi mwenzako Jehanamu.
Swali ni vipi polisi wanaweza kumdhulumu kada mkubwa wa ccm mjumbe wa kamati ya chama [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] maana kama mnavyo jua wale vyeti feki wote waliokuwa makada wa chama wamerudishwa kazini licha ya kufoji vyetiKama ni kweli kadhulumiwa,kafa kishujaa akipigania Haki,haki!loo inauma sana.
Kisasi hakina kiasi wala muda...usiombe uwe Kwenye familia au koo za visasi...Hicho kisasi unamlipiza nani hata asiyehusika au mhusika mwenyewe
kwa mfano mtoto wa imamu kakudhulumu unaenda kuua imamu baba yake ? au mama yake?
Kwani awajui kibali ni ganda la ccm huyo ni ccm tena inadaiwa ni mjumbe wa kamati ya kuu ya ccm sasa hapo polisi wanawezaje kumdhurumu ?Kama alipata kibali cha kusafirishia kuja kuuza Dar, polisi na kudhulumiana kunaingiaje....kama dhahabu yako iko kisheria na una makaratasi yote mnaanzaje kudhulumiana ( niko kwenye hii biashara najua kuna kitu hakiko sawa hapo)...