Mczigga
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 722
- 1,272
Kila binadamu ana mapungufu yake ila ukija kwa hawa wachora tattoo kwa kuiga wengi huwa wanaiga na tabia za wale wachora tattoo wa mbele huko sababu wengi wao huwa wavuta bangi na madawa,, lakini pia wapo wanaochora tattoo kwa urembo tu kawaida na wengine wanachora kwa maagano mabaya hizo nd zenye tatizo kimaandiko,,,
Lakini kwa mtazamo wangu ni sio vizuri kujichora chora mwilini na siwezi kujichora mwilini.
Lakini kwa mtazamo wangu ni sio vizuri kujichora chora mwilini na siwezi kujichora mwilini.