Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Acha tu ndugu, me mwwnyewe nmeamua kuacha tu. Ila hawa askari wetu me hua nawaona kama majambazi tu ambao wapo authorized ndo maana Mimi asa ivi hata nivamiwe na majambazi siendi police kulipoti ni kupoteza muda tu
Bora iwe muda tu, unaweza poteza pesa na zengwe likakuanguakia kua wewe ndo umeiba mtihani hasa
 
Hapo ndio upeo wako umefikia mwisho hauwezi elewa zaidi ya hapo
 
Njaa za Polisi was kibongo mishahara midogo alafu na wao wanatamani kua na pisi kali kama sisi au kutembelea matako ndio zinasababaisha wawabambikie au kuwadhulumu watu haki zao
 
Kwan amekufa
 
Bastola moja unaua askari wawili halafu unakuwa na ujasiri wa kwenda kuchukua bunduki zao.
Huyu mtu atakuwa na utaalamu mkubwa kwa kutumia silaha na mafunzo ya kiaskari - alijua hata wapi ajibanze kukwepa mashambulizi! (Hijaalishi sababu za kufanya hivyo)
 
Kwani mtu kuwa na mafunzo na utaalam mkubwa wa kutumia slaha ni kosa au ni maajabu?
 
Ndugu zangu Mataga mmetukana Sana Humu Lkn ukweli Mchungu Hayati ameacha mfumo was uonevu alioumwagilia maji Usiku na mchana ,,Sasa mfumo was haki umeota Mbawa.
Tuendelee kusali tu.
 
Hicho kisasi unamlipiza nani hata asiyehusika au mhusika mwenyewe

kwa mfano mtoto wa imamu kakudhulumu unaenda kuua imamu baba yake ? au mama yake?
 
Tukio hili linafanana na tukio la kamanda Zombe kama mtakumbuka.
 
Nimeangalia, nimefuatilia sana tukio. Nimesoma mawazo ya watu nikagundua watu wengi wanaumia na wanalaumu Hamza kuuawa. Hamza had a CONCERN alitakiwa akamatwe akiwa hai. DHULUMA, UONEVU ni mkubwa sana unaofanywa na wanausalama Tanzania. Wana waonea na kuwadhulumu watu sana.

Nimeumia Hamza kupigwa risasi na kufa. Pole kwa familia za askari lakini vipi kuhusu familia ya Hamza?

Note

Hamza amedhulumiwa mali na nafsi yake.Mungu amsaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…