Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

Kuna kitu kinaitwa nyakati za mwisho na wakati wa mwisho...
1.Nyakati za mwisho tulizianza baada ya messiah kufa na kufufuka takribani miaka 2000 sasa haya ndio matukio yanayozungumziwa mathayo 24, ila yanaongelewa kama ni kuanza kwa uchungu ( beginning of birth pains)

2. Wakati wa mwisho: hii ni miaka 7 ya mwisho namba 7 ni namba ya ukamilifu wa Mungu, huu wakati ndio upo future ambapo kutakuwa na mpinga kristo ambapo atafanya maagano na waliowengi kwa muda wa miaka 3.5 baada ya miaka hiyo ndio dhiki kuu itaanza baada ya lile chukizo la uharibifu alililizungumza Daniel yaani sanamu kuwekwa katika hekalu la Mungu na watu wote kufosiwa kuabudu hilo sanamu.

So matukio muhimu yataashiria tumeingia kwenye wakati wa mwisho.
1. Kupatikana kwa amani Mashariki: hapa ndipo tunafatilia aidha kiongozi kinara ambaye atapelekea kupatikana kwa amani ya kudumu mashariki ya kati huyu ndio pengine akawa mpinga kristo

2. Baada ya kupatikana kwa amani mashariki ya kati kutakuwa na hamasa ya kujenga hekalu yerusalemu hili hekalu ndipo baadaye kutawekwa sanamu ambalo kila mtu atafosiwa kusujudu.

3. Jitihada za kuunganisha ulimwengu mzima kuwa dola moja na kuwa serikali moja, pengine kuwa na siku moja ya kuabudu.

4. Kuibuka kwa mashahidi wawili aidha ni watu wawili (Musa na Enoka) au Imani mbili ( wakristo na wayahudi) ambao wataionya dunia/ watahubiri kwa nguvu sana kwa muda wa miaka 3.5 ya kwanza watapewa uwezo wa kufanya maajabu makubwa na mpinga kristo hatoweza kuwadhutu kwa kipindi hicho.

5.Mpinga Kristo kuwashinda na kuwaua mashahidi wawili na kuacha miili yao ikitapakaa yerusalem, ulimwengu mzima utafurahi sana..

6. Mpinga Kristo kujitangaza kuwa yeye ni mungu na kuhitaji kuabudiwa. Na kuanzisha chapa ya mnyama.

7. Dhiki kuu ambapo watu wasiowekwa alama ya mnyama watashindwa kuuza au kununua chochote, watauwawa,watasalitiwa na ndugu zao.. kutakuwa na mauaji ambayo hayajawahi tokea tangu ulimwengu uumbwe.

8. Unyakuo

9. Gadhabu kuu- hii ni hasira ya mungu ambayo ni kisasi cha roho za watakatifu wote waliouwawa nyakati tofauti. Ambapo watu waliopokea alama ya mnyama watapigwa mapigo makuu.

10.. Ujio wa yesu mara ya pili, atamshinda mpinga kristo katika vita kuu ya Amagedoni. Mpinga kristo atatupwa Jehanam na shtani kufungwa kwa muda wa miaka 1000.

11. Utawala wa millenia na hukumu kwa watakatifu. Hapa ni wale watakatifu walionyakuliwa watatolewa hukumu na kupewa mataji hawa wataishi na kristo Yerusalemu kwa miaka 1000.

12. Baada ya miaka 1000 shetani atafunguliwa na atawalaghai wanadamu kwenda kuvamia kambi ya watakatifu. Hapa nipo moto utatoka mbinguni na kuwatafuna wote..

13. Hukumu ya mwisho, hii ndio watu wote wa miaka yote watafufuliwa na vitabu vitafunuliwa hawa watahukumiwa kulingana na matendo yako na kama jina lako halipo kwenye kitabu cha uzima basi utatupwa jehanam..

Hii ni tofauti na ile hukumu ya kwanza ya watakaifu ambapo wote waliokolewa kwa neema sababu waliamini katika kristo..
Kwa hiyo aliyeokolewa Kwa neema kupitia Kristo ,Je atatoboa hukumu ya mwisho kweli?
 
Hakuna sababu ya kubishana mkuu. Cha muhimu, hakikisha upo tayari muda wowote.

Mimi nimesoma biblia na ninaona bila mashaka kwamba unyakuo upo. Unakuja soon na nipo tayari.
No this is important.Chochote unachokiamini ambacho hakioani na Maandiko kinampa Shetani a foothold in your life,so we must be careful.Halafu mimi nimetoa somo zima ambalo nimeandaa kuonyesha kwamba hakuna unyakuo,I strongly advice you to read it.Nimeweka maandiko relevant kuonyesha kwamba unyakuo ni heresy.

Finally,nimekuomba na wewe unipe maandiko,ili mimi kama nimekosea nifunze.Nikukumbushe kwamba hatubishani,nia ni kujifunza Neno la Mungu.
 
No this is important.Chochote unachokiamini ambacho hakioani na Maandiko kinampa Shetani a foothold in your life,so we must be careful.Halafu mimi nimetoa SoMo zima ambalo nimeandaa kuonyesha kwamba hakuna unyakuo,I strongly advice you to read it.

Finally,nimekuomba na wewe unipe maandiko,ili mimi kama nimekosea nifunze.Nikukumbushe kwamba hatubishani,nia ni kujifunza Neno la Mungu.
Soma mathayo 24 yote, 1 wakorintho 15:51-52, 1 wathesalonike 4:16-17. Hizo tu zinatosha kwa mtu yeyote aliye mnyenyekevu mbele za Mungu kuuona uhalisia.

Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo ikae pamoja nawe katika nyakati hizi za hatari.
 
Ningekushauri usome somo langu,litakusaidia sana,lime elezea kwa kina concept yote,and how it even started.Maandiko uliyo present nimeyaeleze kwenye somo langu,read it.Remember concept ya rapture ni a fairly recent one in the 18 hundreds,imeanzia Uingereza kwenye Kanisa moja la Anglikana ikasambaa US na kwa bahati sana sana ikawa adopted na makanisa ya Kipentecosti.

Nakuletea somo hilo tena,hili hapa chini.

Nadhani tusitishe hii dialogue.Ila sina budi kukiri kwamba mapokeo yanaharibu sana imani ya kweli katika Kristo.

Marko 7:6-9 inaonyesha hili wazi,unasema,

"6 Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;
7 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu,
8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.

Sikiliza clips zifuatazo pia labda zitakusaidia.

View: https://youtu.be/d_cVXdr8mVs?si=5oaCR7WWJrDJLNh4

View: https://youtu.be/3o7uMGyMysw?si=M2wkyqPQ8RTeoOEZ

View: https://youtu.be/j977JKhtqIE?si=XWqEjoocx1JbKsZQ
 
Bas Mchungaji alitufundisha kua miaka mitatu na nusu ya kwanza ndio ya mateso na dhiki kuu
Hapana, miaka mitatu na nusu ya kwanza itakuwa na amani pale Israel. Mpinga kristo atakapoingia hekaluni na kusema yeye ndio Mungu wana wa Israel ndio watagundua walimwamini masihi wa mchongo na wakimkataa ndio vita itaanza.
 
Ningekushauri usome somo langu,litakusaidia sana,lime elezea kwa kina concept yote,and how it even started.Maandiko uliyo present nimeyaeleze kwenye somo langu,read it.Remember concept ya rapture ni a fairly recent one in the 18 hundreds,imeanzia Uingereza kwenye Kanisa moja la Anglikana ikasambaa US na kwa bahati sana sana ikawa adopted na makanisa ya Kipentecosti.

Nakuletea somo hilo tena,hili hapa chini.

Nadhani tusitishe hii dialogue.Ila sina budi kukiri kwamba mapokeo yanaharibu sana imani ya kweli katika Kristo.

Marko 7:6-9 inaonyesha hili wazi,unasema,

"6 Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;
7 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu,
8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.

Sikiliza clips zifuatazo pia labda zitakusaidia.

View: https://youtu.be/d_cVXdr8mVs?si=5oaCR7WWJrDJLNh4

View: https://youtu.be/3o7uMGyMysw?si=M2wkyqPQ8RTeoOEZ

View: https://youtu.be/j977JKhtqIE?si=XWqEjoocx1JbKsZQ

Mimi sijawahi kujihusisha na hao unaowaita waanzilishi.. mimi hili jambo naliona moja kwa moja kutoka kwenye biblia, sihitaji kufuatilia nani anasema nini.

Kilichoandikwa kwenye biblia ndio muongozo ninaoufuata. Unyakuo upo clear kabisa kwenye hiyo mistari niliyokupa.

Unaweza kuamua kujifunza zaidi au ukabakia na mtazamo wako.
 
Yesu alifufuka siku ya 3 tena masaa yalikua hayajatimia
Miaka buku ni sawa na siku 1 mbinguni
Kabla ya mwaka 3000 haujafika unyakuo utakua tayari

Mungu atupe mwisho mwema!
2 Peter 3:8
Ni uongo mkuu miaka buku sio siku moja ya mbinguni. Kama una idea ya physics I can explain it to you
 
Mimi sijawahi kujihusisha na hao unaowaita waanzilishi.. mimi hili jambo naliona moja kwa moja kutoka kwenye biblia, sihitaji kufuatilia nani anasema nini.

Kilichoandikwa kwenye biblia ndio muongozo ninaoufuata. Unyakuo upo clear kabisa kwenye hiyo mistari niliyokupa.

Unaweza kuamua kujifunza zaidi au ukabakia na mtazamo wako.
Mkuu concept hii haina msingi wa Biblia.Ni kama utata uliopo kwenye siku ya ibada Sunday,Christmas,Esther nk.Kimsingi ibada hizo ni upagani uliohalalishwa na taasisi zinazojiita wrongly za Kikristo,kumbe ni za kipagani.Naomba nikukumbushe maneno haya ya Bwana Yesu katika Mathayo 7:13-15.Amesema,
"13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
Mathayo 7:13

14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
Mathayo 7:14

15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
Mathayo 7:15"
Mkuu,nakushauri utafakari kwa kina njia uliyopo,isije yumkini ikawa njia pana na ya mauti.

Mithali 14:12 inasema,
"12 Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti."
 
Mkuu concept hii haina msingi wa Biblia.Ni kama utata uliopo kwenye siku ya ibada Sunday,Christmas,Esther nk.Kimsingi ibada hizo ni upagani uliohalalishwa na taasisi zinazojiita wrongly za Kikristo,kumbe ni za kipagani.
Mkuu ukiwa ndani ya Kristo hakuna tofauti kati ya jumatatu, alhamisi na jumapili, Mungu anaabudiwa katika roho na kweli. Katika muktadha huu unaweza kufanya ibada wakati wowote na siku yoyote. Mitume walikuwa wanakutana siku ya kwanza ya juma. Biblia imesema waamini wasiache kukutana ila haijasema wasiache kukutana siku fulani.

Halafu Christmas ni siku kama nyingine tu, mimi naungana na wale wanaosherehekea kuzaliwa kwa Yesu (kumbuka hatusherehekei birthday maana hakuna anayejua tarehe sahihi). Kwahiyo unaweza kusherehekea siku hiyo au ukachagua yakwako ukasherehekea kuzaliwa kwa Yesu.

Easter nayo ni kukumbuka ufufuko wa Yesu Kristo na sio kukumbuka exact date. Haisherehekewi siku bali kinasherehekewa kile kilichotokea. Kwahiyo mtu anaweza kuamua kusherehekea wakati wowote au akaungana kwenye siku ambayo wengi wanasherehekea.
 
Dah,siku zote si sawa mkuu?Hapana,si sawa ni udanganyifu wa Shetani na wanaojiita watumishi.Ni siku moja tu ambayo Mungu aliitakasa na kuibariki,nayo ni siku ya Saba tu,ambayo ni Sabato.Siku zote zitakuwaje sawa wakati ni siku moja tu Mungu aliyoibariki?

Mwanzo 2:3 inasema,
3 Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.

Naomba nikukumbushe kwamba wana wa Israel walipokuwa wanakwenda Kanani,Mungu aliwakataza wasiokote Mana siku ya Sabato,ambayo ni siku ya saba ya juma.Kama siku zote zingekuwa sawa,Mungu asingewakataza,so obviously siku zote sio sawa!

Kutoka 16:22-28
22 Basi ikawa siku ya sita wakaokota kile chakula sehemu maradufu, kila mtu pishi mbili; na wazee wote wa mkutano wakaenda na kumwambia Musa.
Kutoka 16:22

23 Akawaambia, Ndilo neno alilonena Bwana Kesho ni starehe takatifu, Sabato takatifu kwa Bwana; okeni mtakachooka, na kutokosa mtakachotokosa; na hicho kitakachowasalia jiwekeeni kilindwe hata asubuhi.
Kutoka 16:23

24 Basi wakakiweka hata asubuhi, kama Musa alivyowaagiza; nacho hakikutoa uvundo wala kuingia mabuu.
Kutoka 16:24

25 Musa akasema, Haya, kuleni hiki leo; kwa kuwa leo ni Sabato ya Bwana; leo hamtakiona nje barani.
Kutoka 16:25

26 Siku sita mtaokota; lakini siku ya saba ni Sabato, siku hiyo hakitapatikana.
Kutoka 16:26

27 Ikawa siku ya saba wengine wakatoka kwenda kukiokota, wasikione.
Kutoka 16:27

28 Bwana akamwambia Musa, Mtakataa kuyashika maagizo yangu na sheria zangu hata lini?
Kutoka 16:28

Naomba nikumbushe kwamba Mungu habadiliki,ni Yeye yule,jana leo na milele.Akishapanga jambo lake,linadumu milele.

Nikukumbushe pia kwamba ni Ceremonial Laws tu zilizo ishia msalabani pamoja na sehemu ya zile Sheria nyingine ndogo ndogo 613,lakini moral laws zote ambazo ni zile Amri Kumi za Mungu zilipita.

Notice God says,
"15 Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
Yohana 14:15

16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;
Yohana 14:16"

Tatizo ni kwamba tunachagua Sheria au Amri tunazotaka,zingine tuna acha,lakini Mungu anataka tuzishike zote!Mtu akizini anatengwa,uongo hapana,Sabato ndio kabisa imewekwa pembeni.Haifai mambo kuwa hivyo.Mungu anasema mkinipenda mtashika Amri zangu,zote without exception.

Naomba nirudie,Sheria zilizoishia msalabani ni za sherehe tu,za maadili zote zilipita,zile kumi,ikiwa ni pamoja na Amri ya nne ya kuishika Sabato.Notice kwamba Mungu "anawakubusha" tu wana wa Israel kwamba waishike Sabato kwa kuwa ilishakuwepo tangu mwanzo kabla Musa hajapewa hata Amri Kumi.

Kutoka 20:8
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Kutoka 20:8

Notice the word "Ikumbuke,"showing that tayari ilishakuwepo wanajuwa, wanakumbushwa tu.Mkuu naomba niseme hivi,Sabato ni Agano la milele kati ya wanadamu na Mungu,ndio maana hata katika nchi npya na nchi mpya,tutakwenda mbele za Mungu siku ya Sabato.Soma Isaya 66:22-23

Isaya 66:22-23
22 Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema Bwana, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.
Isaya 66:22

23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema Bwana.
Isaya 66:23

Swala la mbingu mpya na nchi mpya tunaziona katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana 21:1-2

1 Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena.
Ufunuo wa Yohana 21:1

2 Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.
Ufunuo wa Yohana 21:2

Yapo mawazo ya kushangaza kwamba watu hawawezi kujua siku ya Saba ya juma ni ipi,that is nonsense.
1.Biblia inaweka wazi kwamba siku ya Kwanza ya Juma ni Jumapili.Ukianzia hapo unaona wazi kwamba siku ya Saba ni Jumamosi.
2.Mungu hawezi kuwaambia watu wamuabudu siku ya Sabato huku akijua hawataijua siku yenyewe.Atakuwa Mungu wa ajabu sana huyo.
3.Clip ya "Historia ya majina ya siku za juma" below keeps to rest mawazo kwamba siku ya saba ya juma ambayo Biblia inaiita Sabato haifahamiki.

View: https://youtu.be/oVbXcwvvVDs?si=AYupAs8cXHroS3Ux
 
Nimegundua kuwa upoteaji wa watu umeenza hivi karibuni kwa kasi ya ajabu baada ya bwana yule kuwa mkuu wa mkoa ,au ni mimi tu nime note hiyo kitu
 
Siku Ile ya watu kulia na kusaga meno ipo karibu.
Kila mtu na ajiandae
 
Back
Top Bottom