Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #101
Unyakuo utatokea miaka saba kabla ya tukio la kila jicho kumuona. Taifa la Israel litapewa fursa ya mwisho (wiki ya 50 katika unabii wa Daniel maana tayari walikamilisha majuma 49, juma/wiki moja ni miaka saba kinabii).Unyakuo wa kwenda wapi? Si inapaswa kuwa kila jicho litamuona?
Soma Bible vizuri uelewe .Uislamu lazima ukue. Hawa ndio watajikusanya kutaka kupigana na Israel kwenye Armageddon halafu Yesu Kristo atashuka na kuwaangamiza.
Hata kwenye vita ya Gog na Magog waislamu ndio watakuwa mstari wa mbele lakini Yesu Kristo atawachukua na kuwatupa katika ziwa la moto.
Mkuu wewe leta masikhara hapa ila huko endelea kujiweka tayari, unyakuo unakuja.Wacha wee... ๐๐ hii muvi itakua kali balaa..
Kwamba maadui wakishajikusanya Yesu atashuka kama Chuck Norris na kuangamiza maadui ๐๐๐๐๐
Tunajua. Taifa la Israel litapewa fursa ya mwisho (wiki ya 50 katika unabii wa Daniel maana tayari walikamilisha majuma 49, juma/wiki moja ni miaka saba kinabii).Soma Bible vizuri uelewe .
Kila nabii na mtume kabla na baada ya YESU alipongwa na wengine KUUAWA NA WAISRAELI.
Biblia inadai hata Yesu alisulubiwa na Waisraeli.
Na mpk leo Waisraeli hawamtambui Yesu kuwa nj Nabii au Mtume.
Na kwenye vita hii wamepiga makanisa makongwe kabisa pale Bethlehem . Sehemu ambayo Wakristo duniani huenda kufanya Ziara sehemu ambayo wanadai Yesu alizaliwa.
Cha kushangaza baadhi ya Wakristo bado wanadhani Waisraeli ndugu zao.
Daah.. mi sijui huwa mnawezaje kuamini hizo stori ilhali nyie ni mainjinia๐Mkuu wewe leta masikhara hapa ila huko endelea kujiweka tayari, unyakuo unakuja.
Mkuu dunia hii sio makazi yadumuyo, hapa tunapita. Mali na furaha za dunia zisitusahaulishe hilo.Daah.. mi sijui huwa mnawezaje kuamini hizo stori ilhali nyie ni mainjinia๐
Teh teh tehTunajua. Taifa la Israel litapewa fursa ya mwisho (wiki ya 50 katika unabii wa Daniel maana tayari walikamilisha majuma 49, juma/wiki moja ni miaka saba kinabii).
Israel watamkubali Yesu Kristo baada ya kupotoka kwa kumwamini mpinga kristo kama ndio masihi wa kweli.
Good kabisa. Lakini ipe credit biblia japo kwako ni kitabu cha Shetan maana huu mchoro umekuwepo kwenye Bible hata kabla ya Muhammad hajazaliwa.Hilo liko wazi.
Uislam umeanza kusambaa kwa kasi sana huko huko ulikoanzia ugalatia.
Leo USA wanasilimu zaidi ya wakristo milion kila mwaka.
CNN inasema elf 30.
๐คฃ
Sisi hatuna haraka.
Tunasubiri tu kuona Picha kamili
Tunaomba hivo vitabu mkuu,tujifunze
Mimi sijaita biblia kitabu cha shetani . Na nimesoma Bible school miaka 4.Good kabisa. Lakini ipe credit biblia japo kwako ni kitabu cha Shetan maana huu mchoro umekuwepo kwenye Bible hata kabla ya Muhammad hajazaliwa.
๐
Kwa hilo upo sahihi kabisa.Mkuu dunia hii sio makazi yadumuyo, hapa tunapita. Mali na furaha za dunia zisitusahaulishe hilo.
Nenda pdf.drive halafu andika left behind au Tim Lahaye kwenye sehemu ya kutafuta na utavipata mkuu ๐๐ฟTunaomba hivo vitabu mkuu,tujifunze
Namuona mzee mzima Nicolas Cage ametulia hapo najua shughuli ni pevu๐
We unashangaa hili?Daah.. mi sijui huwa mnawezaje kuamini hizo stori ilhali nyie ni mainjinia๐
Nimesema Kwako, sijasema umeitaja.Mimi sijaita biblia kitabu cha shetani . Na nimesoma Bible school miaka 4.
Ndani ya biblia kuna maneno ya Mungu na maneno ya watu.
Na hilo Bible scholars wote wanalifahamu.
Wewe kwa sababu ni wale wasoma biblia weekend mpk weekend utaona hii ni km kashfa kwako.
Hakuna sehemu yyt katika biblia imetabiri kuwa UISLAMU utatawala dunia.Nimesema Kwako, sijasema umeitaja.
Rudia kunisoma vizuri.
Then umeacha swali langu la msingi ukanyofoa kipande kinachokidhia matamanio yako.
Ni kwa uwezo upi waandishi wa biblia waliliona ili hata kabla mtume hajazaliwa?.
Wape akina Poa maua yao kwa uwezo wa kutabiri japo likatokea kwa ukamilifu wake. ๐๐
SHahahahah movie zinakuchanganya
Anyway kwa kuwa tuko jukwaa takatifu tuendelee kuheshima hoja
Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
Mathayo 3;12Ukweli ni upi