Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

Mbona Hakuna Uhusiano
 
Mbona Hakuna Uhusiano
siku ukirushiwa video zake akiliwa tigo live na siku umfume live akitatuliwa rinda au siku akupitishe kwa mpalange live ndo utajua uhusiano wake.

wanawake wachora tattoo kwa mambo hayo ni moto wa kuotea mbali, ni kina mama mpalange.

ukiona mwanamke kachora tattoo, ni mama mpalange huyo, usiulize mara mbili.
 

maandishi yako tu yanaonesha una tatizo
 
Tuangalie pia upande mwingine wa shilingi .tattoo ni moja ya artistuc work of art .. as long as culture is concerned.the bitter truth ni kwamba elite class na well off individuals huwezi wakuta wamechora tattoo.middle class na majority y lower class ndio wanahangaika na tattoo
 
Hahahaha Malaika wako alikuepusha
 
ile "permanency" ndio tatizo kwenye Tattoo vinginevyo haina tofauti na hina, Vile vile kuchora Kitu cha kipumbavu (Mfano 26 number, 2pac nk ) inafanya Tattoo kuonekana tatizo zaidi
hivi wale wamakonde jamii ya msumbiji na kwetu hapawanaweka nini ili michoro yao idumu?
 
Napenda kuwa clean mi hata makovu tu siyapendi

Mambo ya kuweka mamichoro mwili utadhani wewe ni gazeti siyataki

But i like women with tattoos ,they look sexy[emoji2][emoji3577]

Men with tattoos huwa nawaona majambazi ,manunda tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duuh wakati mimi naona tattoo bora awe nazo mwanaume kuliko mwanamke akiwa nazo mwanamke huwa namuona malaya tu no matter how sexy she looks! Halafu wewe si ndiyo umetoka kuongelea habari za unyago kwenye ule uzi kwahiyo kuchora tattoo nayo inafundishwa kwenye unyago na inafaa siyo?
 
Mambo ya Walawi 19:28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…