Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
weee jamaa acha utani mazee!! ahahaaa!!
Nipo serious, kwani wewe hutaki kupotea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weee jamaa acha utani mazee!! ahahaaa!!
Kwa hiyo aliyeokolewa Kwa neema kupitia Kristo ,Je atatoboa hukumu ya mwisho kweli?Kuna kitu kinaitwa nyakati za mwisho na wakati wa mwisho...
1.Nyakati za mwisho tulizianza baada ya messiah kufa na kufufuka takribani miaka 2000 sasa haya ndio matukio yanayozungumziwa mathayo 24, ila yanaongelewa kama ni kuanza kwa uchungu ( beginning of birth pains)
2. Wakati wa mwisho: hii ni miaka 7 ya mwisho namba 7 ni namba ya ukamilifu wa Mungu, huu wakati ndio upo future ambapo kutakuwa na mpinga kristo ambapo atafanya maagano na waliowengi kwa muda wa miaka 3.5 baada ya miaka hiyo ndio dhiki kuu itaanza baada ya lile chukizo la uharibifu alililizungumza Daniel yaani sanamu kuwekwa katika hekalu la Mungu na watu wote kufosiwa kuabudu hilo sanamu.
So matukio muhimu yataashiria tumeingia kwenye wakati wa mwisho.
1. Kupatikana kwa amani Mashariki: hapa ndipo tunafatilia aidha kiongozi kinara ambaye atapelekea kupatikana kwa amani ya kudumu mashariki ya kati huyu ndio pengine akawa mpinga kristo
2. Baada ya kupatikana kwa amani mashariki ya kati kutakuwa na hamasa ya kujenga hekalu yerusalemu hili hekalu ndipo baadaye kutawekwa sanamu ambalo kila mtu atafosiwa kusujudu.
3. Jitihada za kuunganisha ulimwengu mzima kuwa dola moja na kuwa serikali moja, pengine kuwa na siku moja ya kuabudu.
4. Kuibuka kwa mashahidi wawili aidha ni watu wawili (Musa na Enoka) au Imani mbili ( wakristo na wayahudi) ambao wataionya dunia/ watahubiri kwa nguvu sana kwa muda wa miaka 3.5 ya kwanza watapewa uwezo wa kufanya maajabu makubwa na mpinga kristo hatoweza kuwadhutu kwa kipindi hicho.
5.Mpinga Kristo kuwashinda na kuwaua mashahidi wawili na kuacha miili yao ikitapakaa yerusalem, ulimwengu mzima utafurahi sana..
6. Mpinga Kristo kujitangaza kuwa yeye ni mungu na kuhitaji kuabudiwa. Na kuanzisha chapa ya mnyama.
7. Dhiki kuu ambapo watu wasiowekwa alama ya mnyama watashindwa kuuza au kununua chochote, watauwawa,watasalitiwa na ndugu zao.. kutakuwa na mauaji ambayo hayajawahi tokea tangu ulimwengu uumbwe.
8. Unyakuo
9. Gadhabu kuu- hii ni hasira ya mungu ambayo ni kisasi cha roho za watakatifu wote waliouwawa nyakati tofauti. Ambapo watu waliopokea alama ya mnyama watapigwa mapigo makuu.
10.. Ujio wa yesu mara ya pili, atamshinda mpinga kristo katika vita kuu ya Amagedoni. Mpinga kristo atatupwa Jehanam na shtani kufungwa kwa muda wa miaka 1000.
11. Utawala wa millenia na hukumu kwa watakatifu. Hapa ni wale watakatifu walionyakuliwa watatolewa hukumu na kupewa mataji hawa wataishi na kristo Yerusalemu kwa miaka 1000.
12. Baada ya miaka 1000 shetani atafunguliwa na atawalaghai wanadamu kwenda kuvamia kambi ya watakatifu. Hapa nipo moto utatoka mbinguni na kuwatafuna wote..
13. Hukumu ya mwisho, hii ndio watu wote wa miaka yote watafufuliwa na vitabu vitafunuliwa hawa watahukumiwa kulingana na matendo yako na kama jina lako halipo kwenye kitabu cha uzima basi utatupwa jehanam..
Hii ni tofauti na ile hukumu ya kwanza ya watakaifu ambapo wote waliokolewa kwa neema sababu waliamini katika kristo..
No this is important.Chochote unachokiamini ambacho hakioani na Maandiko kinampa Shetani a foothold in your life,so we must be careful.Halafu mimi nimetoa somo zima ambalo nimeandaa kuonyesha kwamba hakuna unyakuo,I strongly advice you to read it.Nimeweka maandiko relevant kuonyesha kwamba unyakuo ni heresy.Hakuna sababu ya kubishana mkuu. Cha muhimu, hakikisha upo tayari muda wowote.
Mimi nimesoma biblia na ninaona bila mashaka kwamba unyakuo upo. Unakuja soon na nipo tayari.
Soma mathayo 24 yote, 1 wakorintho 15:51-52, 1 wathesalonike 4:16-17. Hizo tu zinatosha kwa mtu yeyote aliye mnyenyekevu mbele za Mungu kuuona uhalisia.No this is important.Chochote unachokiamini ambacho hakioani na Maandiko kinampa Shetani a foothold in your life,so we must be careful.Halafu mimi nimetoa SoMo zima ambalo nimeandaa kuonyesha kwamba hakuna unyakuo,I strongly advice you to read it.
Finally,nimekuomba na wewe unipe maandiko,ili mimi kama nimekosea nifunze.Nikukumbushe kwamba hatubishani,nia ni kujifunza Neno la Mungu.
Kumbe tukinyakuliwa kuna watakaoendelea kuishi duniani[emoji16]Hapana, ni tukio la unyakuo.
Cha Arusha. a.k.a Kipute au WidiKijiti gani unakitumia hapo?
Ningekushauri usome somo langu,litakusaidia sana,lime elezea kwa kina concept yote,and how it even started.Maandiko uliyo present nimeyaeleze kwenye somo langu,read it.Remember concept ya rapture ni a fairly recent one in the 18 hundreds,imeanzia Uingereza kwenye Kanisa moja la Anglikana ikasambaa US na kwa bahati sana sana ikawa adopted na makanisa ya Kipentecosti.Soma mathayo 24 yote, 1 wakorintho 15:51-52, 1 wathesalonike 4:16-17. Hizo tu zinatosha kwa mtu yeyote aliye mnyenyekevu mbele za Mungu kuuona uhalisia.
Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo ikae pamoja nawe katika nyakati hizi za hatari.
Ufunuo 11:3-11Mkuu naomba andiko la hao manabii wawili watakaouawa, sijawahi sikua au kusoma kwenye bible hii issue ya manabii wawili
Hapana, miaka mitatu na nusu ya kwanza itakuwa na amani pale Israel. Mpinga kristo atakapoingia hekaluni na kusema yeye ndio Mungu wana wa Israel ndio watagundua walimwamini masihi wa mchongo na wakimkataa ndio vita itaanza.Bas Mchungaji alitufundisha kua miaka mitatu na nusu ya kwanza ndio ya mateso na dhiki kuu
Ndio wataendelea kwa miaka 7.Kumbe tukinyakuliwa kuna watakaoendelea kuishi duniani[emoji16]
Ningekushauri usome somo langu,litakusaidia sana,lime elezea kwa kina concept yote,and how it even started.Maandiko uliyo present nimeyaeleze kwenye somo langu,read it.Remember concept ya rapture ni a fairly recent one in the 18 hundreds,imeanzia Uingereza kwenye Kanisa moja la Anglikana ikasambaa US na kwa bahati sana sana ikawa adopted na makanisa ya Kipentecosti.
Nakuletea somo hilo tena,hili hapa chini.
Nadhani tusitishe hii dialogue.Ila sina budi kukiri kwamba mapokeo yanaharibu sana imani ya kweli katika Kristo.
Marko 7:6-9 inaonyesha hili wazi,unasema,
"6 Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;
7 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu,
8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.
Sikiliza clips zifuatazo pia labda zitakusaidia.
View: https://youtu.be/d_cVXdr8mVs?si=5oaCR7WWJrDJLNh4
View: https://youtu.be/3o7uMGyMysw?si=M2wkyqPQ8RTeoOEZ
View: https://youtu.be/j977JKhtqIE?si=XWqEjoocx1JbKsZQ
Ni uongo mkuu miaka buku sio siku moja ya mbinguni. Kama una idea ya physics I can explain it to youYesu alifufuka siku ya 3 tena masaa yalikua hayajatimia
Miaka buku ni sawa na siku 1 mbinguni
Kabla ya mwaka 3000 haujafika unyakuo utakua tayari
Mungu atupe mwisho mwema!
2 Peter 3:8
Ndio mkuuUnasomaga bible?
Mkuu soma hii mada. Maana hata hilo andiko nililielezea...2 Peter 3:8
Mkuu concept hii haina msingi wa Biblia.Ni kama utata uliopo kwenye siku ya ibada Sunday,Christmas,Esther nk.Kimsingi ibada hizo ni upagani uliohalalishwa na taasisi zinazojiita wrongly za Kikristo,kumbe ni za kipagani.Naomba nikukumbushe maneno haya ya Bwana Yesu katika Mathayo 7:13-15.Amesema,Mimi sijawahi kujihusisha na hao unaowaita waanzilishi.. mimi hili jambo naliona moja kwa moja kutoka kwenye biblia, sihitaji kufuatilia nani anasema nini.
Kilichoandikwa kwenye biblia ndio muongozo ninaoufuata. Unyakuo upo clear kabisa kwenye hiyo mistari niliyokupa.
Unaweza kuamua kujifunza zaidi au ukabakia na mtazamo wako.
Mkuu ukiwa ndani ya Kristo hakuna tofauti kati ya jumatatu, alhamisi na jumapili, Mungu anaabudiwa katika roho na kweli. Katika muktadha huu unaweza kufanya ibada wakati wowote na siku yoyote. Mitume walikuwa wanakutana siku ya kwanza ya juma. Biblia imesema waamini wasiache kukutana ila haijasema wasiache kukutana siku fulani.Mkuu concept hii haina msingi wa Biblia.Ni kama utata uliopo kwenye siku ya ibada Sunday,Christmas,Esther nk.Kimsingi ibada hizo ni upagani uliohalalishwa na taasisi zinazojiita wrongly za Kikristo,kumbe ni za kipagani.
Dah,siku zote si sawa mkuu?Hapana,si sawa ni udanganyifu wa Shetani na wanaojiita watumishi.Ni siku moja tu ambayo Mungu aliitakasa na kuibariki,nayo ni siku ya Saba tu,ambayo ni Sabato.Siku zote zitakuwaje sawa wakati ni siku moja tu Mungu aliyoibariki?Mkuu ukiwa ndani ya Kristo hakuna tofauti kati ya jumatatu, alhamisi na jumapili, Mungu anaabudiwa katika roho na kweli. Katika muktadha huu unaweza kufanya ibada wakati wowote na siku yoyote. Mitume walikuwa wanakutana siku ya kwanza ya juma. Biblia imesema waamini wasiache kukutana ila haijasema wasiache kukutana siku fulani.
Halafu Christmas ni siku kama nyingine tu, mimi naungana na wale wanaosherehekea kuzaliwa kwa Yesu (kumbuka hatusherehekei birthday maana hakuna anayejua tarehe sahihi). Kwahiyo unaweza kusherehekea siku hiyo au ukachagua yakwako ukasherehekea kuzaliwa kwa Yesu.
Easter nayo ni kukumbuka ufufuko wa Yesu Kristo na sio kukumbuka exact date. Haisherehekewi siku bali kinasherehekewa kile kilichotokea. Kwahiyo mtu anaweza kuamua kusherehekea wakati wowote au akaungana kwenye siku ambayo wengi wanasherehekea.