Wewe unajuaje kwamba theolojia yao ndio sahihi na yangu sio sahihi?Ndugu yangu sidhani kama umepata waalimu sahihi wakufundishe neno la Mungu. Tafuta mafundisho ya Dr Myles Munroe na Kenneth Hagin angalau kwa kuanzia upate theology iliyo sahihi.
I'm actually having a stable career. The truth is, I'm like father Abraham, having the luxuries of this life, I'm still waiting for the city that has foundations whose builder and maker is God.Hongera bwana engineer. Umesahau "people who are generally anxious about the future." Wewe ndio unaangukia hapo
Vipo vingi sana, AI, 3D printing na internet kwa ujumla inaenda kufanikisha aina nyingi sana za unabii ambao ulionekana hautaweza kutimia kipindi unatolewa.
Mfano wale manabii wawili watakaokuja halafu wauawe na biblia inasema miili yao itaachwa hapo huku dunia nzima ikiiangalia. Huu unaweza kutimia kwa TV na internet.
Mfumo wa kununua na kuuza utakaosababisha yeyote asiyekuwa na chapa/chip ya mpinga kristo kushindwa kupata mahitaji leo hii tunakaribia sana level hiyo kwa payment cards na online transactions..
Nk
Hakuna uchaguzi kabla ya kuzaliwa. Fursa ya kuchagua ipo kwasababu unao uhai huu na free will.Hata kuzaliwa ulichagua..?π
Suala sio maamuzi waliyofanya pale, suala ni nini kiliwafikisha pale in the first place? Why walikua pale? Why walisulubiwa watu watatu at the same time? Why Yesu hakusulubiwa mwenyewe?Why jambazi 1 alianzisha mazungumzo? Why jambazi 2 alijibu? Je angekaa kimya ingekuaje?Hapana, kila mmoja pale alifanya maamuzi yake kwa jinsi alivyoona majibu ya Yesu Kristo kwa wale walinzi na waliomsulubu. Kila mtu alipima moyoni mwake.
Fanya kuwasikiliza na kuwasoma kwanza ufananishe na kuamua uchague ipi.Wewe unajuaje kwamba theolojia yao ndio sahihi na yangu sio sahihi?
Haya mambo yameelezwa vizuri katika muktadha wa sinema kwenye series' moja inaitwa REVOLUTION, unaweza kuitafuta nadhani utapata jambo la kusimulia.Hahahahah movie zinakuchanganya
Anyway kwa kuwa tuko jukwaa takatifu tuendelee kuheshima hoja
Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
Chochote utakachokichagua, Mungu tayari alishajua utakichagua hicho. Na tayari anajua mpaka mwisho wa maisha yako utaenda wapi. Acha kujichoshaHakuna uchaguzi kabla ya kuzaliwa. Fursa ya kuchagua ipo kwasababu unao uhai huu na free will.
Kipindi kile kusulubiwa ilikuwa ni tukio la kawaida sana, nothing special. Watu wengi walikuwa wanasulubiwa pamoja. Kuwepo pale ilitokea tu.Suala sio maamuzi waliyofanya pale, suala ni nini kiliwafikisha pale in the first place? Why walikua pale? Why walisulubiwa watu watatu at the same time? Why Yesu hakusulubiwa mwenyewe?Why jambazi 1 alianzisha mazungumzo? Why jambazi 2 alijibu? Je angekaa kimya ingekuaje?
DaahYesu alifufuka siku ya 3 tena masaa yalikua hayajatimia
Miaka buku ni sawa na siku 1 mbinguni
Kabla ya mwaka 3000 haujafika unyakuo utakua tayari
Mungu atupe mwisho mwema!
2 Peter 3:8
Having a stable carreer notwithstanding, you are anxious about the future, or old.I'm actually having a stable career. The truth is, I'm like father Abraham, having the luxuries of this life, I'm still waiting for the city that has foundations whose builder and maker is God.
Anajua lakini hakuchagulii, unachagua mwenyewe.Chochote utakachokichagua, Mungu tayari alishajua utakichagua hicho. Na tayari anajua mpaka mwisho wa maisha yako utaenda wapi. Acha kujichosha
Hilo liko wazi."Hii chapa bila shaka ni Sigda maana mwisho hauji bila wanyesigda kui-kanka Dunia.π
kahtaan
I'm still young, not even 40.Having a stable carreer notwithstanding, you are anxious about the future, or old.
Uislamu lazima ukue. Hawa ndio watajikusanya kutaka kupigana na Israel kwenye Armageddon halafu Yesu Kristo atashuka na kuwaangamiza.Hilo liko wazi.
Uislam umeanza kusambaa kwa kasi sana huko huko ulikoanzia ugalatia.
Leo USA wanasilimu zaidi ya wakristo milion kila mwaka.
CNN inasema elf 30.
π€£
Sisi hatuna haraka.
Tunasubiri tu kuona Picha kamili
You are old, brotherπI'm still young, not even 40.
Wacha wee... ππ hii muvi itakua kali balaa..Uislamu lazima ukue. Hawa ndio watajikusanya kutaka kupigana na Israel kwenye Armageddon halafu Yesu Kristo atashuka na kuwaangamiza.
Hata kwenye vita ya Gog na Magog waislamu ndio watakuwa mstari wa mbele lakini Yesu Kristo atawachukua na kuwatupa katika ziwa la moto.