ile "permanency" ndio tatizo kwenye Tattoo vinginevyo haina tofauti na hina, Vile vile kuchora Kitu cha kipumbavu (Mfano 26 number, 2pac nk ) inafanya Tattoo kuonekana tatizo zaidi
ExactlyHata Watu wengi waliochora tattoo huwa wanajutia maamuzi yao
Tatizo lenu hamjui historia yenu..View attachment 2082284Haya matabia ya hovyo hovyo huwa yanaanzia kwa mabeberu hasa marekani ambao wana connection ya moja kwa moja na baba wa uovu, ibilisi..
Matattoo ya malaya na wavuta bangi ndo unafananisha na hizi markings za kitamaduni......utakuwa na shida aisee!Tatizo lenu hamjui historia yenu..View attachment 2082284View attachment 2082285View attachment 2082283
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
KUWA NA MWENENDO WA MAISHA KINYUME INAVYOTAKIWAUnavyosema malezi mabovu unamaanisha nini?
Ha haaaa..,Kweli mke wangu muache jamaa akenue huko fb tu mi niendelee kumla mke wake tumkomoe
mtu mzima anaambiwa mara moja..kama hataki unaachana nae.Ngooooja kwanza!Ni mmeo halafu unajua anatomber mke wa mtu? Je umeshafanya chochote kumsaidia kuacha au are you comfortable with that?
Inavyotakiwa,na nani?KUWA NA MWENENDO WA MAISHA KINYUME INAVYOTAKIWA
MFANO UNAWEZA MTONGOZA MAMA YAKO? KUMBUKA KATIBA HAIJAKATAZA
NA MUNGU,Inavyotakiwa,na nani?
Nilimuhurumia tu..Kumbe unamjua mwizi wako vipi ushamsulubu
Au mke wa mtu pekee ndio sumu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Namlia mke wake na yeye akinifumania namla jichoHa haaaa..,
Cku ya kutatuliwa marinda ikifika ulete mrejesho