Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

Kila binadamu ana mapungufu yake ila ukija kwa hawa wachora tattoo kwa kuiga wengi huwa wanaiga na tabia za wale wachora tattoo wa mbele huko sababu wengi wao huwa wavuta bangi na madawa,, lakini pia wapo wanaochora tattoo kwa urembo tu kawaida na wengine wanachora kwa maagano mabaya hizo nd zenye tatizo kimaandiko,,,
Lakini kwa mtazamo wangu ni sio vizuri kujichora chora mwilini na siwezi kujichora mwilini.
 
Ona ugoro huu hapa chini!

uiiiii-660x400 (1).jpg
 
Hivi hii 26 number ina maana gani? Utasikia mtu anajidai/ anatamba kuwa " mi usinichezee asee mi ni 26" huwa sielewagi maana ya hii namba
ile "permanency" ndio tatizo kwenye Tattoo vinginevyo haina tofauti na hina, Vile vile kuchora Kitu cha kipumbavu (Mfano 26 number, 2pac nk ) inafanya Tattoo kuonekana tatizo zaidi
 
Kuna jamaa yangu mmja alichoraga picha na jina la mke wake kifuani!nlimkataza kuchora before
Sasa mziki ukaja wakaja wakazinguana wakapigana chini...😂
Jamaa alifuta lkn alipata maumivu sana

Ova
 
Enzi zetu watu walianzaga kuchora tatoo
Kwa kutumia mkorosho,wakaja wakaanza kutumia wino wa ngisi

Kaz kweli kweli

Ova
 
mxxxieeu.

Ndo maana ukajiita hakimu ili uhukumu watu na maisha yao.
 
KUCHORA TATTO; USHOGA;KUJICHUBUA;NA MALAYA WOTE KUNDI MOJA.

NI WAGONJWA WA AKILI, MWILI NA IMANI

TAKATAKA ZA HIVI LAZIMA ZIWEPO KATIKA JAMII YOYOTE ILE.

DUNIA HAIWEZI KUWA NA WATU WOTE WASOMI, WOTE MAKINI, WOTE NYOOFU, WOTE WA MALEZI BORA.
 
Kumbe unamjua mwizi wako vipi ushamsulubu

Au mke wa mtu pekee ndio sumu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nilimuhurumia tu..

Sikutaka kuwa chanzo cha mauaji kwenye hii dunia...

Nina ma bomu yake ambayo siku nikisema nayaachie itakuwa histori..

Ila nilimkomesha...

Mana nili mchezea movie km ya hureim sultana, mpk akaachana na mfalme suleiman
 
Back
Top Bottom